Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Mkuunyie ndo mnachangia uwepo wa wezi , kuwa rais sio sawa na usanii wa Zuchu , hata yeye kupokea zawadi yenye thaman ya 100M anapaswa kuhoji kwann ? apewe , ana nini cha maana kafanya kufanya mtu ampe kitu cha thaman ya 100M , NYEREEE HAKUWA MJINGA HATA KDG
Ukinielewa hoja yangu wala hauna haja ya kuumiza kichwa sana.
Saa ameivaa yes, ameipata wapi au ameipataje ni fumbo maana mtoa hoja anasema haiwezekani rais wa nchi maskini kuvaa saa ya milioni 111+. Kilichotakiwa hapo ni kutuonesha endapo kuna ufisadi umefanyika au lah.
Nimetoa angalizo, labda watu wa PSU wamemnunulia kwa kuimarisha usalama wake yote yanawezekana.
Tunapambana na matokeo huku tukikwepa kudeal na chanzo cha haya matatizo.