Sababu ya Harmonize na Kajala kuachana (Hii ni fundisho kwa wadada na wamama wengine pia wenye tabia kama hizi)

Sababu ya Harmonize na Kajala kuachana (Hii ni fundisho kwa wadada na wamama wengine pia wenye tabia kama hizi)

Mkuu hivi unajua deni la taifa saivi shng ngapi!? Endeleeni kujadili ujinga nchi ishauzwa..
Usishangae huko kuachana kumetengenezwa watu wahamishie mjadala huko ili huku panya wafokomee asali kisawasawa
 
Mwanaume akikupenda na wewe mpende usimchukulie kama fala.
Kwa mwanamke timamu ukimpenda alafu una pesa za mgogoro wewe ni Fala tena atakuona km Pimbi tu tena level za kina Kajala (slay Queen) umeula wa chuya wenye michanga mingi unaweza ukabakia na 500 tu mfukoni

Kuna manzi alikua ananichana kavu kavu leo

First of all, I'm a 3rd degree Bahiri means nna masters PhD ya ubahiri yaan kiwango changu cha ubahiri ni cha kustaajabisha itoshe kusema mimi ni bahiri wa mabahiri,

Iko hivi kuna manzi nimekua nae in & out almost 1 ½ year now but haieleweki tupo au hatupo it's complicated

Leo kanichana maana since tunaanza mazoea kila weekend lazima apige mzinga wa 50k au 100k namkazia simpi hata buku namtania siku inapita kiroho mbaya imefika wakati kanizoea tu Ila aachi kunitania no like seriously she need some, anafanya kazi nzuri

Sasa leo kanitolea uvivu akanipa makavu wewe una kazi nzuri kwani kunitoa mimi 50k au 100k kila weekend unapata hasara gani?

Akaniambia mwanamke hua anamuona mjanja mwanaume anaemjali kwa mahitaji ya hapa na pale au huku na kule ndio hujenga mapendo vitu vidogo vidogo kwa mwanamke vinajenga mahusiano mazuri,

Kwa hio mwanaume ukimpenda mwanamke alafu hauna cha kumuhudumia wewe huna tofaouti yoyote na Fala tu, nani aliekwambia mwanamke anahitaji mapenzi ya maua ya kwenye bustani?, pesa maua ndio wanachokizingatia hawa viumbe shtuka

Jamaa wa kutoka kwenye misitu na mapori ya Chitohori huko Naliendele, Tandahimba kwa mbele kaona mbali anapoelekea alikua anaenda kufirisika vibaya n it seems like a written script given to the woman who pretend to love him behind the mask km asingeshtuka kabla alikua anaenda kuangukia pabaya, kajilengesha mwenyewe kisa kitobori not chitobori watu wakamcheeeeeeck wakachora script wakampa Kajala akaisoma akatembea na script akajiweka mchezo unaanza kakwapua range mbili (jamaa SIJUI hata mama yake km amewahi kumnunulia hata BMW New Model ya shukurani ya kumzaa), wamepiga walichopiga wamepita hivi wamemwacha bwana mjeshi amevimbisha mashavu tu, sasa ajitafakari next time ajichunguze kabla ya kufanya maamuzi ya kijinga never fall in with you Aunt find one among the under age oa ishi nae finish the business n best of all escape the show off, acha matangazo ya mapenzi ukitaka kuonekana wewe ni kitombile omba uwekwe kwenye box za condoms tukuelewe mofaka

Km unapita humu bwana mjeshi chukua huo ushauri wa kutoka kambini huku ndani ndani Chitohori,

Men ubahiri unalipa, kwanza unakupa heshima kwa kua unamiliki chako unachokihitaji unakipata kwa wakati na unakitunza na unakienzi sio unakifujafuja ovyo ili kichakae na kuharibika haraka, simple secrecy of Bahiri from Bahiri Island

Bwana mjeshi km unaingiaga JF soma hio advise kutoka huku ndani ndani kwa walioyapitia yaliyoyapitia, alafu punguza kuisifu sana bange mamako, umekuja umeikuta na utaiacha haikuanza Jana wala juzi Fala na wala haukuanza wewe kuitumia respect wakulungwa

Tunanyoa vipara ili tusimalize sabuni ni sehemu ya ubahiri, ushawahi kumuona bakhresa kafuga afro?

Jeshi tukutane Kambini
 
Nimewaza sana umepaki gari sehemu halafu watu wanajua hilo gari ndio lile hutaki kulirudisha tena lina jina lako kitu anbacho kinamfanya hata ambaye halijui hilo gari akiliona alitambue
 
Nimewaza sana umepaki gari sehemu halafu watu wanajua hilo gari ndio lile hutaki kulirudisha tena lina jina lako kitu anbacho kinamfanya hata ambaye halijui hilo gari akiliona alitambue
Wake up it's all about business, gari ataliuza atanunua jingine, kuna swali jingine?

Rip G Matter Call wa Kura Seen ulichonifanyia those days konde akasome, Malaya wana vipaji hidden thievies got talents
 
Mapenzi yanaweza kisha akabaki kuwa meneja tu, au siyvo?
 
Wake up it's all about business, gari ataliuza atanunua jingine, kuna swali jingine?

Rip G Matter Call wa Kura Seen ulichonifanyia those days konde akasome, Malaya wana vipaji hidden thievies got talents
Swali la msingi kwanza tujiukize je ni kweli walinunuliana magari? Au ni yale ya kuazima/kukodi na kuchapa namba na kubandika ili watrendi...

Maana siku ya ufunguzi wa duka la binti yao Paula walisema limegharimu 500milion, na konde kachangia 200milion.
Je ni kweli lile duka ni la ½bilion?

Jambo lingine tukumbuke Huyu jamaa Konde alitufanya tupambane ili tununue gari alilokuwa anatutambia miaka ile aida ya AUD4, siku wameachana na Sarah nasikia gar si lake arudishe gari.

Toka kipindi hicho mm nikabaki katika iman ya kwamba bongo flava hela ndogo ila show off ndio nyingi.

Fuatilien vizuri hii issue ya range mtaniambia
 
Usiwamini wasanii wa bongo mkuu
 
Jambo lingine tukumbuke Huyu jamaa Konde alitufanya tupambane ili tununue gari alilokuwa anatutambia miaka ile aida ya AUD4, siku wameachana na Sarah nasikia gar si lake arudishe gari.
Written script has only one principle don't go against the written script, acha wayaishi maisha waliyoyachagua kuyaishi it's doesn't matter whether it's real or fake
 
Wewe unayejua limekusaidia nini zaidi ya kuishi kwa stress zaidi ya bibi yako asiyejua kusoma?

Sometimes mambo mengine yapotezee tuu mkuu, hivi unajua Marekani wenyewe wanadaiwa deni kubwa kiasi gani?

Ukiona kwako kunafuka moshi jua kwa mwenzio kunateketea.
Tatizo watanzania tunajidai tunapenda kujadili concrete issues wakati hata ujadili haikusaidii chochote... Chukulia maisha simple tu.. Kwani ulazima gani wa Kuanza kujadili mara Deni la Taifa mara Katiba mpya wakati unajua maoni yako hayafiki popote..
Mtu akiandika kitu unaskia eti watanzania mnapenda kujadili ujinga.. jamani.. hata duniani.. kuna different talents.. others entertainers others.. musicians.. others comedians.. Hakuna ulazima wa kuforce kila mtanzania ajadili unachotaka wewe
 
Back
Top Bottom