Majani aliamua kuishi na Kajala sema huyo Kajala mwenyewe ni fungu la kukosa tu.Nimeumia kama mama mwenye watoto wa kike na kiume, nna uhakika Kajala pia anaumia... hakuna mama angependa mwanae apitie magumu aliyopitia yeye
Anachopitia P.Funk sasa ni kile alichowapitisha wazazi wa Kajala wakati Kajala akiwa na umri sawa Paula alionao sasa
Hakuna kitu utakachofanya kiwe kizuri au kibaya kisikurudie
Mungu amnusuru huyu mtoto. Bado ni mdogo sana kwa vitu hivi tena kwenye mitandao
Anasoma shule gani mazingira yake kajiweka kiuwanafunzi au kiudangajiUnatembea na mwanafunzi wa kidato cha 5 then unasema huna hatia?
Hiyo inahusikaje na maada hiiMajani mhuni aliwahi kumrekodia nyimbo Chameleon akazengua kumlipa. Alipanda ndege mpaka Kampala na alimnasa Chameleon vibao nyumbani kwake.
Una utani kijanaa Kampe mimba mwanafunzi wa Form Five mwenye Miaka 20 alafu ndo utajua hujui[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Aandikishwe na nan , swala hapo ni umri akiwa above 18 binti ndo final say....
😀😀😀😀.. akili ndogo huna uwezo wa kutafsiri ninacho andikaWe kilaza tu
maisha yanaenda kasi sana halafu pFUNK ni babu wa rayvanny na mzazi mwenzie harmonize dah...wacha nkale ugoroSo, Rayvann , Harmonize ni baba mkwe wake kama ilivyo kajala ni mama mkwe ?
😀😀😀😀😀😃
Kosa kubwa alilofanya P Funk ni kukubali mtoto akalelewe na mama ilhali anajua tabia za mzazi mwenzake sio salama kwa mtoto.Karma is real
Mungu amnusuru Paula, yamrudie P Funk mwenyewe
Kwa haijalishi ana miaka mingapi so hata ukimpa mimba mwanafunzi wa kidato cha tano,let's say ana miak 22 still ni kosa kisheria?Una utani kijanaa Kampe mimba mwanafunzi wa Form Five mwenye Miaka 20 alafu ndo utajua hujui[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Asante.View attachment 1703068
Kula kifungu cha katiba achana na mwanasheria ...huyo bint anaenda 20 huko ...acha watu wamtekenye bhana na yupo out of school,
Paula yupo form five shule gani Mzee?? Kama hayupo shule ni Nani wa kumlazimisha aende shule kama akisema sitak , nataka niende college au nifanye biashara cse kiumri tayar yupo authorized kufanya maamuz yake binafs ..na pia Paula ana mimba ya vannyboy,? Au Ile kumuita dady kwenye gari🤣🤣,... Naona mnamuonea wivu vannyboy kumtomba huyo mtoto....Una utani kijanaa Kampe mimba mwanafunzi wa Form Five mwenye Miaka 20 alafu ndo utajua hujui[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Nimeona Harmonize ana mshauri mkwe wake Rayvanny kwenye page yake ya insta. Ila P Funk bado yupo kimya. Naona hili jambo walimalize kwa level za kifamilia, maana pia limekaa vibaya kwa Vboy kama watamvalia njuga, nae career yake ya kimuziki na ki maisha yaweza yumba.. maana soo.. wamekomalia katotomaisha yanaenda kasi sana halafu pFUNK ni babu wa rayvanny na mzazi mwenzie harmonize dah...wacha nkale ugoro
Kwani yeye P Funk ana tabia zipi nzuri za kufaa kulea mtoto salamaKosa kubwa alilofanya P Funk ni kukubali mtoto akalelewe na mama ilhali anajua tabia za mzazi mwenzake sio salama kwa mtoto.
Kondeboy kaandika kinafki Sana , hajui kwamba yeye ni popular kuandika kwake huko kunachochea Moto?? Au Kwa vile Kiki yake imezimwa na hiyo issue ???Nimeona Harmonize ana mshauri mkwe wake Rayvanny kwenye page yake ya insta. Ila P Funk bado yupo kimya. Naona hili jambo walimalize kwa level za kifamilia, maana pia limekaa vibaya kwa Vboy kama watamvalia njuga, nae career yake ya kimuziki na ki maisha yaweza yumba.. maana soo.. wamekomalia katoto
Ule ni unafiki 100%. Baba Mwenye mtoto katulia kimya, na huenda analifatilia jambo kwa akili vizuri kabisa na hekima. Ila njomba nchomali anajidai kimemuumaaaa .. anachochea moto.. uzuri majani ana akili kuliko njomba nchomaliKondeboy kaandika kinafki Sana , hajui kwamba yeye ni popular kuandika kwake huko kunachochea Moto?? Au Kwa vile Kiki yake imezimwa na hiyo issue ???
Shida sio kulelewa na Mama wangapi wanalelewa na Mama zao na kimaadili wako njema unazijua pisi Kali za Master JKosa kubwa alilofanya P Funk ni kukubali mtoto akalelewe na mama ilhali anajua tabia za mzazi mwenzake sio salama kwa mtoto.
Mbona mnashindwa kutujibu wakuu anasoma shule gani hiyo kidato cha tano.Unatembea na mwanafunzi wa kidato cha 5 then unasema huna hatia?
P Funk ni mkali, ila culture yake inaweza onesha kama ana haribu watoto. Ana culture ya kizungu . Ila jamaa angekuwa ana culture ya kiswahili, watoto wake wange nyookaKwani yeye P Funk ana tabia zipi nzuri za kufaa kulea mtoto salama
Yaani jamaa mfafiki mno ufupi kama koroshoUle ni unafiki 100%. Baba Mwenye mtoto katulia kimya, na huenda analifatilia jambo kwa akili vizuri kabisa na hekima. Ila njomba nchomali anajidai kimemuumaaaa .. anachochea moto.. uzuri majani ana akili kuliko njomba nchomali
Wakikujibu nistue mpendwa maana tumewauliza mda wanazunguka tuMbona mnashindwa kutujibu wakuu anasoma shule gani hiyo kidato cha tano.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app