RC Makonda aandaa sherehe Arusha. Anatarajiwa kuchinja ng'ombe 200

Wazee wa Kafara za Minuso.
nyama ni muhimu sana na ni lazima ziliwe haswaaaa kesho,

na bilashaka yoyote faida kwa wafanyabiashara wa vinywaji vikali na baridi lakini pia na huduma nyingine muhimu zitafanyika sana kesho, actually ni kuanzia leo usiku, na zitakua na faida maradufu kwa wana Arusha zaid ya gharama za ng"ombe wote watakaochinjwa
 
Mawazo tunduizi[emoji7]
huwezi kuwaza haya ikiwa fikra zimezongwa na umaskini...

ni lazima kujizatiti hasa katika kuamua na kuthubutu kutekeleza uamuzi mgumu lakini sahihi kwa maslahi mapana ya unao waongoza....

kuna watu wameona nyama tu kwenye event hiyo, kama yule aliehoji pesa zometoka wap?

kumbe alie buni event kaamua kuwekeza milioni mia3 ili wananchi kupitia biashara na huduma za malipo wanazofanya watengeneze blioni 1 na maisha ya wananchi wa Arusha kiuchumi yabadilike
 
Hivi kumbe kufahamu namna ya Fedha za Serikali zinavyotumika na yenyewe ni hadi uwe Nyumbu?

Au hizo Kodi tunazolipishwa Kila Siku huwa zinabagua Chama?
Wacha wananchi wa chuga wale nyama ..ng'ombe 200 ni wadogo xnaa
Czani kama watatosha
 
Hayo ndiyo anayoyaweza Makonda basi.
 
Pilipili iwe nyingi kwenye kachumbari
 
Hao wana pesa zao lbd wamechanga
 
Wacha wananchi wa chuga wale nyama ..ng'ombe 200 ni wadogo xnaa
Czani kama watatosha
Kama hawatoi Kuponi getini nami nitaenda kula hizo nyama Choma

Ikiwezekana waweke na Muziki kabisa tukeshe tukifurahia Rc wetu kwenda kugombea Ubunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…