RTI
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 2,423
- 7,155
Sasa kama watu wanakuelewesha lakini kichwa chako hakielewi tusikuambie?Lugha yako inayoonesha kilichopo kwenye fuvu lako. Nakuacha, hauna ustaarabu.
Au unaogopa kuambiwa ukweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama watu wanakuelewesha lakini kichwa chako hakielewi tusikuambie?Lugha yako inayoonesha kilichopo kwenye fuvu lako. Nakuacha, hauna ustaarabu.
You kill it😄👍China is the Industry of the World.., pale production ya ulimwengu ndipo inapofanyika..., Production needs Energy / Nishati and cheap energy will lower production costs....,
Wewe ukienda pale kununua vitu vyako watachukua dollar yako na rubble yako pia kama unayo (sababu it means cheap energy) na hio dollar yako wataendelea kuwa nayo deposit (ukizingatia hata sasa wanayo ya kumwaga)...,
Kama pesa yako inamaanisha cheaper products kwako basi watu wataitafuta tu pesa yako..., ndio maana mchina haya mambo ya currency yake kuwa na gharama sana aliachana nayo na alishalaumiwa kwa makusudi ku-devalue currency yake ili always iwe cheaper than dollar which means cheaper products....
Aisee unachoongea ni ukweli mtupu Kuna channel inaitwa CGTN documentary inaonesha maisha halisi ya serikali ya china na raia wa China walivyo ni hivyo hivyo unavyoongea vijana nahisi hawafahamu ilo . Kule wakisema zero covid😄 hakuna kuandamana hio tayari imeshapitishwa kinachobaki ukelezaji tofauti kubwa sana na zinazoitwa Democratic state Mara walumbane bungeni paka wakubaliane muda mwingi utakuwa umepitaUnaongea nini mkuu labor laws na unions zote duniani hazina meno kama zamani ndio system ya demand and supply..., tofauti ya China has a One Party State wanachoamua kinakwenda sio kama nchi nyingine watu kuanza kubishana Bungeni na wananchi kugoma na kuandama..., Hili China halipo..., Kule ndio msemo wa Kazi iendelee..., ni kweli inaendelea..., China being the World manufacturer haijaja kwa bahati mbaya..., many things zinachangia ikiwe cultural attitudes...
You kill it 😄👍 hivi kwanini vijana wanamchukulia china Kama kikaragosi wa U.S.A na West Europe wakati sivyo🤔?Sasa naona tumehamia kwenye stories za Gahawa...., unadhani zile kazi ambazo zinaenda China au production kufanyika China America wanapenda ? Kunda industries nyingi ambayo America ilikuwa inaongeza ila mchina amechukua, na bado kufanya kwake biashara na Africa na kutoa misaada without question asked ni threat kwao...
Make no mistake urafiki wao ni wa convenience, na huwezi kushindana na mchina mtu ambaye wananchi wao wamezoea / wameishi kwenye maisha ya kawaida miaka na miaka, kwao shida ni kawaida tofauti na wala Bata (western countries) na hicho China ndio anachowashindia na atakachoendelea kuwashindia yaani kama America ni Prima Donna basi China ni Grafter....
Sawa ila ata Jack Ma alivo pata hela ikawa hivo
Utajua tu baadae, kwa sasa mafuta yana nunulika sio kwa dollar tu na hili jambo ni kwenye mafuta bado halijavuka kuja kwenye utumiaji Yani kupitia hiki kinacho endelea na nchi zingine zinazo zalisha bidhaa kuhoji uuzaji wa bidhaa zao kwa pesa ya dollar. Dollar itakosa nguvu pale tu itakapo pata mshindani kwenye ununuzi wa bidhaa zingine sokoni licha ya mafuta. Mfano China nae aje aseme kuwa, nchi yoyote na mtu yoyote ananunuae bidhaa China atatumia pesa yao Yuan kwa hilo vita itakuwa kubwa sana.Hiyo pesa ataitumia wapi nje ya urusi?
Unauza na kununua mkuu Mbona simple‼️ . You can make business wherever you are.Kwenye forex trading sawa. Mimi nazungumzia kiuhalisia ukiwa nje ya urusi utatumia wapi hizo hela?
msamehe mkuu hajui alitendaloJitu halijui uchumi linaibuka linasema hiyo rubo itatumika wapi
Iwe juu mara ngapi mkuu‼️Tatizo la petroleum iko fixed ikiisha ndio basi, urusi inatumia kupigana vita na kutengeneza vifaru. UAE uchumi wao umebadika na kua wa kitalii kwasababu wanajua gesi ita isha.
Rubble haiwezi kua juu kwa sababa ya urusi haeleweki
US anamiliki uchumi wa China yenyewe na hata china hawezi kushirikiana na urusi. Hata kwenye hii vita anacheza mbali. US anayo sapoti ya ulaya hivyo ataendelea kuwatawala hao wengine wote. Usd ipoipo sana.Utajua tu baadae, kwa sasa mafuta yana nunulika sio kwa dollar tu na hili jambo ni kwenye mafuta bado halijavuka kuja kwenye utumiaji Yani kupitia hiki kinacho endelea na nchi zingine zinazo zalisha bidhaa kuhoji uuzaji wa bidhaa zao kwa pesa ya dollar. Dollar itakosa nguvu pale tu itakapo pata mshindani kwenye ununuzi wa bidhaa zingine sokoni licha ya mafuta. Mfano China nae aje aseme kuwa, nchi yoyote na mtu yoyote ananunuae bidhaa China atatumia pesa yao Yuan kwa hilo vita itakuwa kubwa sana.
Mbona huelewi? Ukiwa na rubble hapa tz hata kupata bureau ya kubadilisha ni utata. Sasa utaitumia wapi?Unauza na kununua mkuu Mbona simple‼️ . You can make business wherever you are.
Umepotosha nani utamlazimisha aende kwenye xe.com wakati exchange rate zipo nyingiwewe ndo unapotosha. Website pekee inayokupa kitu cha uhalisia ni xe.com. lete link yako ya taarifa hapa
View attachment 2231896
Rubble unaipimia Tanzania [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] mbona hili ni jambo la kuchekesha.Mbona huelewi? Ukiwa na rubble hapa tz hata kupata bureau ya kubadilisha ni utata. Sasa utaitumia wapi?