Huyu analenga akili ndogo...tujiulize ni wangapi wanaojua mambo ya ADR?Sasa tufanyeje na anayafanya hayo kwa manufaa ya nani na nani anamlinda?
Ameongea ukweli Ila watanzania tulio wengi ni WAOGA WAOGA shida ndio inaanzia hapo km ulimi uliteleza sawa Ila kazungumza Jambo la ukweli, Mahakama zote zipo chini ya Serikali hazipo huru km mhimili unaojitegemea boss wao majaji na mahakimu ni Serikali kuuKwanini wanaenda court ya kimataifa na sio hapa nchini? hiyo ni sheria ambayo hauwezi kupata muwekezaji. Hamna muwekezaji atakuja hapa kuwekeza pesa zake halafu kesho unamwambia aende kisutu, Kisutu ambapo mtu yeyote wa Serikali anaweza kumpigia simu jaji akamwambia huyo usimpe hukumu hiyo, usimpe haki yake
kuhusiana na majaji, na mahakimu alisema ukweli mtupu. hata hakutakiwa kuomba msamaha. ndio africa ilivyo.View attachment 2678094
"Kwanini wanaenda court ya kimataifa na sio hapa nchini? hiyo ni sheria ambayo hauwezi kupata muwekezaji. Hamna muwekezaji atakuja hapa kuwekeza pesa zake halafu kesho unamwambia aende kisutu, Kisutu ambapo mtu yeyote wa Serikali anaweza kumpigia simu jaji akamwambia huyo usimpe hukumu hiyo, usimpe haki yake"
"Nani atakubali kiuwekeza kama halindwi na Sheria za kimataifa, hawezi kuja mtu hapa. Watakuja watu wachina kuleta vitu vidogo vidogo lakini biashara kubwa zinaangalia pia ulinzi wa mali yao. Na ulinzi wa mali zao lazima uendane na sheria za kimataifa, na sheria za kimataifa zinasema hiyo ndio misingi ya kuwekeza"
"Mimi ningekuwa mwekezaji wa nje, halafu nikija unaniambia niwekeze kwa dola bilioni 1, halafu nikipata matatizo niende kisutu siwezi kuleta hela yangu hapa"
Rostam Aziz
Juni 26, 2023
Kauli iliyotolewa jana na mfanyabiashara Rostam Aziz juuu ya Mahakama za Tanzania ni tusi kubwa sana kwa Viongozi wote wa serikali.
=====
UPDATES;
=====
Rostam Aziz atakiwa kutoa ushahidi au kukanusha habari hii kwa uzito uleule.
Zaidi soma;
Chama cha Majaji na Mahakimu Tanzania chamtaka Rostam Aziz kuthibitisha tuhuma alizotoa dhidi ya Majaji na Mahakama ya Kisutu
Mnamo tarehe 26 Juni, 2023 manyabiashara Bw. Rostam Azizi wakati akiongea na vyombo vya habari kuhusu masuala ya uwekezaji alinukuliwa akiituhumu aliyoiita Mahakama ya Kisutu kwa kutokuwa huru katika uendeshaji wa shughuli zake. Kutokana na taarifa hiyo tunapenda kuhabarisha umma yafuatayo...www.jamiiforums.com
MAHAKAMA HAIPO HURUMuhimili wa mahakama ,Rostam Aziz kauacha uchi kabisa,,jaji Mkuu bila kuchukua hatua dhidi ya matamshi haya ni bora ukajiuzulu tu
Inaonyesha kumbe muhimili huu hauko huru na umefanya dhulma nyingi kupitia maelekezo ya simu
Maneno yake hayatofutika ukweli upo wazi majaji na mahakimu wanajitutumua tu Ila ni wa kufugwa kwa Serikali hawana la kusemakuhusiana na majaji, na mahakimu alisema ukweli mtupu. hata hakutakiwa kuomba msamaha. ndio africa ilivyo.
Nakazia.Huyu bwana pamoja na kuandamwa na tuhuma za ufisadi kutoka kwa wapinzani, kuna siku alisema jambo kuhusu mahakama zetu na majaji wa mahakama hizo(sitaki kurudia kwani naweza nisimnukuu sawasawa).
Sasa kwa hukumu ya kesi huko Mbeya Leo kuhusu uwekezaji wa DP WORLD, je ndio kutimia kwa maneno ya Rostam ingawa nasikia aliomba radhi kwa matamshi yake?
Sasa kwanini mnakibilia huko, wakati hampamini? Huo ndo kua opportunist kibarakara.Huyu bwana pamoja na kuandamwa na tuhuma za ufisadi kutoka kwa wapinzani, kuna siku alisema jambo kuhusu mahakama zetu na majaji wa mahakama hizo(sitaki kurudia kwani naweza nisimnukuu sawasawa).
Sasa kwa hukumu ya kesi leo huko Mbeya kuhusu uwekezaji wa DP WORLD; je, ndio kutimia kwa maneno ya Rostam ingawa nasikia aliomba radhi kwa matamshi yake?
Ulidhani ULIMI ULITELEZA !!! HELL NO !!!Huyu bwana pamoja na kuandamwa na tuhuma za ufisadi kutoka kwa wapinzani, kuna siku alisema jambo kuhusu mahakama zetu na majaji wa mahakama hizo(sitaki kurudia kwani naweza nisimnukuu sawasawa).
Sasa kwa hukumu ya kesi leo huko Mbeya kuhusu uwekezaji wa DP WORLD; je, ndio kutimia kwa maneno ya Rostam ingawa nasikia aliomba radhi kwa matamshi yake?
A black day in TanganyikaHuyu bwana pamoja na kuandamwa na tuhuma za ufisadi kutoka kwa wapinzani, kuna siku alisema jambo kuhusu mahakama zetu na majaji wa mahakama hizo(sitaki kurudia kwani naweza nisimnukuu sawasawa).
Sasa kwa hukumu ya kesi leo huko Mbeya kuhusu uwekezaji wa DP WORLD; je, ndio kutimia kwa maneno ya Rostam ingawa nasikia aliomba radhi kwa matamshi yake?
Nakazia hapa,ni kupoteza muda.Sasa kwanini mnakibilia huko, wakati hampamini? Huo ndo kua opportunist kibarakara.
Nathan ni kwasbabu ni lazima waanze na mahakama za ndani halafu ndio waje kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki ambayo inaweza kuwa huru kuliko hizi zetu za humu ndani.Sasa kwanini mnakibilia huko, wakati hampamini? Huo ndo kua opportunist kibarakara.
hatari sana
Baba yako hata akikufanyia ukatiri wa shambulio la aibu bado utaendelea kuishi naye mpaka pale wasamaria wema watakapokuokoa na bado atabaki kuwa baba yako.Sasa kwanini mnakibilia huko, wakati hampamini? Huo ndo kua opportunist kibarakara.
Bunge na mahakama ni takataka tu mbele ya Raisi.Huyu bwana pamoja na kuandamwa na tuhuma za ufisadi kutoka kwa wapinzani, kuna siku alisema jambo kuhusu mahakama zetu na majaji wa mahakama hizo(sitaki kurudia kwani naweza nisimnukuu sawasawa).
Sasa kwa hukumu ya kesi leo huko Mbeya kuhusu uwekezaji wa DP WORLD; je, ndio kutimia kwa maneno ya Rostam ingawa nasikia aliomba radhi kwa matamshi yake?
Kauli ya Rostam Azizi kuhusu Mahakama zetu imetimiaUnabaki kushangaa wanavyotafuna kodi zetu wakati utendaji wao ni zero.
Sema wakimtuhumu kama Aziz alivo tuhumu sio kufanyiwa kwasbb hakudhibitosha.Baba yako hata akikufanyia ukatiri wa shambulio la aibu bado utaendelea kuishi naye mpaka pale wasamaria wema watakapokuokoa na bado atabaki kuwa baba yako.