Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Na wao wapewe chai ikulu,,,hapo wataridhika na watamsifia mama bila shidaUnapiga hesabu ela zako?
Nyie nyumbu kila cku mnataka ela zitumike wapi jmn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wao wapewe chai ikulu,,,hapo wataridhika na watamsifia mama bila shidaUnapiga hesabu ela zako?
Nyie nyumbu kila cku mnataka ela zitumike wapi jmn
Makonda ni multibillionaire alipiga mabilioni mengi enzi za utawala wa giza wa yule mwovu.Kapata wapi Hela?
"Fund raising" ni rushwa ?!!Ni Rushwa
acha wivu mtoto wa kiume tafuta hela, vijana wengi wavivu na waliokosa connection wana wivu na makonda ikiwamo weweMakonda ni multimillionaire alipiga mabilioni mengi enzi za utawala wa giza wa yule mwovu.
Hisia...Makonda ni multimillionaire alipiga mabilioni mengi enzi za utawala wa giza wa yule mwovu.
nyama ni muhimu sana na ni lazima ziliwe haswaaaa kesho,Wazee wa Kafara za Minuso.

U.M.E.M.A.L.I.Z.Aacha wivu mtoto wa kiume tafuta hela, vijana wengi wavivu na waliokosa connection wana wivu na makonda ikiwamo wewe
Mawazo tunduizi[emoji7]nyama ni muhimu sana na ni lazima ziliwe haswaaaa,
na bilashaka yoyote faida kwa wafanyabiashara wa vinywaji vikali na baridi lakini pia na huduma nyingine mihimu zitakua na faida maradufu kwa wana Arusha zaid ya gharama za ng"ombe watakaochinjwa![]()
huwezi kuwaza haya ikiwa fikra zimezongwa na umaskini...Mawazo tunduizi[emoji7]

Wacha wananchi wa chuga wale nyama ..ng'ombe 200 ni wadogo xnaaHivi kumbe kufahamu namna ya Fedha za Serikali zinavyotumika na yenyewe ni hadi uwe Nyumbu?
Au hizo Kodi tunazolipishwa Kila Siku huwa zinabagua Chama?
Hayo ndiyo anayoyaweza Makonda basi.Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema ng’ombe takribani 200 watatolewa kwa ajili ya kuchoma nyama, tukio linalolenga kuimarisha uhusiano kati ya wafanyabiashara wa mkoa huo na viongozi wanaoshiriki kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi za Umma.
“Ng’ombe kama 200 hivi watachinjwa, ni kuchoma nyama tu hakuna ugali wala wali, lakini tumewaita wafanyabiashara wote wa Mkoa wa Arusha” amesema Makonda
Ametangaza kufanyika kwa sherehe ndogo Agosti 29, 2024 kwa lengo la kuwakutanisha wafanyabiashara wa Arusha na Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi za Umma.
mnpe dadako au mamako uone kama awezi piaHayo ndiyo anayoyaweza Makonda basi.
Si unaona hata wafuasi wake walivyo kopo kichwani?mnpe dadako au mamako uone kama awezi pia
Hao wana pesa zao lbd wamechangaOfisi ya Mkoa haina hiyo hela.
Kwani hujui Zinazokusanya Kodi ni Halmashauri pekee? Mkoa husubiri fedha za Uendeshaji wa ofisi tu (OC )kutoka Serikali KUU tu
Hivyo hawana huo ujanja wa kutumia milioni 170 kuzitumbua kwenye sherehe pekee wakati fedha zao za OC nadhani Kwa Mwaka hazizidi 200M
Nami nakubaliana nawe kwamba wamechanga wao wenyewe sio MkoaHao wana pesa zao lbd wamechanga
Kwahyo unataka watu wafanye mazungumzo bila kula!? Roho mbaya zimekujaeni nyie wajakuna kipi cha kusherehekea?
au sababu anazo mwenyewe sirini?
kukutanisha hao watu ni mpaka kuchinja ng'ombe?
Kama hawatoi Kuponi getini nami nitaenda kula hizo nyama ChomaWacha wananchi wa chuga wale nyama ..ng'ombe 200 ni wadogo xnaa
Czani kama watatosha
kula ndio mpaka iwe ng'ombe 200?Kwahyo unataka watu wafanye mazungumzo bila kula!? Roho mbaya zimekujaeni nyie waja