Ruble ya Urusi inazidi kuchanja mbuga kwa kuongezeka thamani

Hivi wewe unaishi dunia ya wapi? Tayari kuna mapatano kati ya Urusi, India na China kuanza kufanya biashara kwa kutumia pesa zao za ndani. Na ujue unazungumzia mzunguko wa biashara kwa watu karibu bilioni 3!!
Je hao watu wana nguvu gani ya manunuzi? Mkuu hii ni kama mrusi anataka kuwakomoa tu Ulaya lakini kwenye uchumi wake mambo bado magumu tu in and out kwenye biashara ni muhimu sana
 
Usipoteshe wewe pro-putin na namuomba mod afute hii thread
 
Mwanzo alaikua anawakopesha sawa hawa ulaya, anawapiga tafu sana, yaani anawabeba kwa nishati, baada ya chokochoko kumuekea vikwazo kaanza kuwalipisha inavyotakiwa haswa, yaani hamna mkopo wala nn, lipa hela nakupa gas/oil kwa hela ninayotaka mm
Kiuchumi umeongopa sana, hakukuwa na bihashara ya dizaini iyo unayosema. Ni ivi mafuta yalikuwa yananunuliwa kwa Dollar, kwa iyo ulikuwa unazalisha mafuta alafu unayapeleka sokoni yananunuliwa kwa mfumo wa Dollar (Mpaka wakaita Petro-Dollar). Msimamiaji wa sokoni ni mwenye Dollar ambae ni USA na sio ety unawakopesha mafuta kama ulivyotaka kutupiga kamba. Sasa USA Ndio alikuwa anawalipisha ktk system ya Dollar na Ndio maana nchi nyingi zilikuwa na reserve ya Dollar kutokana na manunuzi kufanyika ktk account za Dollar.

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ukiwa na hela ina thamani sana kwa maana ya exchange rate, halafu haikubaliki katika soko la dunia, bado hiyo hela haina thamani.
 
Ukiwa na hela ina thamani sana kwa maana ya exchange rate, halafu haikubaliki katika soko la dunia, bado hiyo hela haina thamani.
Hhmm mkongwe hapa umenifungua jambo, Ina maana ukienda na Ruble bureau de change, Ukataka kuwapa Ruble wakupe dollar Watagoma maana Ruble ni sawa na Bhange!!?.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…