Saa ya Rais Samia yadaiwa kuwa na thamani ya Tsh. Milioni 111,601,22/=

Huyo anakula na kulala dubai ila anakuja kunya magogoni kwake tz ni nchi ya manyani tu
 
Wewe ni mpumbavu na una umasikini wa mali na akili,tafuta hela ili uache kuona kua wenye hela wanachezea hela.
Nawe jaribu kuficha uchi wa akili yako. Hakuna mwenye pesa anayechezea pesa, ni nyie maskini ndio mnachezea pesa. Na Samia hana pesa, ni mtumishi wa umma kwenye nchi maskini ambayo haina maji, umeme, uhakika wa matibabu, huduma mbovu za afya alafu anavaa saa ya bei hiyo. Yule Mama ni kiazi kama wewe ulivyo kiazi. Hata kama unamtetea mtu, ebu jaribu kufikiria na sio kujitoa akili.
 

We hukumuona ile siku ya kuwakaribisha Mabalozi pale Magogoni .... Maza aliamua kuonyesha utajiri wake. Alipiga dhahabu za kufa mtu. Yaani hapo ni Ushungi tu ndiyo unazifichficha,
 
We nawe kiazi tu na umeandika ujinga. Yule ni kiongozi wa umma na public figure kwenye nchi maskini isiyo na uhakika wa kila kitu na sio mfanyabiashara wala mjasiliamali.
 
Ndio nimeona Ila hayo ni mambo ya familia zaidi, ule mkufu aliotupia siku ile nao hamjatafuta bei yake bado?
Wengi mliochangia Post hii kiwango chenu cha elimu ni cha madrasa, hii bei ya " tsh 111,601,22/="! Si pesa ya Tanzania na pia hakuna hesabu ya namna hiyo labda tuseme Tshs. 11,160,122/= itaeleweka.
 
Kuanzia aende Dubai na uarabuni kwenye kusaini mkataba na DP World pia kuhangaika na birthday huko nje wakati nchi ipo gizani nilimdharau rasmi. Naomba siku moja itokee kama ile ndege ya Malaysia ili hiki kiazi kisituongoze.
 
Wewe kweli hamnazo,sasa kwanini umeamua kuja na ID yako nyingine? Si ungenijibu kwa ID ile ile tu ya mwanzo?

Sikiliza wewe kichwa cha Panzi,hakuna mtu atamaliza matatizo yako binafsi kwa kutumia hela zake,umasikini ndio unakufanya ushangae kwa rais wa nchi kuvaa saa ya aina hiyo,

Ficha upumbavu wako kwa kukaa kimya ili usijulikane kua wewe ni hamnazo.
 
Wengi mliochangia Post hii kiwango chenu cha elimu ni cha madrasa, hii bei ya " tsh 111,601,22/="! Si pesa ya Tanzaniana pia hakuna hesabu ya namna hiyo labda tuseme Tshs. 11,160,122/= itaeleweka.
Wewe umeandika nini na una elimu ya wapi kule mnapofungiwa kucheza judo?
 
Sasa ndio umeandika nini? Mwambieni mama yenu aache anasa kwa kutumia kodi za wananchi maskini tusio na uhakika wa umeme, maji safi na salama, huduma za afya na sasa tunakunywa chai na pipi kwani nchi haina sukari. Mwambieni ukweli, mtaani tumemchoka kwani kiwango cha ugumu wa maisha kinaongezeka huku yeye anatembea angani kama popo.
 
USSR umekuwa snitch kinyama. Hayo ni mambo binafsi ya mtu. 111m ni hela ambayo Mama Samia anaweza kuwa nayo. Mtu kawa mbunge na waziri kwa miaka mingi anakosaje 100m? Isitoshe kafanya kazi kwenye mashirika ya kimataifa kwa miaka kibao anakosaje 100m? Tafuteni jambo jingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…