RC Makonda aandaa sherehe Arusha. Anatarajiwa kuchinja ng'ombe 200

RC Makonda aandaa sherehe Arusha. Anatarajiwa kuchinja ng'ombe 200

Wazee wa Kafara za Minuso.
nyama ni muhimu sana na ni lazima ziliwe haswaaaa kesho,

na bilashaka yoyote faida kwa wafanyabiashara wa vinywaji vikali na baridi lakini pia na huduma nyingine muhimu zitafanyika sana kesho, actually ni kuanzia leo usiku, na zitakua na faida maradufu kwa wana Arusha zaid ya gharama za ng"ombe wote watakaochinjwa :pulpTRAVOLTA:
 
Mawazo tunduizi[emoji7]
huwezi kuwaza haya ikiwa fikra zimezongwa na umaskini...

ni lazima kujizatiti hasa katika kuamua na kuthubutu kutekeleza uamuzi mgumu lakini sahihi kwa maslahi mapana ya unao waongoza....

kuna watu wameona nyama tu kwenye event hiyo, kama yule aliehoji pesa zometoka wap?

kumbe alie buni event kaamua kuwekeza milioni mia3 ili wananchi kupitia biashara na huduma za malipo wanazofanya watengeneze blioni 1 na maisha ya wananchi wa Arusha kiuchumi yabadilike :pulpTRAVOLTA:
 
Hivi kumbe kufahamu namna ya Fedha za Serikali zinavyotumika na yenyewe ni hadi uwe Nyumbu?

Au hizo Kodi tunazolipishwa Kila Siku huwa zinabagua Chama?
Wacha wananchi wa chuga wale nyama ..ng'ombe 200 ni wadogo xnaa
Czani kama watatosha
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema ng’ombe takribani 200 watatolewa kwa ajili ya kuchoma nyama, tukio linalolenga kuimarisha uhusiano kati ya wafanyabiashara wa mkoa huo na viongozi wanaoshiriki kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi za Umma.

“Ng’ombe kama 200 hivi watachinjwa, ni kuchoma nyama tu hakuna ugali wala wali, lakini tumewaita wafanyabiashara wote wa Mkoa wa Arusha” amesema Makonda

Ametangaza kufanyika kwa sherehe ndogo Agosti 29, 2024 kwa lengo la kuwakutanisha wafanyabiashara wa Arusha na Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi za Umma.
Hayo ndiyo anayoyaweza Makonda basi.
 
Pilipili iwe nyingi kwenye kachumbari
 
Ofisi ya Mkoa haina hiyo hela.

Kwani hujui Zinazokusanya Kodi ni Halmashauri pekee? Mkoa husubiri fedha za Uendeshaji wa ofisi tu (OC )kutoka Serikali KUU tu

Hivyo hawana huo ujanja wa kutumia milioni 170 kuzitumbua kwenye sherehe pekee wakati fedha zao za OC nadhani Kwa Mwaka hazizidi 200M
Hao wana pesa zao lbd wamechanga
 
Wacha wananchi wa chuga wale nyama ..ng'ombe 200 ni wadogo xnaa
Czani kama watatosha
Kama hawatoi Kuponi getini nami nitaenda kula hizo nyama Choma

Ikiwezekana waweke na Muziki kabisa tukeshe tukifurahia Rc wetu kwenda kugombea Ubunge
 
Back
Top Bottom