Sababu ya Harmonize na Kajala kuachana (Hii ni fundisho kwa wadada na wamama wengine pia wenye tabia kama hizi)

Hili lina ukweli mtupu na huwa inaambatana na hasira, na huwezi taka ushauri kutoka kwa yeyote
 
Wacha nasi tuige kutapika kwa tembo
uchumi wa dunia nzima unaendeshwa kwa credit, haiwezekani usiwe na deni kwa sababu sio watu wote ni wazalishaji, mfano kwa nchi nyingi asilimia kubwa ni waajiriwa unategemea output gan kubwa?
 
La marekani halituhusu
😂 , usiwe na shaka deni la taifa hua linakua mara nyiingi na colletral. mfano unaweza kuitoa bandari kma collateral just anything na maisha yanaendelea kama kawaida, nchi yetu wengi ni waajiriwa output ni ndogo sana haswa katika kuingiza pesa za kigeni kwahio serikali haina budi, lakini pia tsh inazunguka tu tanzania kufanya biashara za kimataifa mfano ujenzi hauna budi kutumia credit
 
Hivi unafamu Kuna nchi zinaendeshwa sababu ya utalii nyingine bandari nchi kama Botswana uchumi wake unategemea mifugo na madini sisi kitu Gani hatuna
 
Shikamoo kwa huu ujumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…