Hujathibitisha Mungu yupo, unarukaruka na habari zisizo kichwa wala mguu.Kwanza jibu swali nililo kuuliza.
Kwa misingi ya mantiki huwa mnahitimisha vipi kuhusu Mbwa kwa mfano.
Kwahiyo mbwa si mnyama ? Wale wakubwa zako walio hitimisha hawakujua,hivi hakuna ufanano kati ya ng'ombe na mbwa au mbuzi au kondoo au mbweha ? Huwa naona hii logic huwa huielewi kabisa.
Hakuna anaye amini Mola akasema hajui kiumbe kilicho umba dunia. Sisi tinathibitisha uwepo wa Mola kwa njia nyingi na nimeshakutajia takribani njia tano. Yaani katika dini hakuna mambo ya logic,yaani kwenye dini ni ukweli ulio wazi kabisa. Ndiyo maana katika Qur'aan Allah anawauliza wale wanao mkana,kwa kuwaambia "Hivi wanadhani ya kuwa huu ulimwengu umetokea pasi na chochote au wenyewe ndiyo umejiumba ?" .Sasa logic yenu hapo haina nafasi sababu huo ni kweli.
Wewe tuambie tu imekuwaje mpaka hali ikawa iko hivi ilivyo ? Kwamba imetokana pasi na chochote au ulimwengu umejiumba wenyewe ? Kisha utuelezee mchakato ulikuwaje na kama hujui,sasa kwanini una kanusha juu ya uwepo wa Mola.
Swali la mwisho,hivi wakubwa zenu waliwaambia msiwe mnajibi maswali mkiulizwa ?
Unaposema ni hadithi za kutungwa,unatakiwa kutuambia nani ametunga hizo hadithi na ilikuwaje ?Hujathibitisha Mungubyupo kweli na si hadithi za kutungwa na watu tu.
Halafu umeshambulia logic kwa kutumia logical non sequitur na illogical reasoning.
Umerukia mambo ambayo huyajui.
Kwanza kwanini hujibu maswali yangu ?Hujathibitisha Mungu yupo, unarukaruka na habari zisizo kichwa wala mguu.
Thibitisha Mungu yupo.
Alisema tusaliii... T7sali rozalii.. tupate aamani... na wasiomwamini Yesu mwokozi, wamuamini ili waokokee..!!Sisi Wana wa dunia tukumbuke maneno aliyo sema.Bikira Maria......
Naona umekosea njia kijana,tunajadili mambo ya kielimu,uwe una tafakari kabla ya kuandika.
"cause and effect"Tukate habari nyingi kama unavyotaka.
Hujathibitisha Mungu yupo.
Thibitisha Mungu yupo.
Naona unaunga mkono kile ninacho kiegemea mimi. Mimi nathibitisha ya kuwa Mola yupo,nyinyi mnao kanusha ndiyo mnatangulizwa kuthibitisha ya kuwa Mola hayupo. Maana yake mke wangu anaposema mimi sina nguvu yeye anathibitisha hapo,sasa kuna mawali,nikikanusha ya kuwa ninazo basi ni wajibu wangu kumthibitishia ya kuwa ninazo kweli,ila nikihoji hilo linakuwa jambo lingine.Mke wako akiwa analalamika kwamba huna nguvu za kiume huwezi kumuambia athibitishe huna, wewe ndio unatakiwa uthibitishe kama unazo.
Umeelewa?
Kwani ikiwa wameumbwa kwa kitu chochote lazima muumbaji awe Mungu?Kwanza kwanini hujibu maswali yangu ?
Ushahidi mwingine ni huu :
Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji? (at-Tur : 35).
Sasa nithibitishie ya kuwa Mola hayupo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aliyewaamrisha Waislamu kufunga ni nani?
Jibu kwa uthibitisho.
Nashukuru kwa kuleta jambo lenye msingi wa kimantiki.Tujikite kwenye mjadala wa kimantiki."cause and effect"
Vitu vyote ulimwenguni ni matokeo ya uumbaji wa Mungu
Nakubaliana na ukweli huo kwasababu hakuna theory nyingine yoyote (isiyo na inconsistencies na contradictions) inayosema chanzo cha uumbaji zaidi ya mafundisho ya Mungu katika Biblia, So obviously kwasababu hiyo tu ni tosha kusema Mungu yupo...
Kama wabisha eleza kilichoumbwa chawezaje kuwepo bila Muumba kuwepo...
Dadeq[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]we jamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nashukuru kwa kuleta jambo lenye msingi wa kimantiki.Tujikite kwenye mjadala wa kimantiki.
Hoja yako ya "cause and effect" ni nzuri sana na inafaa kujadiliwa kwa umakini wa hali ya juu.
Kwanza kabisa, nataka kukubaliana nawe kwamba habari ya "cause and effect" ni msingi mzuri wa kisayansi ya kawaida.
Katika sayansi ya kawaida, vitu vina vyanzo na vinaweza kufuatiliwa mpaka kujulikana vyanzo vyake ni nini.
Lakini, ukisema "cause and effect" ndiyo sababu ya wewe kusema Mungu yupo, hapo utakuwa umekosea.
Cause and effect inatuambia ulimwengu una chanzo chake, haituambii chanzo chake ni Mungu, sasa hapo umejuaje kwamba Mungu ndiye chanzo?
Ukisema hakuna jibu lolote lingine, na maandiko ya Biblia yamekwambia chanzo ni Mungu, kuna miungu wengi sana wa maandiko mengi sana tofauti, unajuaje huyo Mungu wa Biblia ndiye wa kweli?
Pia, biblia ni kitabu kilichoandikwa na watu tu, kimejaa hadithi za kutungwa na watu, kimejaa contradictions.Ukitaka tuzijadili tutazijadili hapa, naweza kuziweka.
Sasa kwa nini unaamini kitabu chenye contradictions hivyo?
Hapo ni upande wa kukubali "cause and effect" kama kitu cha msingi.Nimekubali "cause and effect" kama kitu cha msingi kwa kutumia sayansi ya kawaida, lakini, ukienda kwenye sayansi ya juu kama Quantum Physics, cause and effect inabomoka, inakuwa si kitu cha msingi.
Kwa sababu, katika Quantum Physics, hata time inabomoka, inakuwa haipo, na kama hauna time, huwezi kuwa na cause and effect.
Kwa mujibu wa muale wa mwanga unaosafiri katika vacuum kwa speed ya electromagnetic waves, dunia haina time, time ime stand still, dunia ina dimensions za space tu.
Kwa mujibu wa Quantum Physics, kuna causes zinazotokea baada ya effect, kuna effects zinazotokea kabla ya causes, cause and effect inavunjika.
Kwa hiyo, dhana nzima ya "cause and effect" kuwa msingi wa kuamini Mungu, ni udhaifu katika elimu ya physics tu.
Kwa sababu, katika quantum physics cause and effect si kitu cha msingi.
Unaamini Mungu kwa kuwa hujui Quantum Physics.
Somo la Quantum Physics humo humo, ushanielewa?Dadeq[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]we jamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mimi nilishakuelewa kitambo sana boss[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Somo la Quantum Physics humo humo, ushanielewa?
Kwanza nakusaidia unajua Mungu ni nani na anajulikana vipi ?Kwani ikiwa wameumbwa kwa kitu chochote lazima muumbaji awe Mungu?
Sasa hii kauli unairudia kila uchwao ila huithibitishi kwamba alitungwa vipi na ilikuwaje na nani wa kwanza katika hilo.Mola mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, ni character wa kutungwa na watu tu.
Hili wazo wa watu kijana,inakuwaje hata kutoa mifani unashindwa ?Kama vile ambavyo pembetatu ambayo pia ni duara haipo katika Euclidean Geometry.
Hivi unajua kama hili jambo huliwezi,maana unazunguka pale pale ambapo unanifanya nipoteze muda kuuliza swali lile lile.Kwa sababu, Mola huyo kuwapo, na kuumba ulimwengu ambao una majanga mengi, magonjwa mengi, watu wanaumwa sana, kuna matetemeko ya ardhi, ajali zisizo idadi, ni ukatili mkubwa sana ambao una contradict nature ya huyo Mola ya kuwa mjuzi wa
Hili umejuaje wakati unadai hayupo ? Hivi ili ujue kutokuwepo kwa kitu sharti lazika kitanguliwe na kuwepo kwake na kama cha kutungwa basi asili yake inajulikana. Kitu ambacho hakikuwahi kuwepo huwezi kulidiriki wazo lake. Ndiyo maana swali langu hulijibu la wewe haya umejuaje ? Usiunge unge maneno mara "ange..." hii ni dhana yaani makisio usiyo weza kuyathibitisha. Ndiyo maana unarudia rudia ibara.Angekuwepo, kusingekuwa na baya lolote, mabaya yapo, kwa sababu hayupo.
Mola wetu ni mkamilifu ndiyo maana hali hizi zote ameziruhudu ziwepo,na akaweka mwisho wa mambo haya na hukumu.Angekuwepo, kusingekuwa na baya lolote, mabaya yapo, kwa sababu hayupo.
Huu ni utaratibu alio uweka ili kuwapima waja kama watusubiri,watashukuru au watakufu. Anasema Allah mtukufu :Kama unabisha, nieleze, imekuwaje Mola mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya mengi yanaweza kutokea?
Mpaka sasa hujathibitisha kwamba Mungu yupo kweli na habari za kuwapo kwake si hadithi za watu tu.Kwanza nakusaidia unajua Mungu ni nani na anajulikana vipi ?
Sasa usilete dhana wewe tuonyeshe ya kuwa si mungu.
Pili,swali lako linathibitisha ya kuwa hujui unachokikanusha. Ndiyo maana nataka ujenge hoja kukosoa hilo.
Sasa hii kauli unairudia kila uchwao ila huithibitishi kwamba alitungwa vipi na ilikuwaje na nani wa kwanza katika hilo.
Mpaka huwa najiuliza kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza ?
Hili wazo wa watu kijana,inakuwaje hata kutoa mifani unashindwa ?
Hivi unajua kama hili jambo huliwezi,maana unazunguka pale pale ambapo unanifanya nipoteze muda kuuliza swali lile lile.
Ngoja nikusaidie kwa mtindo huu,huenda ukajua wapi una kosea. Huwa unajuaje kama kitu fulani hakipo wala hakijawahi kuwepo...?
Hili umejuaje wakati unadai hayupo ? Hivi ili ujue kutokuwepo kwa kitu sharti lazika kitanguliwe na kuwepo kwake na kama cha kutungwa basi asili yake inajulikana. Kitu ambacho hakikuwahi kuwepo huwezi kulidiriki wazo lake. Ndiyo maana swali langu hulijibu la wewe haya umejuaje ? Usiunge unge maneno mara "ange..." hii ni dhana yaani makisio usiyo weza kuyathibitisha. Ndiyo maana unarudia rudia ibara.
Mola wetu ni mkamilifu ndiyo maana hali hizi zote ameziruhudu ziwepo,na akaweka mwisho wa mambo haya na hukumu.
Yaani wewe umejuje kama angekuwepo (kamq unavyo dai) hali ingekuwa si kama ilivyo ?
Huu ni utaratibu alio uweka ili kuwapima waja kama watusubiri,watashukuru au watakufu. Anasema Allah mtukufu :
155. Hapana shaka tutakujaribuni kwa chembe ya khofu, na njaa, na upungufu wa mali na watu na matunda. Na wabashirie wanao subiri,
156. Wale ambao ukiwasibu msiba husema: Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake Yeye hakika tutarejea. (al-Baqarah : 155 - 156)
Mimi ombi langu kwako ni kuwa naomba uwe unajibu maswali ninayo kuuliza,sababu hiki tunachokijadili ni kidogo sana,laiti kama ungekuwa unajibu maswali huu mjadala ungeisha kitambo sana.
Nipo. Niambie bibie.Mimi nilishakuelewa kitambo sana boss[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja aje Ustadh Jurjani
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ushahidi wa kwanza nimekupa,nimekuwekea aya katika sura ya 52 aya ya 35. Sasa nataka ujibu hilo swali ambalo ni ushahidi wa kuonyesha ya kuwa Mola yupo. Tukitoka katika ithibati hii,nakuja katika hizi :Mpaka sasa hujathibitisha kwamba Mungu yupo kweli na habari za kuwapo kwake si hadithi za watu tu.
Bikira Maria ninani kwenye maandiko?? Ana umuhimu gani kwetu as christians hakutufia msalabani,hatusaidii kutuondolea dhambi,mwisho Maria she is no longer a virgin maana alizaa watoto na yusuph Sasa sijui mwanamke anaekutana kimwili na mumewe then akazaa watoto mnapata wapi ujasiri wa kumuita bikiraSisi Wana wa dunia tukumbuke maneno aliyo sema.Bikira Maria......
Nimekukabidhi kwa Kiranga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipo. Niambie bibie.
Nadhani anamaanisha yale Maandiko Siku Moja ya Mungu ni Miaka elfu moja kwa Binadamu... Ukienda kwa Kina Einstein fizikia ukiwa Nje ya Mzunguko wa Dunia huzeeki ila ukirejea mwake mwake ule mzungusho ndio balaa la kuchoka so mtu akiwa nje ya mzunguko akaanza kuunda kitu pole pole huko duniani mzunguko siku zinasonga na miaka inakatika so waeza kaa huko anga za juu kwa Siku Moja ukarejea Duniani ukakuta miaka kadhaa imepita... na Dunia yasemekana inazunguka kwa kasi sana... Katizame Movie Inaitwa :- Interstellar ya Kevin Nollan Utaelewa nini hicho kinachoitwa Miaka elfu moja ni sawa na Siku Moja kwa MunguMiaka elfu moja?