Saa ya Rais Samia yadaiwa kuwa na thamani ya Tsh. Milioni 111,601,22/=

Saa ya Rais Samia yadaiwa kuwa na thamani ya Tsh. Milioni 111,601,22/=

nyie ndo mnachangia uwepo wa wezi , kuwa rais sio sawa na usanii wa Zuchu , hata yeye kupokea zawadi yenye thaman ya 100M anapaswa kuhoji kwann ? apewe , ana nini cha maana kafanya kufanya mtu ampe kitu cha thaman ya 100M , NYEREEE HAKUWA MJINGA HATA KDG
Mkuu
Ukinielewa hoja yangu wala hauna haja ya kuumiza kichwa sana.
Saa ameivaa yes, ameipata wapi au ameipataje ni fumbo maana mtoa hoja anasema haiwezekani rais wa nchi maskini kuvaa saa ya milioni 111+. Kilichotakiwa hapo ni kutuonesha endapo kuna ufisadi umefanyika au lah.

Nimetoa angalizo, labda watu wa PSU wamemnunulia kwa kuimarisha usalama wake yote yanawezekana.

Tunapambana na matokeo huku tukikwepa kudeal na chanzo cha haya matatizo.
 
How peety isssues like these,opposition part,are we in your positive mind you discuss like things like watches? Reaal brother? You shows that you can not handle country if things lime this
Wanaojadili hivi vitu ni wapinzani au watanzania wote kwa ujumla wao.
 
We nawe kiazi tu na umeandika ujinga. Yule ni kiongozi wa umma na public figure kwenye nchi maskini isiyo na uhakika wa kila kitu na sio mfanyabiashara wala mjasiliamali.
aisee kwa hili bora niwe kiazi naweza faa kwa chips au kiungo cha mboga nyumbani bado mahitaji yangu yaweza kuwa makubwa.
acha hasira na matokeo yake unawaza kimaskini kwa kila kitu kumbuka huyu ni mke wa mfanyabiashara na rais wa nchi hiyo hela ni kitu gani kwake? unajua akienda nje analipwa kiasi gani? na inawezekana alipewa zawadi achana na nafasi ya Rais kwa vitu binafsi.
 
Kichwa cha habari kitoshe na kieleweke

Milioni 111,000,000/= anaivaa mkononi tu?

Yaani Rais anavaa KITUO ZAIDI YA KUMOJA CHA AFYA?

JE amedunduliza kwa muda gani?

Ila uzalendo ni kitu cha bure kama ilivyo heshima yaani kweli?saa milioni 111000,000/=
Jizi tu
 
Kwa sababu hata usiponunua hiyo saa ya $40,000.00 bado wataendelea kuwa mafukara, kujifungua sakafuni, maji ya shida, n.k.
Kwa hiyo unajitabanaisha kwamba wewe ni rais tajiri unayeongoza lundo la makapuku..........kumbuka ripoti ya benki ya dunia inaitaja Tanzania kama nchi isiyokuwa na uchumi jumuishi, ikitengeneza kundi kubwa la watu walionasa kwenye mnyororo wa umaskini (trapped in a cycle of poverty).

Kwa hiyo huoni kwamba viongozi kujipimia kwa urefu wa kamba na kujinunulia saa za milioni mia na ushee ni matumizi mabaya ya kodi za hawa maskini wanaozidi kukwama kwenye huu mnyororo wa umaskini?
 
Baada ya kujadili matumizi ya haya ma vieti 300 ambayo yakiwashwa tarehe moja Jan linazimwa muda mchache sana kwa mwaka mzima na muda mwingine mchana utalikuta linaunguruma kwa sababu ya AC iwe sawa tupo busy kujadili saa ambayo ni matumizi ya mafuta kwa V8 moja kwa miezi kadhaa...
 
Kwa hiyo unajitabanaisha kwamba wewe ni rais tajiri unayeongoza lundo la makapuku..........kumbuka ripoti ya benki ya dunia inaitaja Tanzania kama nchi isiyokuwa na uchumi jumuishi, ikitengeneza kundi kubwa la watu walionasa kwenye mnyororo wa umaskini (trapped in a cycle of poverty).

Kwa hiyo huoni kwamba viongozi kujipimia kwa urefu wa kamba na kujinunulia saa za milioni mia na ushee ni matumizi mabaya ya kodi za hawa maskini wanaozidi kukwama kwenye huu mnyororo wa umaskini?
Ukiwa tajiri hauhitaji kujitanabaisha, utajiri wenyewe tu utajionesha. BTW; hauhitaji kuwa fukara ili kuongoza masikini. Ufukara siyo sifa.
 
aisee kwa hili bora niwe kiazi naweza faa kwa chips au kiungo cha mboga nyumbani bado mahitaji yangu yaweza kuwa makubwa.
acha hasira na matokeo yake unawaza kimaskini kwa kila kitu kumbuka huyu ni mke wa mfanyabiashara na rais wa nchi hiyo hela ni kitu gani kwake? unajua akienda nje analipwa kiasi gani? na inawezekana alipewa zawadi achana na nafasi ya Rais kwa vitu binafsi.
Sasa huoni kama unajichanganya? Rais ni mtumishi wa umma, atueleze je aliandika saa kwenye fomu za mali za watumishi wa umma?
 
Ukiwa tajiri hauhitaji kujitanabaisha, utajiri wenyewe tu utajionesha. BTW; hauhitaji kuwa fukara ili kuongoza masikini. Ufukara siyo sifa.
Nimegundua kwa nini mama huwa anaitizama saa mara kwa mara, jiwe mia na ushee si mchezo....
 
Back
Top Bottom