Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Makala anafanya kazi nzuri sana , sema wafitina na mahasidi huwa hawakosekanagi!
Mahasidi mmeshashindwa!
Mahasidi mmeshashindwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maneno haya ya shombo dhidi ya wanaomlalamikia Makalla, wewe utakuwa mkewe ama basha wakeMakala anafanya kazi nzuri sana , sema wafitina na mahasidi huwa hawakosekanagi!
Mahasidi mmeshashindwa!
Unamsaidia yeye na ndo maana yupo hapo alipo!! Ungeuliza CCM imewasaidia nini watanzania ikiwamo wana Dar es salaam.Utoto wake wa mjini unawasaidaje wakazi wa Dar es Salaam??
Halafu mi nimemwambia tu mleta mada ili asiumie kichwa!!Mbona unaandika ukiwa ume panic!!
Inamsaidia nini mtanzania? Kina mzee Mohamed Said walikuwepo dar tokea kinondoni pori la simba, mnazi mmoja nyumba za udongo na makuti. Sembuse huyo mpogoro. Sema tu ni sababu nchi ipo kwenye auto pilot. Ila kwa mtu makini na unayejielewa huwezi kufanya kazi na makalla.Amos Makalla ni mtoto wa mjini. Kaingia mjini kipindi Magufuli anaingia chooni peku huko Chato. Narudia Papaa Amos Makalla ni mtoto wa mjini na ameingia kwenye highest Echelons za CCM kipindi ambacho hujaanza hata kutembea mwenyewe.
Sio wanaume wote. Ukiona mwanaume analeta mbambamba ujue kaingia mjini ukubwani.Wewe ni mjinga digidigi Mkubwa, watu wanaandika hoja we unaleta habari za shamba na mjinin!
Umjini wake unatusaidia nini sisi..?
Pimbi kabisa wewe, ni bora hata huyo wa kijijini na mshamba mchato, huyo wa mjini anaongelea kitu ya mtu wa shamba SGR, je kipi cha mtu wa mjini tujivunie?
Wabongo, ni lini matapta akili? Ndiyo maana hata familia zenu zimewashinda kuziongoza, wanaume wa dar wapumbavu sana
Sheiza popote unapoandika roho yangu hupaa... nalikumbuka penzi lako mrembo enzi zetu pale mitaa ya Lumumba! Japo hukua mzuri kivile ila hako ka rangi kako ka mkorogo wueeeeh [emoji3059]Inamsaidia nini mtanzania? Kina mzee Mohamed Said walikuwepo dar tokea kinondoni pori la simba, mnazi mmoja nyumba za udongo na makuti. Sembuse huyo mpogoro. Sema tu ni sababu nchi ipo kwenye auto pilot. Ila kwa mtu makini na unayejielewa huwezi kufanya kazi na makalla.
Kumbe naongea na KE. Mi kulumbana na KE ni haramu kwetu.Sheiza popote unapoandika roho yangu hupaa... nalikumbuka penzi lako mrembo enzi zetu pale mitaa ya Lumumba! Japo hukua mzuri kivile ila hako ka rangi kako ka mkorogo wueeeeh [emoji3059]
Ukiona mtu mzima anavaa sunglasses hadi usiku jua kabisa huyo ana upungu.Tangu ateuliwe kuwa RC wa mkoa wa DSM hajawahi kufanikiwa ktk jambo lolote lile
Mtangulizi wake alianzisha kampeni ya kupanda miti ya mapambo kwenye barabara zote na sehemu za njia panda (roundabouts) zilipambika kweli kweli. Lkn Amos Makalla amefika miti yote imekauka.
Amos Makalla aliazisha kampeni ya usafi wa jijini akaipa jina kabisa. Akateua mpk mabalozi wa usafi .Kampeni hii imekufa kifo cha mende.
Kichekesho kikubwa ni pale alipofanya maamuzi ya kukurupuka ya kukataza mabasi ya mikoani kushusha abiria kwenye stendi binafsi. Wenye mabasi wakamgomea.
Hebu sasa soma sehemu ya hotuba yake ya leo wakati akitoa salaam kama mkuu wa mkoa mwenyeji wa shughuli ya utiaji saini mradi wa SGR (Tabora -Kigoma) leo 20 December, 2022.
"Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla anazungumza:
Hali ya usalama ni shwari, nashukuru kwa Shilingi Bilioni 12.3 ulizotupa za kujenga madarasa 618, nikuhakikishe hakuna mtoto ambaye hatakwenda shule
Dar ndio Jiji la kibiashara, sisi ni wanufaika wa kwanza wa mradi wa SGR, hivi karibuni ulinipa fursa ya Kwenda kuifunza mambo ya usafi Rwanda, wanakushukuru kwa kufungua biashara.
Unayoyafanya yameandikwa kwenye ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi, chama cha siasa kazi yake ni kushika dola, unayoyafanya unatekeleza kile kilichopo kwenye ilani.
Ukishaona mtu mzima anacheza michezo ya kitoto kwa mfano ‘hide and see’ au kujipikilisha ujue mambo sio mazuri, juzi tumesikia wenzetu wanachagua Bunge la Mtandao, linaitwa Bunge na lina Spika, sasa hapo tunaona kabisa wanacheza mchezo wa hide and see, wamechanganyikiwa, hii ni kutokana na kazi nzuri unayofanya".
Hotuba hii imekaa kitoto Sana. Haina focus, anapuyanga huku kisha anahamie kule.
Hivi huyu RC wa hovyo kiasi hiki anabebwa na nani hadi kuwekwa kwenye huu mkoa ambao ndiyo uso wa nchi??
Usikute anavuta shisha muda woteUkiona mtu mzima anavaa sunglasses hadi usiku jua kabisa huyo ana upungu.
#MaendeleoHayanaChama
Wewe unataka hotuba au wataka maendeleo?Tangu ateuliwe kuwa RC wa mkoa wa DSM hajawahi kufanikiwa ktk jambo lolote lile
Mtangulizi wake alianzisha kampeni ya kupanda miti ya mapambo kwenye barabara zote na sehemu za njia panda (roundabouts) zilipambika kweli kweli. Lkn Amos Makalla amefika miti yote imekauka.
Amos Makalla aliazisha kampeni ya usafi wa jijini akaipa jina kabisa. Akateua mpk mabalozi wa usafi .Kampeni hii imekufa kifo cha mende.
Kichekesho kikubwa ni pale alipofanya maamuzi ya kukurupuka ya kukataza mabasi ya mikoani kushusha abiria kwenye stendi binafsi. Wenye mabasi wakamgomea.
Hebu sasa soma sehemu ya hotuba yake ya leo wakati akitoa salaam kama mkuu wa mkoa mwenyeji wa shughuli ya utiaji saini mradi wa SGR (Tabora -Kigoma) leo 20 December, 2022.
"Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla anazungumza:
Hali ya usalama ni shwari, nashukuru kwa Shilingi Bilioni 12.3 ulizotupa za kujenga madarasa 618, nikuhakikishe hakuna mtoto ambaye hatakwenda shule
Dar ndio Jiji la kibiashara, sisi ni wanufaika wa kwanza wa mradi wa SGR, hivi karibuni ulinipa fursa ya Kwenda kuifunza mambo ya usafi Rwanda, wanakushukuru kwa kufungua biashara.
Unayoyafanya yameandikwa kwenye ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi, chama cha siasa kazi yake ni kushika dola, unayoyafanya unatekeleza kile kilichopo kwenye ilani.
Ukishaona mtu mzima anacheza michezo ya kitoto kwa mfano ‘hide and see’ au kujipikilisha ujue mambo sio mazuri, juzi tumesikia wenzetu wanachagua Bunge la Mtandao, linaitwa Bunge na lina Spika, sasa hapo tunaona kabisa wanacheza mchezo wa hide and see, wamechanganyikiwa, hii ni kutokana na kazi nzuri unayofanya".
Hotuba hii imekaa kitoto Sana. Haina focus, anapuyanga huku kisha anahamie kule.
Hivi huyu RC wa hovyo kiasi hiki anabebwa na nani hadi kuwekwa kwenye huu mkoa ambao ndiyo uso wa nchi??
Mkuu nimetoa mifano hapo juu kuonesha namna jiji la DSM lilivyorudi nyuma hata kwa mambo ambayo tayari yalikuwa yanafanyikaWewe unataka hotuba au wataka maendeleo?
Jamaa ana kipaji cha kusifiaTangu ateuliwe kuwa RC wa mkoa wa DSM hajawahi kufanikiwa ktk jambo lolote lile
Mtangulizi wake alianzisha kampeni ya kupanda miti ya mapambo kwenye barabara zote na sehemu za njia panda (roundabouts) zilipambika kweli kweli. Lkn Amos Makalla amefika miti yote imekauka.
Amos Makalla aliazisha kampeni ya usafi wa jijini akaipa jina kabisa. Akateua mpk mabalozi wa usafi .Kampeni hii imekufa kifo cha mende.
Kichekesho kikubwa ni pale alipofanya maamuzi ya kukurupuka ya kukataza mabasi ya mikoani kushusha abiria kwenye stendi binafsi. Wenye mabasi wakamgomea.
Hebu sasa soma sehemu ya hotuba yake ya leo wakati akitoa salaam kama mkuu wa mkoa mwenyeji wa shughuli ya utiaji saini mradi wa SGR (Tabora -Kigoma) leo 20 December, 2022.
"Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla anazungumza:
Hali ya usalama ni shwari, nashukuru kwa Shilingi Bilioni 12.3 ulizotupa za kujenga madarasa 618, nikuhakikishe hakuna mtoto ambaye hatakwenda shule
Dar ndio Jiji la kibiashara, sisi ni wanufaika wa kwanza wa mradi wa SGR, hivi karibuni ulinipa fursa ya Kwenda kuifunza mambo ya usafi Rwanda, wanakushukuru kwa kufungua biashara.
Unayoyafanya yameandikwa kwenye ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi, chama cha siasa kazi yake ni kushika dola, unayoyafanya unatekeleza kile kilichopo kwenye ilani.
Ukishaona mtu mzima anacheza michezo ya kitoto kwa mfano ‘hide and see’ au kujipikilisha ujue mambo sio mazuri, juzi tumesikia wenzetu wanachagua Bunge la Mtandao, linaitwa Bunge na lina Spika, sasa hapo tunaona kabisa wanacheza mchezo wa hide and see, wamechanganyikiwa, hii ni kutokana na kazi nzuri unayofanya".
Hotuba hii imekaa kitoto Sana. Haina focus, anapuyanga huku kisha anahamie kule.
Hivi huyu RC wa hovyo kiasi hiki anabebwa na nani hadi kuwekwa kwenye huu mkoa ambao ndiyo uso wa nchi??
Mtu kanenepeana mpk nyusi lkn akili kiduchu kama uduviJamaa ana kipaji cha kusifia
Ninacho fahamu hiyu RC wa dar Ana CPA TTangu ateuliwe kuwa RC wa mkoa wa DSM hajawahi kufanikiwa ktk jambo lolote lile
Mtangulizi wake alianzisha kampeni ya kupanda miti ya mapambo kwenye barabara zote na sehemu za njia panda (roundabouts) zilipambika kweli kweli. Lkn Amos Makalla amefika miti yote imekauka.
Amos Makalla aliazisha kampeni ya usafi wa jijini akaipa jina kabisa. Akateua mpk mabalozi wa usafi .Kampeni hii imekufa kifo cha mende.
Kichekesho kikubwa ni pale alipofanya maamuzi ya kukurupuka ya kukataza mabasi ya mikoani kushusha abiria kwenye stendi binafsi. Wenye mabasi wakamgomea.
Hebu sasa soma sehemu ya hotuba yake ya leo wakati akitoa salaam kama mkuu wa mkoa mwenyeji wa shughuli ya utiaji saini mradi wa SGR (Tabora -Kigoma) leo 20 December, 2022.
"Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla anazungumza:
Hali ya usalama ni shwari, nashukuru kwa Shilingi Bilioni 12.3 ulizotupa za kujenga madarasa 618, nikuhakikishe hakuna mtoto ambaye hatakwenda shule
Dar ndio Jiji la kibiashara, sisi ni wanufaika wa kwanza wa mradi wa SGR, hivi karibuni ulinipa fursa ya Kwenda kuifunza mambo ya usafi Rwanda, wanakushukuru kwa kufungua biashara.
Unayoyafanya yameandikwa kwenye ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi, chama cha siasa kazi yake ni kushika dola, unayoyafanya unatekeleza kile kilichopo kwenye ilani.
Ukishaona mtu mzima anacheza michezo ya kitoto kwa mfano ‘hide and see’ au kujipikilisha ujue mambo sio mazuri, juzi tumesikia wenzetu wanachagua Bunge la Mtandao, linaitwa Bunge na lina Spika, sasa hapo tunaona kabisa wanacheza mchezo wa hide and see, wamechanganyikiwa, hii ni kutokana na kazi nzuri unayofanya".
Hotuba hii imekaa kitoto Sana. Haina focus, anapuyanga huku kisha anahamie kule.
Hivi huyu RC wa hovyo kiasi hiki anabebwa na nani hadi kuwekwa kwenye huu mkoa ambao ndiyo uso wa nchi??
Ndugu yangu were! Elimu ya bongo inaonekana kwenye karatasi tu inayoirwa cheti. Na huwa imeganda humo tu.Ninacho fahamu hiyu RC wa dar Ana CPA
Wala usiiidharau elimu ya kwetu mnk hata ya Uganda Ni mbovu kuliko yetuNdugu yangu were! Elimu ya bongo inaonekana kwenye karatasi tu inayoirwa cheti. Na huwa imeganda humo tu.
Mkude tu huyo amshukuru Mzee wa msogaAmos Makalla ni mtoto wa mjini. Kaingia mjini kipindi Magufuli anaingia chooni peku huko Chato. Narudia Papaa Amos Makalla ni mtoto wa mjini na ameingia kwenye highest Echelons za CCM kipindi ambacho hujaanza hata kutembea mwenyewe.
Hivi ana elimu gani huyo AmosTangu ateuliwe kuwa RC wa mkoa wa DSM hajawahi kufanikiwa ktk jambo lolote lile