Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,227
- 1,818
Unaweza ukasema hivyo lakini akakupa mzigo na wewe "ukadata", kitanda kina siri nyingi sana Mkuu.Eti kajala ni mwanamke wa kubembelezwa [emoji1]
Mwanamke mwenyewe sugu kitambo
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza ukasema hivyo lakini akakupa mzigo na wewe "ukadata", kitanda kina siri nyingi sana Mkuu.Eti kajala ni mwanamke wa kubembelezwa [emoji1]
Mwanamke mwenyewe sugu kitambo
Ova
Hajapata mrithi, amempa credit Mange Kimambi hapo mwisho wa bandiko.R.I.P Warumi
Naona umisha pata mrithi huku.
Huyo watu wanamjuwa tokea kako la 6.....Unaweza ukasema hivyo lakini akakupa mzigo na wewe "ukadata", kitanda kina siri nyingi sana Mkuu.
Hili lina ukweli mtupu na huwa inaambatana na hasira, na huwezi taka ushauri kutoka kwa yeyoteKiukweli ukimpenda mwanamke na akawa anakuendesha , sku ukimchoka yaan huwa hakuna chembe ya huruma sjui huwa ni Kwa nn tuu , unaweza kumuachia kila kitu yaan hata kumuona hutaki tuu...!! Ghafla Tu unamuona hafai na unajihisi umetua mzigo fulan mzito haswa
uchumi wa dunia nzima unaendeshwa kwa credit, haiwezekani usiwe na deni kwa sababu sio watu wote ni wazalishaji, mfano kwa nchi nyingi asilimia kubwa ni waajiriwa unategemea output gan kubwa?Wacha nasi tuige kutapika kwa tembo
Kajala ni mali safi mkuu?Harmonize hajasoma Ila anakula mali Safi! Tofaut na sisi na digrii zetu uchwara za uhasibu na CPA za michongo tunaishia Malonya yasiyojielewa huku halmashauri
😂 , usiwe na shaka deni la taifa hua linakua mara nyiingi na colletral. mfano unaweza kuitoa bandari kma collateral just anything na maisha yanaendelea kama kawaida, nchi yetu wengi ni waajiriwa output ni ndogo sana haswa katika kuingiza pesa za kigeni kwahio serikali haina budi, lakini pia tsh inazunguka tu tanzania kufanya biashara za kimataifa mfano ujenzi hauna budi kutumia creditLa marekani halituhusu
Hivi unafamu Kuna nchi zinaendeshwa sababu ya utalii nyingine bandari nchi kama Botswana uchumi wake unategemea mifugo na madini sisi kitu Gani hatuna😂 , usiwe na shaka deni la taifa hua linakua mara nyiingi na colletral. mfano unaweza kuitoa bandari kma collateral just anything na maisha yanaendelea kama kawaida, nchi yetu wengi ni waajiriwa output ni ndogo sana haswa katika kuingiza pesa za kigeni kwahio serikali haina budi, lakini pia tsh inazunguka tu tanzania kufanya biashara za kimataifa mfano ujenzi hauna budi kutumia credit
ilihali akishuka pale UDBS kuna watoto wakali wanakojoa juisi qmmmq , 0.0 kmDunia haiko fair kabisa mtu kama harmo kweli na mihela yake wa kuhNgaika n'a haya maskrepa ???
Ameshindikana kote eti mali safi🤣🤣🤣🤣Ile takataka ndy Mali safi?
Mungu fundiilihali akishuka pale UDBS kuna watoto wakali wanakojoa juisi qmmmq , 0.0 km
tena anagombaniwa kabisa
U.S Ina den 31 trillion mbona hatusikii mnadaMkuu hivi unajua deni la taifa saivi shng ngapi!? Endeleeni kujadili ujinga nchi ishauzwa..
Na uchumi wao ukoje??U.S Ina den 31 trillion mbona hatusikii mnada
Hakuna wakumkuta yule bro .mashoga huwa wambea sanaR.I.P Warumi
Naona umisha pata mrithi huku.
Shikamoo kwa huu ujumbeKwa mwanamke timamu ukimpenda alafu una pesa za mgogoro wewe ni Fala tena atakuona km Pimbi tu tena level za kina Kajala (slay Queen) umeula wa chuya wenye michanga mingi unaweza ukabakia na 500 tu mfukoni
Kuna manzi alikua ananichana kavu kavu leo
First of all, I'm a 3rd degree Bahiri means nna masters PhD ya ubahiri yaan kiwango changu cha ubahiri ni cha kustaajabisha itoshe kusema mimi ni bahiri wa mabahiri,
Iko hivi kuna manzi nimekua nae in & out almost 1 ½ year now but haieleweki tupo au hatupo it's complicated
Leo kanichana maana since tunaanza mazoea kila weekend lazima apige mzinga wa 50k au 100k namkazia simpi hata buku namtania siku inapita kiroho mbaya imefika wakati kanizoea tu Ila aachi kunitania no like seriously she need some, anafanya kazi nzuri
Sasa leo kanitolea uvivu akanipa makavu wewe una kazi nzuri kwani kunitoa mimi 50k au 100k kila weekend unapata hasara gani?
Akaniambia mwanamke hua anamuona mjanja mwanaume anaemjali kwa mahitaji ya hapa na pale au huku na kule ndio hujenga mapendo vitu vidogo vidogo kwa mwanamke vinajenga mahusiano mazuri,
Kwa hio mwanaume ukimpenda mwanamke alafu hauna cha kumuhudumia wewe huna tofaouti yoyote na Fala tu, nani aliekwambia mwanamke anahitaji mapenzi ya maua ya kwenye bustani?, pesa maua ndio wanachokizingatia hawa viumbe shtuka
Jamaa wa kutoka kwenye misitu na mapori ya Chitohori huko Naliendele, Tandahimba kwa mbele kaona mbali anapoelekea alikua anaenda kufirisika vibaya n it seems like a written script given to the woman who pretend to love him behind the mask km asingeshtuka kabla alikua anaenda kuangukia pabaya, kajilengesha mwenyewe kisa kitobori not chitobori watu wakamcheeeeeeck wakachora script wakampa Kajala akaisoma akatembea na script akajiweka mchezo unaanza kakwapua range mbili (jamaa SIJUI hata mama yake km amewahi kumnunulia hata BMW New Model ya shukurani ya kumzaa), wamepiga walichopiga wamepita hivi wamemwacha bwana mjeshi amevimbisha mashavu tu, sasa ajitafakari next time ajichunguze kabla ya kufanya maamuzi ya kijinga never fall in with you Aunt find one among the under age oa ishi nae finish the business n best of all escape the show off, acha matangazo ya mapenzi ukitaka kuonekana wewe ni kitombile omba uwekwe kwenye box za condoms tukuelewe mofaka
Km unapita humu bwana mjeshi chukua huo ushauri wa kutoka kambini huku ndani ndani Chitohori,
Men ubahiri unalipa, kwanza unakupa heshima kwa kua unamiliki chako unachokihitaji unakipata kwa wakati na unakitunza na unakienzi sio unakifujafuja ovyo ili kichakae na kuharibika haraka, simple secrecy of Bahiri from Bahiri Island
Bwana mjeshi km unaingiaga JF soma hio advise kutoka huku ndani ndani kwa walioyapitia yaliyoyapitia, alafu punguza kuisifu sana bange mamako, umekuja umeikuta na utaiacha haikuanza Jana wala juzi Fala na wala haukuanza wewe kuitumia respect wakulungwa
Tunanyoa vipara ili tusimalize sabuni ni sehemu ya ubahiri, ushawahi kumuona bakhresa kafuga afro?
Jeshi tukutane Kambini