Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #21
Utegemezi wa wanawake mara nyingi ni matokeo ya mifumo ya kihistoria na kijamii kama kukoseshwa elimu au fursa za kibiashara na siyo ukosefu wa akili ya uzalishaji.
Mdogo wangu alikimbia mimba , tukajitolea kulea yule mtoto, baada ya kufikisha miaka mitatu yule binti akaja na wazazi wake kuomba msamaha kuwa mtoto sio wadogo , hayo mambo nilikua nayapinga sana ila yana mambo mengi sana nyuma yakeKuna wawanaume wengi wanampa mimba wanawake halafu wanakimbia. Wanawake wengi huwa hawakimbii watoto.
Hata kama hawana pesa watajitahidi hivyohivyo kutunza, kulea, kuwatibu na kuwasomesha watoto kwa pesa hiyohiyo ya kuungaunga.
Watapambana hata kuuza samaki, mchicha, vitumbua, maandazi, soda, maji, mama ntilie mtaani.
Utegemezi wao kwa kiasi kikubwa ni mifumo, utamaduni, uchumi, historia na bailojia inavyofanya kazi.
Kuna wawanaume wengi wanampa mimba wanawake halafu wanakimbia. Wanawake wengi huwa hawakimbii watoto.
Hichi ndicho wanatakiwa kukifanya na ndio utamaduni unaotakiwa.Hata kama hawana pesa watajitahidi hivyohivyo kutunza, kulea, kuwatibu na kuwasomesha watoto kwa pesa hiyohiyo ya kuungaunga.
Watapambana hata kuuza samaki, mchicha, vitumbua, maandazi, soda, maji, mama ntilie mtaani.
Utegemezi wao kwa kiasi kikubwa ni mifumo, utamaduni, uchumi, historia na bailojia inavyofanya kazi.
Jiwe Gizani
Aah Mtakaa
Hata sisi mama zetu ni wanawake lakini ndo ukweliNingekubaliana na wewe kwa 100% kama mama yangu asingekuwa mwanamke
Unaambiwa hivi:Kuna wawanaume wengi wanampa mimba wanawake halafu wanakimbia. Wanawake wengi huwa hawakimbii watoto.
Sio kweli mkuuUpo sawa mkuu, naona wanawake wamesha panic na wanaume wenye hormones nyingi za X wanawaunga mikono
Sijamsikiliza huyo Mtaka aliwasilisha vipi ujumbe wake, lakini wote tunajua wanawake hawapendi kuambiwa ukweli. Kama huyo Mtaka aliwapa dozi kwa ile flow ya kihip hop ategemee kutengenezewa chuki ya chini kwa chini na hao wanawake ambao ni moja ya kundi la watu anaowaongoza. Labda kama ali-sugarcoat kidogo dozi ndio inaweza isilete shidaMtaka alikwambia anataka kupendwa na wanawake?
Kazi yake kuongea ukweli, inatosha...
Amenena kweli,2. Anthony Mtaka kauli hiyo aliikosoa vikali kauli hiyo kwamba ni upotoshaji, uongo, na sifa za kilaghai wanazopewa wanawake.
3. Huku akisema mafanikio kwa mtu yeyote yanahitaji juhudi kubwa za makusudi kwa mtu husika.
Amenena kweli,
Ungeweka hiyo clip basi
Nachukia sana uona watu wanatumia nguvu kubwa sana kuhalalisha umuhim wa mwanamke kwa mwanaume. hapo ndo najua kua nje ya kupanua miguu na kunyonyesha mwanamke hana maana tena.Sio kweli mkuu
Mkuu unakaza fuvu sana 😅 ila wanawake ukiwaelewa vizuri wala hawana shida kabisa😅Nachukia sana uona watu wanatumia nguvu kubwa sana kuhalalisha umuhim wa mwanamke kwa mwanaume. hapo ndo najua kua nje ya kupanua miguu na kunyonyesha mwanamke hana maana tena.
Ukifatilia asili ya huo msemo, mwanamke aliemaanishwa ni mke. Msemo ni wa zamani kidogo, labda kwa kioindi hicho ulikua na ukweli. Lakini kwa batch ya wanawake tulionao sasa, huo msemo hauna ukweli tenaTatizo la wewe Mpare ni Ujuaji Mwingi, Mbele Giza.
Ndo maana siku hizi umepoteza kabisa ushawishi hapa jamvini.
Iko hivi "kila mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke nyuma yake"
Ulitakiwa kukaa chini na kutafakari kwa kina hii kauli, kabla hujatoka na kuanza kuandika ili utembee na upepo.
Mwanamke huyo, anaweza kuwa, Mama, Dada, Shangazi, Binamu, Bibi, Etc, kwa namna 1 au nyingine ktk kukamilisha safari ya mafanikio ya mwanaume huyo.
Hata mke pia, anaweza kuwa, wapo wanawake walio sacrifice na kujitoa kwa waume zao na mafanikio yakatamalaki ndani yao.
Acha Kukurupuka.
Naomba wee uliyefuatilia asili ya huu msemo ndo uthibitishe kuwa anaye semwa hapa ni mke, mie nimeona "mwanamke" na sio "mke"Ukifatilia asili ya huo msemo, mwanamke aliemaanishwa ni mke. Msemo ni wa zamani kidogo, labda kwa kioindi hicho ulikua na ukweli. Lakini kwa batch ya wanawake tulionao sasa, huo msemo hauna ukweli tena
Kwa mantiki hiyo basi "kila mwanaue lofanikiwa nyuma yake kuna jamii nzima". Maana hakuna backup ya msngi hapo watakayoiwafa hao watu ambayo wetu wengine hawafanyi. Huwezi ukawa umekamilisha safari yangu kwa namna moja au nyingine na ukapaza sauti ukisema YOU HAVE MY BACK,Mwanamke huyo, anaweza kuwa, Mama, Dada, Shangazi, Binamu, Bibi, Etc, kwa namna 1 au nyingine ktk kukamilisha safari ya mafanikio ya mwanaume huyo.
Huo msemo kama unakata kote kote🤔Naomba wee uliyefuatilia asili ya huu msemo ndo uthibitishe kuwa anaye semwa hapa ni mke, mie nimeona "mwanamke" na sio "mke"
Km kawaida yako kutaka kujichukulia points, basi hapa umebugi.