Hivi Mh. wakili unaijuwa CCM vizuri lakini? Sitoshangaa kama wakikumata wiki moja kabla ya siku ya hili tukio.Rasmi sasa maandamano yetu ya amani ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023 kama tamko linavyojieleza. Watanzania anzeni kujiandaa na mvua za manyunyu kabla hatujaanza na mvua za mawe.
View attachment 2777081
View attachment 2777082
Mkuu inapaswa kunitia moyo ili na wewe uandamane siku hiyo ya tarehe 9 Novemba.Keyboard warrior anajitutumua Kwa hisani ya JF Republic
HakikaMtanzania bado hajawa na ujasiri huo.
Hata watawala wanatujua vizuri katika hilo.
Ipo siku watanganyika wataamka na kuwa serious na Taifa lao na kuacha kujadili mipira na ujinga, Siku hiyo bado haijafika japo ipo njiani.
Mm niko hapa Msoga kwa Kikwete. HawajakataWamekata umeme tusione live usainishaji
Basi sawa ๐๐๐๐Tarehe 9 Novemba imepangwa na wakili Mwabukusi & Co kuwa ni siku ya maandamano kupinga uuzwaji wa bandari ya Tanganyika kwa mwarabu.
Ninajitolea kwa jasho na damu kuunga mkono maandamano haya. Kwasabb ni rasmi sasa bandari imekabidhiwa kwa mwarabu Leo hii October 22, 2023.
Aisee hata huku umeme hakunaWamekata umeme tusione live usainishaji
Naukubali uwezo wangu wa kufikiri na kutafakari na siwezi kukubali kushikwa akili na Mdude na MwabukusiMkuu inapaswa kunitia moyo ili na wewe uandamane siku hiyo ya tarehe 9 Novemba.
Hivi waliachiliwa huru baada ya kukamatwa miezi ile iliyopita?Mwabukusi yuko Busokelo anachanganya watanganyika na watanzania; yaani hata haeleweki[emoji16][emoji16]
Nadhani.Hivi waliachiliwa huru baada ya kukamatwa miezi ile iliyopita?