Mwanaume akikupenda na wewe mpende usimchukulie kama fala.
Kwa mwanamke timamu ukimpenda alafu una pesa za mgogoro wewe ni Fala tena atakuona km Pimbi tu tena level za kina Kajala (slay Queen) umeula wa chuya wenye michanga mingi unaweza ukabakia na 500 tu mfukoni
Kuna manzi alikua ananichana kavu kavu leo
First of all, I'm a 3rd degree Bahiri means nna masters PhD ya ubahiri yaan kiwango changu cha ubahiri ni cha kustaajabisha itoshe kusema mimi ni bahiri wa mabahiri,
Iko hivi kuna manzi nimekua nae in & out almost 1 ½ year now but haieleweki tupo au hatupo it's complicated
Leo kanichana maana since tunaanza mazoea kila weekend lazima apige mzinga wa 50k au 100k namkazia simpi hata buku namtania siku inapita kiroho mbaya imefika wakati kanizoea tu Ila aachi kunitania no like seriously she need some, anafanya kazi nzuri
Sasa leo kanitolea uvivu akanipa makavu wewe una kazi nzuri kwani kunitoa mimi 50k au 100k kila weekend unapata hasara gani?
Akaniambia mwanamke hua anamuona mjanja mwanaume anaemjali kwa mahitaji ya hapa na pale au huku na kule ndio hujenga mapendo vitu vidogo vidogo kwa mwanamke vinajenga mahusiano mazuri,
Kwa hio mwanaume ukimpenda mwanamke alafu hauna cha kumuhudumia wewe huna tofaouti yoyote na Fala tu, nani aliekwambia mwanamke anahitaji mapenzi ya maua ya kwenye bustani?, pesa maua ndio wanachokizingatia hawa viumbe shtuka
Jamaa wa kutoka kwenye misitu na mapori ya Chitohori huko Naliendele, Tandahimba kwa mbele kaona mbali anapoelekea alikua anaenda kufirisika vibaya n it seems like a written script given to the woman who pretend to love him behind the mask km asingeshtuka kabla alikua anaenda kuangukia pabaya, kajilengesha mwenyewe kisa kitobori not chitobori watu wakamcheeeeeeck wakachora script wakampa Kajala akaisoma akatembea na script akajiweka mchezo unaanza kakwapua range mbili (jamaa SIJUI hata mama yake km amewahi kumnunulia hata BMW New Model ya shukurani ya kumzaa), wamepiga walichopiga wamepita hivi wamemwacha bwana mjeshi amevimbisha mashavu tu, sasa ajitafakari next time ajichunguze kabla ya kufanya maamuzi ya kijinga never fall in with you Aunt find one among the under age oa ishi nae finish the business n best of all escape the show off, acha matangazo ya mapenzi ukitaka kuonekana wewe ni kitombile omba uwekwe kwenye box za condoms tukuelewe mofaka
Km unapita humu bwana mjeshi chukua huo ushauri wa kutoka kambini huku ndani ndani Chitohori,
Men ubahiri unalipa, kwanza unakupa heshima kwa kua unamiliki chako unachokihitaji unakipata kwa wakati na unakitunza na unakienzi sio unakifujafuja ovyo ili kichakae na kuharibika haraka, simple secrecy of Bahiri from Bahiri Island
Bwana mjeshi km unaingiaga JF soma hio advise kutoka huku ndani ndani kwa walioyapitia yaliyoyapitia, alafu punguza kuisifu sana bange mamako, umekuja umeikuta na utaiacha haikuanza Jana wala juzi Fala na wala haukuanza wewe kuitumia respect wakulungwa
Tunanyoa vipara ili tusimalize sabuni ni sehemu ya ubahiri, ushawahi kumuona bakhresa kafuga afro?
Jeshi tukutane Kambini