JPM alileta nidhamu na kudhibiti wizi wa umma kwa 100%,miradi yote aliyoisimamia ni bora na thamani ya pesa ilionekana,Hakuitaji Longolongo kwenye kutoa pesa kwenye uhitaji wa mradi na hizi ndio CAG analalama hazikutoka bila utaratibu.
Namshangaa CAG anadis stand ya Magufuli na watu wanashangilia yaan watz tumezoeana shida, eneo iliyopo stand Kuna barabara nane foleni ipo wapi.Hawa watu kama CAG wanakwamisha maendeleo na angekuwepo utoe upuuz kama huu angekutoa kinyesi.
Unapotoa Atcl imepata hasara toa reference na mashirika mengine Ethiopia airway wamepata hasara ya bil. Zaid ya 600,Kenya airways hasara ya bil. 800 hayo mashirika yapo kwenye biashara ya usafir wa ndege kwa muda mrefu.
CAG anataka kurudisha biashara ya majenereta kwa kuupuza mradi wa kufua umeme wa mwalimu Nyerere huu ni upumbavu.
Kama watu hawapend kwenda kufanya kazi maporin, watz hawapend Kaz na kila mmoja anapenda afanye kaz mjin dasilamu, ulitegemea huo mradi SGR wakandarasi wakitz watoke Dar waende porini, JPM karuhusu wageni wafanye Kaz wakat vibali vyao vinafuatiliwa ili mradi uendelee.
CAG kazi yake ndio hiyo, kuangalia pesa za umma zimefanya kazi na utoaji wake umefuata sheria, lkn hakuna pesa iliyoibiwa. CAG alitakiwa kuelimisha watu,hakuna ufisadi uliofanyika ila ni ukiukaji wa sheria.
Kama utawala wa JPM ulifisadi, utawala wa mamapesa zitatoka kwa kwa kufuata sheria lakini wataifisadi zaidi mara 70000.