Ripoti hii ya CAG asilimia kubwa ni ya enzi ya utawala wa Jiwe, ulijaa upigaji
Iwapo ni miongoni au ulikuwa miongoni mwa timu uovu lazima usielewe pindi unavo sikia Neno uovu🤔
Mbona hueleweki mkuu mara uovu mara ushetani, nilikuwa miongoni mwa timu uovu gani hiyo!?
 
Acha ubwege, unadhani pikipiki mi sawa na sahani ya makande unayonunua kwa mia tano mtaani kwenu
ama kweli shule za kata sio msaada, yaani ujuavyo wewe nchi hii hakuna muuzaji mwenye stock ya pikipiki 300?
 
Back
Top Bottom