Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,221
- 6,940
Wanazihitaji tu kwa kununua GAS.Kwani hao UE 40 countries hawazihitaji rubble??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanazihitaji tu kwa kununua GAS.Kwani hao UE 40 countries hawazihitaji rubble??
Ndo hawawezi kumpiga ingekuwa ka nchi ka kisenge wangesha kapigaSubiri na BRICS waitupilie mbali Dollar.
US ataanzisha vita tu at the end !!.
Kwa wasiofaham, kilichomuua Gaddafi, ni kujaribu kuondoa Dollar kwenye biashara yake ya Mafuta .
Urusi angekua mwepesi , Leo hii angekua keshapigwa na NATO
Mkuu hii ni nini?Usipoteshe wewe pro-putin na namuomba mod afute hii thread
View attachment 2231787
Na bado utatoa dollar kupata Rubles.Wanazihitaji tu kwa kununua GAS.
Ukinunua Mafuta kama unatumia hio pesa na Hauna hio pesa unadhani utaitoa wapi ?Hiyo pesa ataitumia wapi nje ya urusi?
Unajua dunia ina watu wangapi?....sasa hayo mataifa matatu yanaweza fika watu bilioni 3 sasa ukipata idadi ya jumla ya watu duniani ndo utajua maana nzima ya mataifa hayo matatu kutumia pesa zaoWachina na wahindi wakichukua rubble watazipeleka wapi?
Wenye akili wananunua Sasa ruble wanaweka akiba , Kila siku fedha zao zinazaa Kila ruble inapopanda . Fikiria alienunua ruble ikiwa 139 kwa Dola mpaka Sasa ana faida mara mbili akiamua kuuza ndani ya miezi mitatu, kuna biashara Gani yenye faida kiasi hicho⁉️Aliyetangulia katangulia tu. Wewe kama hufanyi biashara urusi utachukua rubble za nini?
This is the trading watu wanasema kuwa ni kamari. Ishu inahitaji high investment katika knowledge ni sawa kutaka kuwa Neuro surgery just kwa watch YouTubers and PDF kadhaa.We
Wenye akili wananunua Sasa ruble wanaweka akiba , Kila siku fedha zao zinazaa Kila ruble inapopanda . Fikiria alienunua ruble ikiwa 139 kwa Dola mpaka Sasa ana faida mara mbili akiamua kuuza ndani ya miezi mitatu, kuna biashara Gani yenye faida kiasi hicho⁉️
Uko sahihi hela ya Urusi hata Tanzania haikubaliki na watu hawajui hata inafananajeUkiwa na hela ina thamani sana kwa maana ya exchange rate, halafu haikubaliki katika soko la dunia, bado hiyo hela haina thamani.
Hii ya lini mkuu, pole Sana . Angalia Leo ni hamsini na kituUsipoteshe wewe pro-putin na namuomba mod afute hii thread
View attachment 2231787
Nenda kanunue mafuta au gesi Urusi ndo utajua Kama rubles ni fedha ya ovyoUkiwa na hela ina thamani sana kwa maana ya exchange rate, halafu haikubaliki katika soko la dunia, bado hiyo hela haina thamani.
wewe ndo unapotosha. Website pekee inayokupa kitu cha uhalisia ni xe.com. lete link yako ya taarifa hapaUsipoteshe wewe pro-putin na namuomba mod afute hii thread
View attachment 2231787
Tatizo hawana nguvu ya manunuzi mkuu wingi wa watu usikupumbaze ndio maana afrika ina watu wengi hata nguvu ya kununua magari mapya tunayozalisha sijui assemble hatunaUnajua dunia ina watu wangapi?....sasa hayo mataifa matatu yanaweza fika watu bilioni 3 sasa ukipata idadi ya jumla ya watu duniani ndo utajua maana nzima ya mataifa hayo matatu kutumia pesa zao
Umenikumbusha kuna siku nilitoka nyumbani Dar es salaam likizo, nikawa narudi nyumbani New York City kazini.Hhmm mkongwe hapa umenifungua jambo, Ina maana ukienda na Ruble bureau de change, Ukataka kuwapa Ruble wakupe dollar Watagoma maana Ruble ni sawa na Bhange!!?.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Na sasa hivi ndiyo inazidi kupigwa pini kwa vikwazo vya kimataifa na nchi za Magharibi.Uko sahihi hela ya Urusi hata Tanzania haikubaliki na watu hawajui hata inafananaje
Sasa sarafu gani inafungwa kwenye mafuta na gesi tu?Hii ya lini mkuu, pole Sana . Angalia Leo ni hamsini na kitu
Nenda kanunue mafuta au gesi Urusi ndo utajua Kama rubles ni fedha ya ovyo
Ni barter tradeSasa sarafu gani inafungwa kwenye mafuta na gesi tu?
Hiyo ni biashara ya pesa au barter trade?
Kama hujui kaa kimyaHiyo pesa ataitumia wapi nje ya urusi?