Ruble ya Urusi inazidi kuchanja mbuga kwa kuongezeka thamani

Kama mchina anazihitaji au yoyote yule anayetaka kununua mafuta kwa bei bwerere au chochote kile basi its not rocket science kwamba nitaexchange nao huko na kupata pesa ninayotaka ili nifanye ninachokifanya....

All in all there is demand ya hio currency and its up to me kuitafuta / convert suala la liquidity its another matter, na kama China anaikubali na China its Industry of the World basi ni mengi tu naweza kuyafanya....
China atafanya biashara na urusi kwa rubble? Labda kwenye mafuta na gesi tu na hapo ni kama US atamruhusu. Otherwise mchina anayo currency yake ambayo hata haijakamata duniani pamoja na kwamba wako wengi sana. Lazima watumie dola na euro kufanya biashara ulaya, america na africa.
 
China na India watatumia rubble wakifanya biashara na urusi lakini je biashara nyingine itakuaje? Wakipata rubble wachina na wahindi hazitawasaidia kwenye biashara na mataifa mengine hivyo sioni long term plan ya kuchukua rubble.
China is the Industry of the World.., pale production ya ulimwengu ndipo inapofanyika..., Production needs Energy / Nishati and cheap energy will lower production costs....,

Wewe ukienda pale kununua vitu vyako watachukua dollar yako na rubble yako pia kama unayo (sababu it means cheap energy) na hio dollar yako wataendelea kuwa nayo deposit (ukizingatia hata sasa wanayo ya kumwaga)...,

Kama pesa yako inamaanisha cheaper products kwako basi watu wataitafuta tu pesa yako..., ndio maana mchina haya mambo ya currency yake kuwa na gharama sana aliachana nayo na alishalaumiwa kwa makusudi ku-devalue currency yake ili always iwe cheaper than dollar which means cheaper products....
 
Haujui mfumo wa fedha umetawaliwa na nani? Wewe rabo ikipanda thamani utaenda kuinunua? Halafu uitumie kufanyia nini?
Mataifa yanapambana kutoka kwenye huo mfumo wa fedha sijui SWIFT Ina maaana fedha za Russia na mataifa mengine wataweza kufungua mipaka na kuifanya baisha hata Hadi huku Africa, labda USA na wenzake watumie mbinu chafu mfano kuanzisha vurugu, vikwazo ili kuua Izo movement .. otherwise kila kitu kinawezekana. Kwani wewe ukiwa na ruble saiv huwezi kuitumia?
 
Unaposema uwezo wa kununua pesa ipi? amepigwa ban
Kila siku mnasema hivyo lakini Kila siku inasonga mbele. Ujue kuimarika kwa fedha yake kunatoa nafuu kwa wateja wa vitu mbalimbali wa ndani na pia inaongeza uwezo wa kununua wa fedha yake.
 
China is the Industry of the World.., pale production ya ulimwengu ndipo inapofanyika..., Production needs Energy / Nishati and cheap energy will lower production costs....,

Wewe ukienda pale kununua vitu vyako watachukua dollar yako na rubble yako pia kama unayo (sababu it means cheap energy) na hio dollar yako wataendelea kuwa nayo deposit (ukizingatia hata sasa wanayo ya kumwaga)...,

Kama pesa yako inamaanisha cheaper products kwako basi watu wataitafuta tu pesa yako..., ndio maana mchina haya mambo ya currency yake kuwa na gharama sana aliachana nayo na alishalaumiwa kwa makusudi ku-devalue currency yake ili always iwe cheaper than dollar which means cheaper products....
Industry zilizoko china ni za mmarekani na kamwe china hataacha utegemezi wa soko la ulaya na marekani hivyo dola bado ipoipo sana.
 
Mataifa yanapambana kutoka kwenye huo mfumo wa fedha sijui SWIFT Ina maaana fedha za Russia na mataifa mengine wataweza kufungua mipaka na kuifanya baisha hata Hadi huku Africa, labda USA na wenzake watumie mbinu chafu mfano kuanzisha vurugu, vikwazo ili kuua Izo movement .. otherwise kila kitu kinawezekana. Kwani wewe ukiwa na ruble saiv huwezi kuitumia?
Hakuna mtu ana nunua hela ya nchi masikini na ambayo inaanzisha vita kila inapo jisikia. Watu wana taka kuwekeza sehemu hela yao itakua salama.

Kupanda kwa thamani ya rubble ni bubble. Ni kama zambia ilivo futa sifuri kwenye pesa yao
 
Mataifa yanapambana kutoka kwenye huo mfumo wa fedha sijui SWIFT Ina maaana fedha za Russia na mataifa mengine wataweza kufungua mipaka na kuifanya baisha hata Hadi huku Africa, labda USA na wenzake watumie mbinu chafu mfano kuanzisha vurugu, vikwazo ili kuua Izo movement .. otherwise kila kitu kinawezekana. Kwani wewe ukiwa na ruble saiv huwezi kuitumia?
Unategemea CIA watawaachia? As long as marekani kakamata ulaya na ndio anaendesha industry za mchina sahau kuhusu hiyo rubble. Siku siyo nyingi itarudi ilikotoka na kuanguka vibaya. Huyo Putin mwenyewe siku zake zinahesabika.

USSR ilikuwa imara kuliko urusi na ikapotezwa ndio itakuwa urusi hii inayokamatwa na mtu mmoja?
 
Industry zilizoko china ni za mmarekani na kamwe china hataacha utegemezi wa soko la ulaya na marekani hivyo dola bado ipoipo sana.
Unajua unachokiongea !!!?????

Kwanini America hizo industry hasiziweke kwake au unadhani anamfanyia hisani China ?!!, In short walijaribu kurudisha Apple plant America ila ni kwamba haiwezekani, huwezi uka-beat production cost ya China..., China was once a Giant, who slept and now the Sleeping Giant is awakening, there has been a slow but gradual shift of economic power from west to east..., hata kabla ya hizi shenanigans, de-dolarization was already a thought.... Na hapa simaanishi Russia as the only Player ingawa yeye kwa malighafi zake akiwa bega kwa bega na hawa jamaa it will be a marriage made in heaven...
 
Unategemea CIA watawaachia? As long as marekani kakamata ulaya na ndio anaendesha industry za mchina sahau kuhusu hiyo rubble. Siku siyo nyingi itarudi ilikotoka na kuanguka vibaya. Huyo Putin mwenyewe siku zake zinahesabika.

USSR ilikuwa imara kuliko urusi na ikapotezwa ndio itakuwa urusi hii inayokamatwa na mtu mmoja?
Endelea kupiga ramli hata iliposhuka rubble mwanzoni mlisema Urusi amekwisha, sasa imepanda rubble mnakuja na ngonjera mpya kabisa kuwa sasa nani atatumia
 
Unajua unachokiongea !!!?????

Kwanini America hizo industry hasiziweke kwake au unadhani anamfanyia hisani China ?!!, In short walijaribu kurudisha Apple plant America ila ni kwamba haiwezekani, huwezi uka-beat production cost ya China..., China was once a Giant, who slept and now the Sleeping Giant is awakening, there has been a slow but gradual shift of economic power from west to east..., hata kabla ya hizi shenanigans, de-dolarization was already a thought.... Na hapa simaanishi Russia as the only Player ingawa yeye kwa malighafi zake akiwa bega kwa bega na hawa jamaa it will be a marriage made in heaven...
China kuna cheap labour na production cost ni ndogo ila kadiri inavokua na GDP kubwa mishahara ita ongezeka na production cost itakua kubwa na labour laws zitafanya kazi. Ni swala la muda
 
Kiufupi america inaimiliki china. Strategy yao ni kuuza kwenye maeneo ambayo marekani anapingwa kwa kupitia china. Tena wamewafanyia wachina kitu kimoja hatari sana, wamewafanya wanunue bond za serikali ya marekani. Wako trapped.

Wao kule wananufaika na cheap labor and materials huku wakila kwenye licensing as well.
 
Unaongea nini mkuu labor laws na unions zote duniani hazina meno kama zamani ndio system ya demand and supply..., tofauti ya China has a One Party State wanachoamua kinakwenda sio kama nchi nyingine watu kuanza kubishana Bungeni na wananchi kugoma na kuandama..., Hili China halipo..., Kule ndio msemo wa Kazi iendelee..., ni kweli inaendelea..., China being the World manufacturer haijaja kwa bahati mbaya..., many things zinachangia ikiwe cultural attitudes...
 
Sasa naona tumehamia kwenye stories za Gahawa...., unadhani zile kazi ambazo zinaenda China au production kufanyika China America wanapenda ? Kunda industries nyingi ambayo America ilikuwa inaongeza ila mchina amechukua, na bado kufanya kwake biashara na Africa na kutoa misaada without question asked ni threat kwao...

Make no mistake urafiki wao ni wa convenience, na huwezi kushindana na mchina mtu ambaye wananchi wao wamezoea / wameishi kwenye maisha ya kawaida miaka na miaka, kwao shida ni kawaida tofauti na wala Bata (western countries) na hicho China ndio anachowashindia na atakachoendelea kuwashindia yaani kama America ni Prima Donna basi China ni Grafter....
 
Unategemea CIA watawaachia? As long as marekani kakamata ulaya na ndio anaendesha industry za mchina sahau kuhusu hiyo rubble. Siku siyo nyingi itarudi ilikotoka na kuanguka vibaya. Huyo Putin mwenyewe siku zake zinahesabika.

USSR ilikuwa imara kuliko urusi na ikapotezwa ndio itakuwa urusi hii inayokamatwa na mtu mmoja?
Ww jamaa umejaa makamasi kichwani badala ya ubongo yaani watu wana kuelewesha lakini bado umekaza kichwa tu kwenye hamna.
Alafu aliye kwambia Urusi inataka pesa yake itumike dunia nzima ninani?lengo kuu la Urusi ni kulinda thamani ya sarafu yake kwa manufaa ya raia wake na sio ww.

Kwanza lengo la kwanza la nchi za magharibi lili kuwa ni kuyafanya maisha ya raia wa Urusi kuwa magumu na ili raia waichukie serikali yao ili kusababisha machafuko.

Na ili hilo lifanikiwe walilenga kuuwa thamani ya pesa ya Urusi ili kusababisha mfumuko mkubwa sana wa bei, lakini hilo limeferi vibaya sana badala yake mfumuko wa bei umehamia kwenye nchi zao.
 
Unaongea nini mkuu labor laws na unions zote duniani hazina meno kama zamani ndio system ya demand and supply..., tofauti ya China has a One Party State wanachoamua kinakwenda sio kama nchi nyingine watu kuanza kubishana Bungeni na wananchi kugoma na kuandama..., Hili China halipo..., Kule ndio msemo wa Kazi iendelee..., ni kweli inaendelea..., China being the World manufacturer haijaja kwa bahati mbaya..., many things zinachangia ikiwe cultural attitudes...
Sawa ila ata Jack Ma alivo pata hela ikawa hivo
 
Sasa naona tumehamia kwenye stories za Gahawa...., unadhani zile kazi ambazo zinaenda China au production kufanyika China America wanapenda ? Kunda industries nyingi ambayo America ilikuwa inaongeza ila mchina amechukua, na bado kufanya kwake biashara na Africa na kutoa misaada without question asked ni threat kwao...

Make no mistake urafiki wao ni wa convenience, na huwezi kushindana na mchina mtu ambaye wananchi wao wamezoea / wameishi kwenye maisha ya kawaida miaka na miaka, kwao shida ni kawaida tofauti na wala Bata (western countries) na hicho China ndio anachowashindia na atakachoendelea kuwashindia yaani kama America ni Prima Donna basi China ni Grafter....
Growth ya china ni evident na amenufaika na viwanda vilivyopelekwa kule ila kumbuka uzalishaji bila soko hauna maana na hapo ndio nguvu ya marekani ilipo maana yeye anao ushawishi kwa ulaya ambao ndio Wana purchasing power kubwa.

Africa misaada inaletwa ili china aendelee kupata cheap raw materials ili avilishe viwanda vya mmarekani vilivyopo kwake. Marekani ndio mshindi.
 
Ww jamaa umejaa makamasi kichwani badala ya ubongo yaani watu wana kuelewesha lakini bado umekaza kichwa tu kwenye hamna.
Alafu aliye kwambia Urusi inataka pesa yake itumike dunia nzima ninani?lengo kuu la Urusi ni kulinda thamani ya sarafu yake kwa manufaa ya raia wake na sio ww.

Kwanza lengo la kwanza la nchi za magharibi lili kuwa ni kuyafanya maisha ya raia wa Urusi kuwa magumu na ili raia waichukie serikali yao ili kusababisha machafuko.

Na ili hilo lifanikiwe walilenga kuuwa thamani ya pesa ya Urusi ili kusababisha mfumuko mkubwa sana wa bei, lakini hilo limeferi vibaya sana badala yake mfumuko wa bei umehamia kwenye nchi zao.
Lugha yako inayoonesha kilichopo kwenye fuvu lako. Nakuacha, hauna ustaarabu.
 
Back
Top Bottom