Rostam Aziz: Hakuna mwekezaji atakubali kuwekeza halafu umwambie aende Mahakama ya Kisutu ambapo Majaji wanaweza kupigiwa simu na watu wa Serikali

Sasa tufanyeje na anayafanya hayo kwa manufaa ya nani na nani anamlinda?
Huyu analenga akili ndogo...tujiulize ni wangapi wanaojua mambo ya ADR?
So hapo anajijengea umaarufu wake kisiasa, kumbuka wanasiasa wanaamini wapiga kura ni mbumbumbu.
Pia wanasiasa wanaenjoy audience!!
 
Kwanini wanaenda court ya kimataifa na sio hapa nchini? hiyo ni sheria ambayo hauwezi kupata muwekezaji. Hamna muwekezaji atakuja hapa kuwekeza pesa zake halafu kesho unamwambia aende kisutu, Kisutu ambapo mtu yeyote wa Serikali anaweza kumpigia simu jaji akamwambia huyo usimpe hukumu hiyo, usimpe haki yake
Ameongea ukweli Ila watanzania tulio wengi ni WAOGA WAOGA shida ndio inaanzia hapo km ulimi uliteleza sawa Ila kazungumza Jambo la ukweli, Mahakama zote zipo chini ya Serikali hazipo huru km mhimili unaojitegemea boss wao majaji na mahakimu ni Serikali kuu

404: Page Not Found
 
View attachment 2678094
"Kwanini wanaenda court ya kimataifa na sio hapa nchini? hiyo ni sheria ambayo hauwezi kupata muwekezaji. Hamna muwekezaji atakuja hapa kuwekeza pesa zake halafu kesho unamwambia aende kisutu, Kisutu ambapo mtu yeyote wa Serikali anaweza kumpigia simu jaji akamwambia huyo usimpe hukumu hiyo, usimpe haki yake"

"Nani atakubali kiuwekeza kama halindwi na Sheria za kimataifa, hawezi kuja mtu hapa. Watakuja watu wachina kuleta vitu vidogo vidogo lakini biashara kubwa zinaangalia pia ulinzi wa mali yao. Na ulinzi wa mali zao lazima uendane na sheria za kimataifa, na sheria za kimataifa zinasema hiyo ndio misingi ya kuwekeza"

"Mimi ningekuwa mwekezaji wa nje, halafu nikija unaniambia niwekeze kwa dola bilioni 1, halafu nikipata matatizo niende kisutu siwezi kuleta hela yangu hapa"

Rostam Aziz
Juni 26, 2023

Kauli iliyotolewa jana na mfanyabiashara Rostam Aziz juuu ya Mahakama za Tanzania ni tusi kubwa sana kwa Viongozi wote wa serikali.

=====

UPDATES;

=====

Rostam Aziz atakiwa kutoa ushahidi au kukanusha habari hii kwa uzito uleule.

Zaidi soma;

kuhusiana na majaji, na mahakimu alisema ukweli mtupu. hata hakutakiwa kuomba msamaha. ndio africa ilivyo.
 
Muhimili wa mahakama ,Rostam Aziz kauacha uchi kabisa,,jaji Mkuu bila kuchukua hatua dhidi ya matamshi haya ni bora ukajiuzulu tu
Inaonyesha kumbe muhimili huu hauko huru na umefanya dhulma nyingi kupitia maelekezo ya simu
MAHAKAMA HAIPO HURU

404: Page Not Found
 
kuhusiana na majaji, na mahakimu alisema ukweli mtupu. hata hakutakiwa kuomba msamaha. ndio africa ilivyo.
Maneno yake hayatofutika ukweli upo wazi majaji na mahakimu wanajitutumua tu Ila ni wa kufugwa kwa Serikali hawana la kusema

Simu moja tu mwachieni huru huyo anaachiwa simu moja tu msimpe hukumu hapewi hukumu simu moja tu mwachieni Sabaya

404: Page Not Found
 
Huyu bwana pamoja na kuandamwa na tuhuma za ufisadi kutoka kwa wapinzani, kuna siku alisema jambo kuhusu mahakama zetu na majaji wa mahakama hizo(sitaki kurudia kwani naweza nisimnukuu sawasawa).

Sasa kwa hukumu ya kesi leo huko Mbeya kuhusu uwekezaji wa DP WORLD; je, ndio kutimia kwa maneno ya Rostam ingawa nasikia aliomba radhi kwa matamshi yake?
 
Sasa kwa hukumu ya kesi huko Mbeya Leo kuhusu uwekezaji wa DP WORLD, je ndio kutimia kwa maneno ya Rostam ingawa nasikia aliomba radhi kwa matamshi yake?
Nakazia.
 
Huyu bwana pamoja na kuandamwa na tuhuma za ufisadi kutoka kwa wapinzani, kuna siku alisema jambo kuhusu mahakama zetu na majaji wa mahakama hizo(sitaki kurudia kwani naweza nisimnukuu sawasawa).

Sasa kwa hukumu ya kesi leo huko Mbeya kuhusu uwekezaji wa DP WORLD; je, ndio kutimia kwa maneno ya Rostam ingawa nasikia aliomba radhi kwa matamshi yake?
Sasa kwanini mnakibilia huko, wakati hampamini? Huo ndo kua opportunist kibarakara.
 
Ulidhani ULIMI ULITELEZA !!! HELL NO !!!
 
Huyu bwana pamoja na kuandamwa na tuhuma za ufisadi kutoka kwa wapinzani, kuna siku alisema jambo kuhusu mahakama zetu na majaji wa mahakama hizo(sitaki kurudia kwani naweza nisimnukuu sawasawa).

Sasa kwa hukumu ya kesi leo huko Mbeya kuhusu uwekezaji wa DP WORLD; je, ndio kutimia kwa maneno ya Rostam ingawa nasikia aliomba radhi kwa matamshi yake?
A black day in Tanganyika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwanini mnakibilia huko, wakati hampamini? Huo ndo kua opportunist kibarakara.
Nathan ni kwasbabu ni lazima waanze na mahakama za ndani halafu ndio waje kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki ambayo inaweza kuwa huru kuliko hizi zetu za humu ndani.

Ni mtazamo wangu.
 
Sasa kwanini mnakibilia huko, wakati hampamini? Huo ndo kua opportunist kibarakara.
Baba yako hata akikufanyia ukatiri wa shambulio la aibu bado utaendelea kuishi naye mpaka pale wasamaria wema watakapokuokoa na bado atabaki kuwa baba yako.
 
Huyu bwana pamoja na kuandamwa na tuhuma za ufisadi kutoka kwa wapinzani, kuna siku alisema jambo kuhusu mahakama zetu na majaji wa mahakama hizo(sitaki kurudia kwani naweza nisimnukuu sawasawa).

Sasa kwa hukumu ya kesi leo huko Mbeya kuhusu uwekezaji wa DP WORLD; je, ndio kutimia kwa maneno ya Rostam ingawa nasikia aliomba radhi kwa matamshi yake?
Bunge na mahakama ni takataka tu mbele ya Raisi.

Tuna safari ndefu sana watampingaje ili hali yeye ndo kawateua.

Hamna Shida tutashinda nje ya mahakama
 
Baba yako hata akikufanyia ukatiri wa shambulio la aibu bado utaendelea kuishi naye mpaka pale wasamaria wema watakapokuokoa na bado atabaki kuwa baba yako.
Sema wakimtuhumu kama Aziz alivo tuhumu sio kufanyiwa kwasbb hakudhibitosha.
 
Back
Top Bottom