Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Kwa Kuongezwa mwanamke hana Cha ziada kwenye uchumi wa mwanaume zaidi ya uchi wake tu. Mwanamkendiye huleta anguko la uchumi kwa mwanaumeHuo ndo ukweli ambao wengi hawataki kukubali. Wewe kama mwanaume utafanikiwa kwa juhudi zako, maarifa yako na upambanaji wako na sio kwa kutegemea akili na mawazo ya mwanamke. Akiwa mchango wowote kwako basi hiyo ni bonus tu lakini kama utaishi kwa kutegemea akili ya mwanamke eti akusaidie kujikwamua utakwama na utafeli vibaya sana. Kwamba Mo na Bakheresa walifanikiwa kwasababu ya akili za wake zao? Hiyo haiwezekani.
Kijiwe chochote chenye gambe tu.Shekhe 007
Tunafturu wapi mkuu idd
Daaaah basi nasemaje mi na weww iddi hii mkuuKijiwe chochote chenye gambe tu.
Uje na ule mshangazi wako wa BunjuDaaaah basi nasemaje mi na weww iddi hii mkuu
Ahahahha mshangazi wa bunju leo umewahi kutoka kazini unataka upitie magheton kwangu nimesema nooooUje na ule mshangazi wako wa Bunju
Hata wewe umefunga??Ahahahha mshangazi wa bunju leo umewahi kutoka kazini unataka upitie magheton kwangu nimesema noooo
Nafunga kaka kwann nisifunge sasa...Hata wewe umefunga??
Huwa nawashangaa sana watu wanaofananisha binadamu na wanyama yani eti mtu bila aibu, anasema wanawake wanashindwa na kuku sijui mbwa unabaki kujiuliza anatumia nini kufikiri, hivi je hao wanyama nao huwa wanatafuta pesa, wanasomesha watoto, wanapikia watoto na kuwahudumia watoto
100%Kwamba akikuzaa kunaondoa utegemezi wake? Hizi ndio akili za kumfanya mwanaume afanikiwe kweli😆😆
Wewe kuvuta chuchu au kutokuvuta kunaathiri nini mafanikio ya mtu. Hizi vichwa vinamoshi walahi wa sigara.
Wapo watoto hawajanyonya hayo maziwa, wapo wamekuzwa kiyatimayatima na wamefanikiwa.
Kumsomesha angalau utakuwa unaongea pointi
Lakini asilimia ngapi ya wanawake wanaweza kusomesha watoto ikiwa wao wenyewe wanahudumiwa na wanaume?
Kazi zipo lakini hawataki kufanya wanakuwa tegemezi na mzigo kwenye jamii na nchi?
Lazima mfanye mambo kwa vitendo sio kuleta maneno matupu.
Wapo wanawake wachache sana wanajitahidi kuwa wanawake wa Maana, lakini mostly hawana lolote. Ni Mzigo
Single mother huyo🤓🤓. Kwa hiyo sio Mzee Siku hizi. Tuachane na hayo.
Nini kinakufanya uwe na hasira hivi?
Single mother huyo
Duh. Kila siku ni kutuongelea.