RC Amos Makalla hawezi hata kutoa hotuba!

Makala anafanya kazi nzuri sana , sema wafitina na mahasidi huwa hawakosekanagi!

Mahasidi mmeshashindwa!
 
Kwa maneno haya ya shombo dhidi ya wanaomlalamikia Makalla, wewe utakuwa mkewe ama basha wake
 
Utoto wake wa mjini unawasaidaje wakazi wa Dar es Salaam??
Unamsaidia yeye na ndo maana yupo hapo alipo!! Ungeuliza CCM imewasaidia nini watanzania ikiwamo wana Dar es salaam.

Nimemwambia mleta mada kuwa Makalla ni mtoto wa mjini kwa maana maalumu... kwamba asipoteze muda kumwelewa hao ndo watoto wa JK aka watoto wa mujiniii.
 
Amos Makalla ni mtoto wa mjini. Kaingia mjini kipindi Magufuli anaingia chooni peku huko Chato. Narudia Papaa Amos Makalla ni mtoto wa mjini na ameingia kwenye highest Echelons za CCM kipindi ambacho hujaanza hata kutembea mwenyewe.
Inamsaidia nini mtanzania? Kina mzee Mohamed Said walikuwepo dar tokea kinondoni pori la simba, mnazi mmoja nyumba za udongo na makuti. Sembuse huyo mpogoro. Sema tu ni sababu nchi ipo kwenye auto pilot. Ila kwa mtu makini na unayejielewa huwezi kufanya kazi na makalla.
 
Wewe ni mjinga digidigi Mkubwa, watu wanaandika hoja we unaleta habari za shamba na mjinin!

Umjini wake unatusaidia nini sisi..?

Pimbi kabisa wewe, ni bora hata huyo wa kijijini na mshamba mchato, huyo wa mjini anaongelea kitu ya mtu wa shamba SGR, je kipi cha mtu wa mjini tujivunie?

Wabongo, ni lini matapta akili? Ndiyo maana hata familia zenu zimewashinda kuziongoza, wanaume wa dar wapumbavu sana
Sio wanaume wote. Ukiona mwanaume analeta mbambamba ujue kaingia mjini ukubwani.
 
Inamsaidia nini mtanzania? Kina mzee Mohamed Said walikuwepo dar tokea kinondoni pori la simba, mnazi mmoja nyumba za udongo na makuti. Sembuse huyo mpogoro. Sema tu ni sababu nchi ipo kwenye auto pilot. Ila kwa mtu makini na unayejielewa huwezi kufanya kazi na makalla.
Sheiza popote unapoandika roho yangu hupaa... nalikumbuka penzi lako mrembo enzi zetu pale mitaa ya Lumumba! Japo hukua mzuri kivile ila hako ka rangi kako ka mkorogo wueeeeh [emoji3059]
 
Kumbe naongea na KE. Mi kulumbana na KE ni haramu kwetu.
 
Tangu ateuliwe kuwa RC wa mkoa wa DSM hajawahi kufanikiwa ktk jambo lolote lile

Mtangulizi wake alianzisha kampeni ya kupanda miti ya mapambo kwenye barabara zote na sehemu za njia panda (roundabouts) zilipambika kweli kweli. Lkn Amos Makalla amefika miti yote imekauka.

Amos Makalla aliazisha kampeni ya usafi wa jijini akaipa jina kabisa. Akateua mpk mabalozi wa usafi .Kampeni hii imekufa kifo cha mende.

Kichekesho kikubwa ni pale alipofanya maamuzi ya kukurupuka ya kukataza mabasi ya mikoani kushusha abiria kwenye stendi binafsi. Wenye mabasi wakamgomea.

Hebu sasa soma sehemu ya hotuba yake ya leo wakati akitoa salaam kama mkuu wa mkoa mwenyeji wa shughuli ya utiaji saini mradi wa SGR (Tabora -Kigoma) leo 20 December, 2022.
"Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla anazungumza:
Hali ya usalama ni shwari, nashukuru kwa Shilingi Bilioni 12.3 ulizotupa za kujenga madarasa 618, nikuhakikishe hakuna mtoto ambaye hatakwenda shule

Dar ndio Jiji la kibiashara, sisi ni wanufaika wa kwanza wa mradi wa SGR, hivi karibuni ulinipa fursa ya Kwenda kuifunza mambo ya usafi Rwanda, wanakushukuru kwa kufungua biashara.

Unayoyafanya yameandikwa kwenye ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi, chama cha siasa kazi yake ni kushika dola, unayoyafanya unatekeleza kile kilichopo kwenye ilani.

Ukishaona mtu mzima anacheza michezo ya kitoto kwa mfano ‘hide and see’ au kujipikilisha ujue mambo sio mazuri, juzi tumesikia wenzetu wanachagua Bunge la Mtandao, linaitwa Bunge na lina Spika, sasa hapo tunaona kabisa wanacheza mchezo wa hide and see, wamechanganyikiwa, hii ni kutokana na kazi nzuri unayofanya".

Hotuba hii imekaa kitoto Sana. Haina focus, anapuyanga huku kisha anahamie kule.

Hivi huyu RC wa hovyo kiasi hiki anabebwa na nani hadi kuwekwa kwenye huu mkoa ambao ndiyo uso wa nchi??
Ukiona mtu mzima anavaa sunglasses hadi usiku jua kabisa huyo ana upungu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wewe unataka hotuba au wataka maendeleo?
 
Jamaa ana kipaji cha kusifia
 
Ninacho fahamu hiyu RC wa dar Ana CPA T

Hvyo usimchukulie POA POA huyu jamaaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Lkn pia acha chuki muache rc achape kazi makonda mlimpiga Vita vikali Bado mnampiga Vita makala
Embu niwekee moja Kati ya hotuba nzuri kali ya makonda na kunenge huyu aliyeamishiwa pwani

CYO sawaa kumpima mtu kwa hotuba

Kam unataka hotuba mcheki mkapa na Obama nyerer mwenyewe haoni ndani mbele ya mkapa jamaaa anajuwa kuadress za nation acha kbsa

Muache makala amalize awamu yake aje mwenye kujuwa kutoa hotuba itakayo kufarahisha nafsi yako na jamaaaa zako

Kisha mtoke pale mmeshiba maneno matupu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Amos Makalla ni mtoto wa mjini. Kaingia mjini kipindi Magufuli anaingia chooni peku huko Chato. Narudia Papaa Amos Makalla ni mtoto wa mjini na ameingia kwenye highest Echelons za CCM kipindi ambacho hujaanza hata kutembea mwenyewe.
Mkude tu huyo amshukuru Mzee wa msoga
 
Tangu ateuliwe kuwa RC wa mkoa wa DSM hajawahi kufanikiwa ktk jambo lolote lile

Mtangulizi wake alianzisha kampeni ya kupanda miti ya mapambo kwenye barabara zote na sehemu za njia panda (roundabouts) zilipambika kweli kweli. Lkn Amos Makalla amefika miti yote imekauka.

Amos Makalla aliazisha kampeni ya usafi wa jijini akaipa jina kabisa. Akateua mpk mabalozi wa usafi .Kampeni hii imekufa kifo cha mende.

Kichekesho kikubwa ni pale alipofanya maamuzi ya kukurupuka ya kukataza mabasi ya mikoani kushusha abiria kwenye stendi binafsi. Wenye mabasi wakamgomea.

Hebu sasa soma sehemu ya hotuba yake ya leo wakati akitoa salaam kama mkuu wa mkoa mwenyeji wa shughuli ya utiaji saini mradi wa SGR (Tabora -Kigoma) leo 20 December, 2022.
"Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla anazungumza:
Hali ya usalama ni shwari, nashukuru kwa Shilingi Bilioni 12.3 ulizotupa za kujenga madarasa 618, nikuhakikishe hakuna mtoto ambaye hatakwenda shule

Dar ndio Jiji la kibiashara, sisi ni wanufaika wa kwanza wa mradi wa SGR, hivi karibuni ulinipa fursa ya Kwenda kuifunza mambo ya usafi Rwanda, wanakushukuru kwa kufungua biashara.

Unayoyafanya yameandikwa kwenye ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi, chama cha siasa kazi yake ni kushika dola, unayoyafanya unatekeleza kile kilichopo kwenye ilani.

Ukishaona mtu mzima anacheza michezo ya kitoto kwa mfano ‘hide and see’ au kujipikilisha ujue mambo sio mazuri, juzi tumesikia wenzetu wanachagua Bunge la Mtandao, linaitwa Bunge na lina Spika, sasa hapo tunaona kabisa wanacheza mchezo wa hide and see, wamechanganyikiwa, hii ni kutokana na kazi nzuri unayofanya".

Hotuba hii imekaa kitoto Sana. Haina focus, anapuyanga huku kisha anahamie kule.

Hivi huyu RC wa hovyo kiasi hiki anabebwa na nani hadi kuwekwa kwenye huu mkoa ambao ndiyo uso wa nchi??
Hivi ana elimu gani huyo Amos
 
Back
Top Bottom