RC Anthony Mtaka wanawake wanapenda uwasifie uongo. Usivuke Mstari watakuchukia sio muda

Naomba maana yake tafadhali,uwezekano wengi tupo kama Mtaka hii kauli tunaifafanua ndivyo sivyo.
Wewe bila mwanamke ungekuwa hapo ulipo?
Hivi bila ya uwepo wa wanawake nyie hata pesa mngetafuta?

Uwepo wa kiumbe mwanamke unafanya msukumo wa mwanaume kutafuta pesa uwe mkubwa..!!

Nyuma ya mafanikio yako kuna either mama yako au mkeo. Hao ndio watu pekee wanaowafanya wanaume mpambane..!!

Ushafikiria mngekuwa peke yenu bila uwepo wa wanawake mngetafuta pesa?
Wanawake wangapi wanawapa mitaji na wengine wanashiriki kwenye uzalishaji wa mali. Sisi wakinga kwetu tunafanya kazi kwa kutegemeana.
Wanafungua biashara mke anashinda anauza na kuisimamia wakati huo mwanaume anaenda kufata bidhaa, hapo mafanikio yakitokea utasema mwanaume peke yake kafanikisha??
 
Wewe unasemea wauaji, hapa tunaongelea wanawake wa shoka..!!

Hao nao pia watasifiwa sababu mpaka wamefikia kutelekeza watoto kuna mshirika wake ambaye walifanikisha wote kupata hao watoto..!!

Tukubaliane tu hakuna mwanaume bila mwanamke, na hakuna mwanamke bila mwanaume..!!

Mwanaume akiwa choka mbaya basi mtu wa kwanza kulaumiwa ni mke wake hajasimama imara kwa mumewe. Vivyo hivyo kwa mwanamke akiwa wa hovyo mwanaume tutampa lawama kwa kutosimamia role yake..!!
 
Wewe ukijiona mchango basi elewa ni moja kwa elfu moja.
Wenzako wengi ni mizigo tena Ile mizigo ya kunyanyuliwa na winchi
Kama walivyo wanaume nao ni pia wapo mizigo, tena nyie gender yenu ndo Vimeo vingi… kuna wenzenu wameamua kuwa Mario ili wapate mafanikio, wengine wameamua kuvuliwa ubingwa wapate mafanikio..!!

Hapo utasema mafanikio yao nyuma kuna nini??
 
🤓🤓. Kwa hiyo sio Mzee Siku hizi. Tuachane na hayo.
Nini kinakufanya uwe na hasira hivi?
Uzee ni baraka ila sio wa kulazimishana nyoko weeh.!! 😹😹
Wazee huwaoni wenye mitoto kumi kumi minyonyo imedondoka..!! USHINDWE MI KIGORI mtsiewwww..!! 🤣😹

Mi wala sina hasira ndivyo nilivyo labda hujanizoea..!!
 
Tungemwaga wapi sasa mkuu ? Hivi kweli jamani si upumguze kidogo sio pesa tu na kupunguza na kumwaga sasa tungemwaga wapi?
Mngemwagiana wenyewe kwa wenyewe si wanawake kwenu sio kitu..!!

We nawe unapenda ngono khaaa..!! 😹
 
Uzee ni baraka ila sio wa kulazimishana nyoko weeh.!! 😹😹
Wazee huwaoni wenye mitoto kumi kumi minyonyo imedondoka..!! USHINDWE MI KIGORI mtsiewwww..!! 🤣😹

Mi wala sina hasira ndivyo nilivyo labda hujanizoea..!!

Hehehee! Leo kazi ipo Leo. Kwamba wewe chuchu konzi sio🤭
Mimi nawajua nyie mabinti wa kariakoo wazee wa kubust vitu.

Sasa Turudi kwenye hoja.
Kwenye jamii yako yenye kiwango kikubwa cha utegemezi unaamini kwamba wanawake wanamsaada mkubwa kwenye mafanikio ya Wanaume?

Usilete hisia zako za kike hapa.
Hapa tunadili na takwimu na data.

Dependent Ratio ya hapa bongo unajua inachangiwa kwa kiasi kikubwa na watoto, kisha wanawake ndipo wanakuja wazee ambao hawa ni wachache
 
Mama yako anaweza kuwa chanzo Cha mafanikio yako, Kwa kukupa maadili mema, mawazo, ushauri, connection au hata mtaji kama ana uwezo pia hata dada yako ndio maana ya Kwa Kila mwanaume mwenye mafanikio nyuma Kuna mwanamke

Pia kama una urafiki na wanawake wenye connection ni rahisi sana kuipata connection na ukatoboa, hio ndo maana ya Kwa Kila mwanaume mwenye mafanikio nyuma Kuna mwanamke
 

Umefanya vizuri kutumia maneno "anaweza"

Lakini uhalisia upo hivi, vijana wengi waliofanikiwa mafanikio yao ni jitihada zao wao wenyewe.

Waliotoboa juu kabisa, wanatembelea majina ya Baba zao, urithi wa Baba,

Wachache Sana mafanikio Yao yanatokana na Mama, au mke au shangazi. Au bibi.
 
Hapa sasa tunaongea lugha moja.
 
My mother is one in a million.
Binafsi sijawahi kuona mwanamke mpambanaji kama mama yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…