Huyu analenga akili ndogo...tujiulize ni wangapi wanaojua mambo ya ADR?
So hapo anajijengea umaarufu wake kisiasa, kumbuka wanasiasa wanaamini wapiga kura ni mbumbumbu.
Pia wanasiasa wanaenjoy audience!!
Kwanini wanaenda court ya kimataifa na sio hapa nchini? hiyo ni sheria ambayo hauwezi kupata muwekezaji. Hamna muwekezaji atakuja hapa kuwekeza pesa zake halafu kesho unamwambia aende kisutu, Kisutu ambapo mtu yeyote wa Serikali anaweza kumpigia simu jaji akamwambia huyo usimpe hukumu hiyo, usimpe haki yake
Ameongea ukweli Ila watanzania tulio wengi ni WAOGA WAOGA shida ndio inaanzia hapo km ulimi uliteleza sawa Ila kazungumza Jambo la ukweli, Mahakama zote zipo chini ya Serikali hazipo huru km mhimili unaojitegemea boss wao majaji na mahakimu ni Serikali kuu
View attachment 2678094
"Kwanini wanaenda court ya kimataifa na sio hapa nchini? hiyo ni sheria ambayo hauwezi kupata muwekezaji. Hamna muwekezaji atakuja hapa kuwekeza pesa zake halafu kesho unamwambia aende kisutu, Kisutu ambapo mtu yeyote wa Serikali anaweza kumpigia simu jaji akamwambia huyo usimpe hukumu hiyo, usimpe haki yake"
"Nani atakubali kiuwekeza kama halindwi na Sheria za kimataifa, hawezi kuja mtu hapa. Watakuja watu wachina kuleta vitu vidogo vidogo lakini biashara kubwa zinaangalia pia ulinzi wa mali yao. Na ulinzi wa mali zao lazima uendane na sheria za kimataifa, na sheria za kimataifa zinasema hiyo ndio misingi ya kuwekeza"
"Mimi ningekuwa mwekezaji wa nje, halafu nikija unaniambia niwekeze kwa dola bilioni 1, halafu nikipata matatizo niende kisutu siwezi kuleta hela yangu hapa"
Rostam Aziz
Juni 26, 2023
Kauli iliyotolewa jana na mfanyabiashara Rostam Aziz juuu ya Mahakama za Tanzania ni tusi kubwa sana kwa Viongozi wote wa serikali.
=====
UPDATES;
=====
Rostam Aziz atakiwa kutoa ushahidi au kukanusha habari hii kwa uzito uleule.
Mnamo tarehe 26 Juni, 2023 manyabiashara Bw. Rostam Azizi wakati akiongea na vyombo vya habari kuhusu masuala ya uwekezaji alinukuliwa akiituhumu aliyoiita Mahakama ya Kisutu kwa kutokuwa huru katika uendeshaji wa shughuli zake. Kutokana na taarifa hiyo tunapenda kuhabarisha umma yafuatayo...
Muhimili wa mahakama ,Rostam Aziz kauacha uchi kabisa,,jaji Mkuu bila kuchukua hatua dhidi ya matamshi haya ni bora ukajiuzulu tu
Inaonyesha kumbe muhimili huu hauko huru na umefanya dhulma nyingi kupitia maelekezo ya simu
Huyu bwana pamoja na kuandamwa na tuhuma za ufisadi kutoka kwa wapinzani, kuna siku alisema jambo kuhusu mahakama zetu na majaji wa mahakama hizo(sitaki kurudia kwani naweza nisimnukuu sawasawa).
Sasa kwa hukumu ya kesi leo huko Mbeya kuhusu uwekezaji wa DP WORLD; je, ndio kutimia kwa maneno ya Rostam ingawa nasikia aliomba radhi kwa matamshi yake?

Sasa kwa hukumu ya kesi huko Mbeya Leo kuhusu uwekezaji wa DP WORLD, je ndio kutimia kwa maneno ya Rostam ingawa nasikia aliomba radhi kwa matamshi yake?
Huyu bwana pamoja na kuandamwa na tuhuma za ufisadi kutoka kwa wapinzani, kuna siku alisema jambo kuhusu mahakama zetu na majaji wa mahakama hizo(sitaki kurudia kwani naweza nisimnukuu sawasawa).
Sasa kwa hukumu ya kesi leo huko Mbeya kuhusu uwekezaji wa DP WORLD; je, ndio kutimia kwa maneno ya Rostam ingawa nasikia aliomba radhi kwa matamshi yake?
Huyu bwana pamoja na kuandamwa na tuhuma za ufisadi kutoka kwa wapinzani, kuna siku alisema jambo kuhusu mahakama zetu na majaji wa mahakama hizo(sitaki kurudia kwani naweza nisimnukuu sawasawa).
Sasa kwa hukumu ya kesi leo huko Mbeya kuhusu uwekezaji wa DP WORLD; je, ndio kutimia kwa maneno ya Rostam ingawa nasikia aliomba radhi kwa matamshi yake?
Huyu bwana pamoja na kuandamwa na tuhuma za ufisadi kutoka kwa wapinzani, kuna siku alisema jambo kuhusu mahakama zetu na majaji wa mahakama hizo(sitaki kurudia kwani naweza nisimnukuu sawasawa).
Sasa kwa hukumu ya kesi leo huko Mbeya kuhusu uwekezaji wa DP WORLD; je, ndio kutimia kwa maneno ya Rostam ingawa nasikia aliomba radhi kwa matamshi yake?
Nathan ni kwasbabu ni lazima waanze na mahakama za ndani halafu ndio waje kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki ambayo inaweza kuwa huru kuliko hizi zetu za humu ndani.
Baba yako hata akikufanyia ukatiri wa shambulio la aibu bado utaendelea kuishi naye mpaka pale wasamaria wema watakapokuokoa na bado atabaki kuwa baba yako.
Huyu bwana pamoja na kuandamwa na tuhuma za ufisadi kutoka kwa wapinzani, kuna siku alisema jambo kuhusu mahakama zetu na majaji wa mahakama hizo(sitaki kurudia kwani naweza nisimnukuu sawasawa).
Sasa kwa hukumu ya kesi leo huko Mbeya kuhusu uwekezaji wa DP WORLD; je, ndio kutimia kwa maneno ya Rostam ingawa nasikia aliomba radhi kwa matamshi yake?
Baba yako hata akikufanyia ukatiri wa shambulio la aibu bado utaendelea kuishi naye mpaka pale wasamaria wema watakapokuokoa na bado atabaki kuwa baba yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.