Tell me you are joking? Maisha yako binafsi how? Are we not talking about the collapse of religious marriage? Ningekuwa nimekuuliza kuhusu mambo ya kipato chako ungeweza kuwa na haki ya kisema nimehamia kwenye mambo yako binafsi. As a matter of fact wewe ndio umeleta suala la ndoa yako binafsi ndio maana nimekuuliza hivyo. But yote hii unamaanisha hauna uhakika na ulicho kisemaSasa hivi umechoka kujadili hoja umeanza kuhamia kwenye maisha yangu binafsi?
Mkuu si ume nilaumu kwamba hoja zimenishinda nimehamia kwenye maisha yako binafsi?. What are you doing here?Ndoa yangu kuwa salama ni kwa sababu mimi na mke wangu tunaishi kwa misingi ya akili, heshima, ukomavu, na uaminifu,
Bro you are very interesting. Mimi kudai ndoa nyingi za kanisani zinavunjika( jambo ambalo lipo wazi) umenidai takwimu, ila wewe kudai " Wewe na mkeo mnapenda, mnaamiana,. Mnaishi kwa akili na ukomavu" haihitaji utafiti wa chuo Kikuu. Are u serious? Hivi kuna jambo chini ya jua linalo hitaji utafiti wa kisayansi kama akili ya mwanadamu?vitu ambavyo havihitaji utafiti wa chuo kikuu kuthibitisha.
Kwa hiyo hizo ndoa za kikristu zinazo vunjika zimeshindwa kulindwa na tabia za wa husika?Ukweli uliokushinda ni kwamba ndoa inalindwa na tabia ya watu wawili,
siyo mambo ya kuku mweusi porini. Focus on the argument.
Jadiili hoja homeboy,mbona unapenda kuhamisha Magoli, au uwanja umeinama
Tatizo la watu kuachana si la kanisa au nyumba za ibada, na la wahusikaMkuu wewe huoni tatizo la watu kuachana na kuaana kwenye ndoa mpaka imezaliwa ideology ya " Kataa Ndoa"
Unazidi kujichanganya kila hatua unayopiga. Ndoa inalindwa na upendo, uaminifu, na heshima ya wawili waliopo hai,
ukioa mwanamke asiyekuheshimu, hata mkienda porini kupiga magoti, bado atakuletea watoto wa nje ya ndoa kwa sababu ana uhuru wake wa kufanya maamuzi ya hovyo.
Acha kutisha watu na hadithi za kusadikika.
Jikite kwenye mada, acha kumbwela mbwela hapa na maneno yasiyo kuwa na mantiki yoyote.Tell me you are joking? Maisha yako binafsi how? Are we not talking about the collapse of religious marriage? Ningekuwa nimekuuliza kuhusu mambo ya kipato chako ungeweza kuwa na haki ya kisema nimehamia kwenye mambo yako binafsi. As a matter of fact wewe ndio umeleta suala la ndoa yako binafsi ndio maana nimekuuliza hivyo. But yote hii unamaanisha hauna uhakika na ulicho kisema
Umeishiwa spana kabisa umeamua kukimbilia chini ya uvungu wa kitanda kuulizia ubikira? Kwanza kisheria neno Void ab initio linahusu mikataba halali ya nchi, sio mambo yako ya asili ya kufikirika.Anyways kwa Sisi tunao fuata uafrika wetu, mke anae olewa ndoa ya kwanza lazima awe bikira. Soma una uhakika mkeo ulimuoa akiwa bikira basi una kila haki ya kusema mkeo anakuheshimu.. Ila kama ulimkuta sio bikira basi toa neno heshima hapo. As a matter of fact kama mkeo hukumkuta bikira basi hiyo ndoa yako ni VOID AB INITIO. ( Hakunaga ndoa ya hivyo)
Sasa kama unalijua hili, kwanini unakataa kwamba tabia njema na akili ya mtu ndio inayolinda ndoa, halafu unataka kulazimisha kwamba ulinzi unatoka kwa mababu? Mbona unajipinga mwenyewe ? Hapo kwenye ndoa yangu mimi sijakupa takwimu za nchi, nimekuambia siri ya amani ya nyumba yangu. Kama yako haina amani kwa sababu ya kuwaza bikira au kuku mweusi, pole sana. My marriage runs on mutual respect, not ghost approval.Bro you are very interesting. Mimi kudai ndoa nyingi za kanisani zinavunjika( jambo ambalo lipo wazi) umenidai takwimu, ila wewe kudai " Wewe na mkeo mnapenda, mnaamiana,. Mnaishi kwa akili na ukomavu" haihitaji utafiti wa chuo Kikuu. Are u serious? Hivi kuna jambo chini ya jua linalo hitaji utafiti wa kisayansi kama akili ya mwanadamu?
Duh! Yaani mada ilianza na ndoa za kanisani/msikitini kutokudumu, ikahamia kwa Isaac Newton, ikaenda kwenye kesi za mahakamani, ikaja kwenye watoto wa nje, na sasa hivi imefika kwenye ubikira wa wanawake? We jamaa kila ukipigwa KO unatafuta goli jipya la kukimbilia. Hiyo nadharia yako ya uafrika' feki imejaa hofu binafsi. Kubali tu yaishe, ndoa inalindwa na ukomavu na tabia ya mtu. Period!Anyways kwa Sisi tunao fuata uafrika wetu, mke anae olewa ndoa ya kwanza lazima awe bikira. Soma una uhakika mkeo ulimuoa akiwa bikira basi una kila haki ya kusema mkeo anakuheshimu.. Ila kama ulimkuta sio bikira basi toa neno heshima hapo. As a matter of fact kama mkeo hukumkuta bikira basi hiyo ndoa yako ni VOID AB INITIO. ( Hakunaga ndoa ya hivyo)
Jibu ni NDIO kubwa sana! Zimeshindwa kulindwa kwa sababu mume au mke alionyesha tabia mbaya ya usaliti, ukatili, au dharau, vitu ambavyo vipo ndani ya uwezo wa kibinadamu. Hata kama wangefunga hiyo ndoa kienyeji au porini, kama mtu ana tabia ya hovyo, bado angesaliti na kuua ndoa yake tu. Character has no religion or tribe,Kwa hiyo hizo ndoa za kikristu zinazo vunjika zimeshindwa kulindwa na tabia za wa husika?
Inachekesha unavyodai nina uelewa mdogo wa mila za kiafrika wakati wewe ndio unaleta picha ya mila iliyojengwa kwenye kukagua mashuka na kutisha watu na laana. Waafrika wa sasa wanaishi kwenye uhalisia, wanatafuta maisha, wanajenga familia kwa akili, na kulinda amani zao,huu mjadala umeonyesha wazi ni jinsi gani usivyokuwa na akili, yani mpaka mambo yaliyo wazi kabisa unapinga, una akili ndogo sana.seems u have got a very little. Understanding about African Traditions. Ndio maana umekuja na story za kuku mweusi porini
Kasome vizuri mila za makabila yetu. Kwenye makabila mengi tu ya Kitanzania, mwanamke alikuwa akishindwa kuzaa tu au akizaa watoto wa kike tupu, alikuwa anafukuzwa na ndoa inavunjika kienyeji kabisa mbele ya wazee wa kimila! Mbona hiyo huioni kama ni talaka ya kikatili? Utamaduni wetu ulikuwa na mapungufu makubwa sana kuliko unavyotaka kuusafisha hapa.
Detective JNdoa kuvunjika mapema, wanandoa au mwanandoa watarajiwa kufa kabla ya muda kidogo ya kufunga ndoa au baada ya muda kidogo, au wanandoa mambo yao kuvurugika baada ya ndoa, sababu huwa ipo kiroho zaidi kuliko kimwili.
Wazee wetu walituficha mambo mengi sana.
MarcostiloneNdoa kuvunjika mapema, wanandoa au mwanandoa watarajiwa kufa kabla ya muda kidogo ya kufunga ndoa au baada ya muda kidogo, au wanandoa mambo yao kuvurugika baada ya ndoa, sababu huwa ipo kiroho zaidi kuliko kimwili.
Wazee wetu walituficha mambo mengi sana.
Una uliza maswali ya kitoto sana, una umri gani wewe mpaka unauliza swali la namna hii?Kwa hiyo ukimpenda mkeo.. Ukimuheshimu mkeo.. Ukiwa muaminifu kwa mkeo basi tayari una uhakika ndoa yenu itadumu?
Utajua mwenyewe, hayo sitaki kujua, ukweli mchungu unabaki palepale, hakuna tambiko lolote linaloweza kuzuia mwanamke asichepuke au mwanaume asilete mambo meusi kama hawana maadili mioyoni mwao. Unajaribu kusafisha hoja yako iliyofeli kwa kubadilisha tu eneo la kufanyia matambiko, it doesn't change the facts!Alie kwambia tambiko la kuunganisha wanandoa wawili linafanyika kwa kwenda kupiga magoti porini nani? Kumbe ndio maana unabisha. You seems to have a very little understanding about Ancestral Veneration
Kitu pekee kinachotisha hapa ni jinsi unavyohangaika kubadilisha gia angani tu kila ninapokwambia ukweli, mara ndoa za Ethiopia, mara Isaac Newton, mara watoto wa nje ya ndoa, mara ubikira, saizi umerudi kwenye maana ya ancestral veneration. Hakuna aliyetishwa hapa, ni kwamba tu nadharia yako imekataliwa na data na uhalisia wa sasa. Accept the L and rest.π€£π€£ Duh kumbe Uzi wangu umekutisha? Pole Sana kwa kutishwa. Ila ukweli siku zote huwaga unatisha kuliko uongo.
Kiroho sio the large percent malezi na tabia za wahusika
Yaani unataka kuleta mambo ya ramli hadi kwenye sayansi na biolojia? Eti hakuna ugumba juu ya wanawake wa kiafrika kwa sababu ya hiyo blah blah? Hivi unajua infertility inatokana na nini kibaolojia? Unajua madhara ya kuziba kwa mirija ya uzazi, matatizo ya homoni, au changamoto za kimaumbile?Unaleta story za kusikia vijiweni. Yani hii hoja yako haina tofauti na wale watu walio kuwa enzi za. kikwete kila Petrol. Station, kila ghorofa Jipya wana kwambia ni la Riziwan π€£π€£π€£
Huu uzushi wako umenikumbusha mwaka fulani nikiwa kwenye mkoa mmoja, nikiwa kwenye taxi kuelekea kwenye hoteli yangu, tulipita karibu na hoteli ya JB Belmonte, basi jamaa akaniambia " Kaka unajua hii JB Belmonte Hotel ni hoteli ya Kikwete na Mkapa.. Nikamuuliza how? Anasema hiyo " J" ni Jakaya na " B" ni Belmonte, so JB Belmonte Hotel maana Yake ni " Jakaya and Benjamin Belmonte Hotel π€£π€£π€£. Ndicho unacho kisema hapa.
Eti mke kuachwa kwa sababu mwanamke kazaa watoto wa kike. Hivi kuna jamii iliyo wathamini watoto wa kike kama jamaa ya waafrika.. Mtu kakuzalia watoto kumi wa kike( Utajiri huo kwenye mahari) halafu umfukuze ? π€£π€£π€£ Ndio maana nilikwambia tangu mwanzo data nzuri ni zile unazo zikusanya kwa kufanya observation na sio story za kusikia..
Eti mke kuachwa kwa sababu ya ugumba.. Hivi wewe unajua role ya mwanamke kwenye ndoa ya kimila ya kiafrika?. As a matter of fact, " Ugumba" sio tatizo la waafrika.. Kama mnavyo ambianaga kanisani " Hakuna Uganga wala uchawi juu ya nyumba ya Israel" Vivyo hivyo kwetu Sisi waafrika " Hakuna ugumba juu ya wana wake wa kiafrika ".Narudia tena hakuna ugumba juu ya wana wake wa kiafrika wa enzi za mababu zetu au wa enzi hizi wanao fuata Mila na desturi za mwafrika.
Yani na miti yote hii iliyopo Afrika halafu kuwe na wana wake wagumba Kati yetu? Unajua procedure zilizo fuatwa kabla ndoa ya kimila haijafungwa?
Halina uhusiano wowote na mada yako hili.Huu uzushi wako umenikumbusha mwaka fulani nikiwa kwenye mkoa mmoja, nikiwa kwenye taxi kuelekea kwenye hoteli yangu, tulipita karibu na hoteli ya JB Belmonte, basi jamaa akaniambia " Kaka unajua hii JB Belmonte Hotel ni hoteli ya Kikwete na Mkapa.. Nikamuuliza how? Anasema hiyo " J" ni Jakaya na " B" ni Belmonte, so JB Belmonte Hotel maana Yake ni " Jakaya and Benjamin Belmonte Hotel π€£π€£π€£. Ndicho unacho kisema hapa.
Ndio, nazijua vizuri sana! Zilikuwa zimejaa ukaguzi wa miili, kuingilia uhuru wa mabinti, na kuozeshwa kwa lazima kwa ajili ya maslahi ya wazazi. Ndio maana hizo ndoa zilidumu kwa nguvu ya mfumo dume, sio kwa sababu ya amani au baraka. Leo mwanamke hahitaji kukaguliwa na wazee, anajiamulia maisha yake. Hilo ndio janga linalokutesa kichwani kwako.Yani na miti yote hii iliyopo Afrika halafu kuwe na wana wake wagumba Kati yetu? Unajua procedure zilizo fuatwa kabla ndoa ya kimila haijafungwa?
Kumbe ukiishiwa hoja huwa unajitungia biolojia yako mpya kabisa kichwani? Eti hakuna ugumba Afrika kwa sababu ya miti? Sasa mbona maelfu ya wanawake wa kimila tangu zamani hadi leo wanahangaika kutafuta watoto usiku na mchana? Hiyo miti yako ilikuwa wapi? Kila nikikupiga na spana una hamisha goli mara Newton mara ubikira, saizi umekuwa daktari wa magonjwa ya uzazi wa kienyeji.Eti mke kuachwa kwa sababu ya ugumba.. Hivi wewe unajua role ya mwanamke kwenye ndoa ya kimila ya kiafrika?. As a matter of fact, " Ugumba" sio tatizo la waafrika.. Kama mnavyo ambianaga kanisani " Hakuna Uganga wala uchawi juu ya nyumba ya Israel" Vivyo hivyo kwetu Sisi waafrika " Hakuna ugumba juu ya wana wake wa kiafrika ".Narudia tena hakuna ugumba juu ya wana wake wa kiafrika wa enzi za mababu zetu au wa enzi hizi wanao fuata Mila na desturi za mwafrika.
Thibitisha alicho kiandika kuwa ni kweli.
Huyu anaelewa sana ukweli, ndio maana hoja zake zipo juu juu tu.Kiroho sio the large percent malezi na tabia za wahusika
Ndio maana narudi pale pale, wahusika kabla ya kwenda madhabahuni huwa wanajuana kikamilifu? Au mihemko ya mapenzi inawakimbiza juu juu?
Kama walituficha, wewe hiyo siri umeitoa wapi? Uliota ndoto au umepewa siri na hao hao wazee waliotuficha sisi sote? Unatengeneza stori za kufikirika ili tu ukwepeshe ukweli kwamba ndoa za sasa hivi zinaharibika kwa sababu ya tabia mbaya za watu wenyewe. Hakuna siri yoyote hapo, ni ukosefu wa ukomavu na maadili tu.Ndoa kuvunjika mapema, wanandoa au mwanandoa watarajiwa kufa kabla ya muda kidogo ya kufunga ndoa au baada ya muda kidogo, au wanandoa mambo yao kuvurugika baada ya ndoa, sababu huwa ipo kiroho zaidi kuliko kimwili.
Wazee wetu walituficha mambo mengi sana.
Ndoa ni suala la kimila. Inatakiwa kufanyika kwa kufuata taratibu za mila na desturi za utamaduni husika.
Unaenda kufunga ndoa yako kanisani kwa mujibu wa mila na desturi za wazungu/wayahudi kwani wewe mzungu/myahudi? Utamaduni wa wazungu/wayahudi unakuhusu vipi wewe msambaa wa Lushoto?
Unaenda kufunga ndoa kwa mujibu wa mila na desturi za waarabu ( ndoa ya kiislamu) kwani wewe mwarabu?
Utamaduni wa mwarabu unakuhusu vipi wewe Abdullah Kinyogoli mdengereko wa Kiparang'anda?
Ndoa ya mwafrika yapaswa kufungwa kwa mujibu wa mila na desturi za kabila husika. Mzaramo afunge ndoa kwa mujibu wa mila na desturi za kizaramo... Kama ameoa let's say msukuma basi tamaduni zote zifuatwe.. Tamaduni za kizaramo na tamaduni za kisukuma.
Ndoa ni tambiko Zito sana na Lenye nguvu za ajabu. Sio kitu cha kufanyia mzaha mzaha kama mnavyo fanya nyie wayahudi wa kimara na waarabu wa chamazi.
Ndoa ni tambiko la kuwakabidhi wana ndoa kwa watakatifu mabibi na mababu wa ukoo kwa ajili ya Baraka zao. Ndio maana kwenye " Matambiko ya Ndoa" ya wazee wetu walichinjwa wanyama weusi pea 2, mmoja jike mwingine dume kila pea kama ishara ya heshima kwa mabibi na mababu wa pande zote mbili..
Kazi ya damu katika ulimwengu wa roho ni pamoja na kusimamisha agano na pili damu hutumika kama medium of communication.. So damu inayo mwagwa kwenye hilo tambiko la kuunganisha Koo inatumika kupeleka taarifa kwa mabibi na mababu kwamba wewe Bwana Mandevu na Bi Cheupe mmefunga ndoa mmekuwa mke na mume..
Hivyo vitu mnavyo ombwaga kwenye kutoa mahali ( Mkaja wa Bibi, ugoro wa babu etc) ni vitu ambavyo zamani villkuwaga vinatolewa kweli vyenyewe kama vyenyewe kwa ajili ya kuwapa zawadi watakatifu mabibi na mababu zetu ( mnawaita mizimu) kama ishara ya shukrani zenu na heshima yenu kwao na vilitunzwa kama sehemu ya ukumbusho wa agano lenu la ndoa.. Ila sasa hivi mmevigeuza eti mnatoa hela badala ya vitu vyenyewe... Wazazi wanavitumia kama excuse ya kuwapiga hela washenga..
Kwa bahati nzuri sana wa Afrika matajiri na viongozi wengi wa najua kuhusu ukweli huu ndio maana wengi wao at least hufanya sherehe za kimila kwenye kutambulisha uchumba ( mfano binti wa Ruto) na wengine hadi kwenye ndoa then kanisani au msikitini wanafanya ceremonial tu..
Uliwahi kujiuliza kwanini unakuta mtu amekaa kinyumba na mwanamke vizuri kabisa kwa amani na furaha miaka mitano hadi kumi wamezaa na watoto halafu wakienda kubariki ndoa kanisani hawamalizi mwaka wanaachana? This will be a topic for another day.
Brothers and sisters.. Turudi kwenye asili yetu. Wazungu na waarabu wametupiga pakubwa. Yes we like their technology lakini utamaduni wetu kama waafrika hasa kwenye Jambo serious kama la ndoa lazima tuuenzi.
Sio tu kwenye ndoa hata kwenye suala la kuzaliwa, suala la unyago/jando, suala la maziko, kote huko tunapaswa kurejea kwenye utamaduni wetu.. Unampaje mtoto jina bila kufanya " Naming Ceremony "? . Unamuitaje mtoto wako jina Elton wakati wewe mgogo? Halafu akija kuwa shoga una laumu Freemasons?
Haya sasa twende kazi..
1. Kama ndio upo kwenye mchakato wa ndoa ya kanisani au msikitini achana na hizo Mambo fanya ndoa ya kimila and thank me later.
2. Kama ulisha funga ndoa kanisani au msikitini kimbia haraka sana kajisalimishe kwa watakatifu mabibi na mababu zako kwa ku " Bariki" Ndoa yako kimila..( I mean kwa kufunga upya ndoa yako kimila kwa kufuata ya taratibu wa mila na desturi za kwenu)
Na wewe ambae ulisha funga ndoa ya kanisani au msikitini unapoenda kubariki ndoa yako kimila nenda katubu na kuomba msamaha kwa watakatifu mabibi na mababu zako.. Jigaragaze Lia omboleza omba msamaha wa dhati..
Na wewe ambae ulikuwa ndio upo kwenye mpango wa kufunga ndoa ya kanisani au msikitini, wachana na hiyo story kisha kimbia haraka sana ukafunge ndoa ya kimila.. Nasema kimbia fasta toka nduki we kimbia ukianguka ukiumia inuka vumilia.
Ndoa za waafrika zifungwe kwa kufuata mila, desturi za tamaduni za ki Afrika.
Thank me later.ππππ
N. B : Tambill halisi la ndoa ya kimila inayo kubalika na mababu, pamoja na Mambo mengine, inahitaji mambo makuu yafuatayo :
1. Damu ya mtu ( Damu hii humwagika wakati mwali ana fanya tendo la ndoa kwa mara ya kwanza / Damu ya bikini)
Kazi ya damu hiyo ni pamoja na πππππ
1. Kusimamisha agano la ndoa husika.. Kupeleka taarifa kwa mababu kwamba binti fulani kaolewa na fulani bin fulani.
( Hii ni kwa mwanamke anae olewa kwa mara ya kwanza.. Ni lazima na sio ombi)
2. Kama mwanamke anaolewa kwa mara ya pili basi ni lazima mume wake wa kwanza awe amefariki dunia kwa sagabu agano la ndoa ya kiafrika huwa ni la milele. So kwa mwanamke anae olewa kwa mara ya pili baada ya mume wake kufa, tayari mababu wanakuwa na taarifa kwa sababu mtu anapokufa, kwenye tambiko la maziko yake huwa wanachinjwa wanyama kwa ajili ya kitoweo. Damu za wanyama wanao chinjwa kwenye msiba wa marehemu hutumika pia kupeleka taarifa rasmi kwa mababu kuhusu kifo cha mume wa mwanamke huyu.
π€£π€£π€£ maneno yangu yana mantiki.. Umechagua kufumba jicho moja.. Jicho lako moja linaiona mantiki na jicho lingine haliioni. So mantiki ya maneno yangu unaiona huku hauioni at the same time..Jikite kwenye mada, acha kumbwela mbwela hapa na maneno yasiyo kuwa na mantiki yoyote.
Nimeleta ishu ya bikira kwa kufuatisha ulicho kisema. Umesema wewe na mkeo mnaheshimiana na mimi nimekwambia mkeo hawezi kuwa anakuheshimu kama ulimkuta Hana bikira.. Ni viwili tofauti kabisa ambavyo haviwezi kukaa sehemu moja. . Ange kuwa ana kuheshimu angekusubiri umuoe akupe " Heshima" Ya bikira Yake siku ya ndoa.. Ana muheshimu alie mbikiri na sio wewe.. Ndio maana kwenye ndoa zetu za kiafrika, ili ndoa ifungwe, kama mwanamke ni ndoa yake ya kwanza basi lazima awe bikira. Narudia tena kama hujamuoa bikira huyo sio mkeo..Umeishiwa spana kabisa umeamua kukimbilia chini ya uvungu wa kitanda kuulizia ubikira?
Shuleni ulienda kukariri mkuu na sio kuelewa..Kwanza kisheria neno Void ab initio linahusu mikataba halali ya nchi, sio mambo yako ya asili ya kufikirika.
Halafu rudi kwenye mada yako, usitake kuhamisha mjadala hapa na hoja uchwara unazonipa hapa.
Sasa kama unalijua hili, kwanini unakataa kwamba tabia njema na akili ya mtu ndio inayolinda ndoa,
Duh kumbe nalazimisha?halafu unataka kulazimisha kwamba ulinzi unatoka kwa mababu?
Mbona unajipinga mwenyewe ?
Hapo kwenye ndoa yangu mimi sijakupa takwimu za nchi, nimekuambia siri ya amani ya nyumba yangu.
Kama yako haina amani kwa sababu ya kuwaza bikira au kuku mweusi, pole sana.
My marriage runs on mutual respect, not ghost approval.
Duh! Yaani mada ilianza na ndoa za kanisani/msikitini kutokudumu, ikahamia kwa Isaac Newton, ikaenda kwenye kesi za mahakamani, ikaja Keene watoto wa nje, na sasa hivi imefika kwenye ubikira wa wanawake? We jamaa kila ukipigwa KO unatafuta goli jipya la kukimbilia.
Wewe ndio umejawa na hofu. Hiyo hofu uliyo iona kwenye andiko langu ni reflection ya hofu iinayoishi ndani yakoHiyo nadharia yako ya uafrika' feki imejaa hofu binafsi.
Kubali tu yaishe,
ndoa inalindwa na ukomavu na tabia ya mtu. Period!
Braza narudia tena kama mke wako hukumkuta bikira ondoa neno uamifu, utiifu na heshima kwako.. Kama hakumtii " Mungu wenu/wake" . aliemwambia asizini nje ya ndoa, atakutii wewe ukiwa nani? Kama alimdharau Mungu wake/wako kwa kupuuzia amri ya kutokuzini kabla ya ndoa, atakuheshimu wewe ukiwa kama nani? Kama hakuwa loyal kwa Mungu kwake/wako kwa kuheshimu amri zake, atakuwa loyal kwako ukiwa kama nani? Brother hivi unajisikia unacho kisema lakini?Jibu ni NDIO kubwa sana! Zimeshindwa kulindwa kwa sababu mume au mke alionyesha tabia mbaya ya usaliti, ukatili, au dharau, vitu ambavyo vipo ndani ya uwezo wa kibinadamu.
Aliekwabia ndoa ya kimila inafungiwa porini ni nani? Yani wewe baba mzima halafu eti hujui ndoa ya kimila inafungwa vipiHata kama wangefunga hiyo ndoa kienyeji au porini,
kama mtu ana tabia ya hovyo,
bado angesaliti na kuua ndoa yake tu.
Ukimuoa mwanamke ambae sio bikra tafsiri yake ni kwamba you are a poor judge of character.. A good judge of character hawezi mwanamke ambae sio bikira.Character has no religion or tribe,
Inachekesha unavyodai nina uelewa mdogo wa mila za kiafrika wakati wewe ndio unaleta picha ya mila iliyojengwa kwenye kukagua mashuka na kutisha watu na laana. Waafrika wa sasa wanaishi kwenye uhalisia, wanatafuta maisha, wanajenga familia kwa akili, na kulinda amani zao,huu mjadala umeonyesha wazi ni jinsi gani usivyokuwa na akili, yani mpaka mambo yaliyo wazi kabisa unapinga, una akili ndogo sana.
Mkuu naheshimu mawazo yako.
Lakini siyo kwamba hizi ndoa za dini zinaonekana nyingi kuvunjika kwa sababu ya mfumo unaotumika kuzirasimisha zinapofungwa au zinapovunjika kuwa na mchakato mrefu na uwazi mkubwa?
Ndoa nyingi za kimila zinafungwa hakuna mfumo wa lazima wa kurasimisha (kusajili nk) vivyo hivyo zinapovunjika hakuna mahali popote zinarekodiwa ili kuwaweka takwimu sawa.
Kwa maana hiyo ni rahisi sana kuona ndoa za dini zinavunjika kuliko za kimila kwa sababu za dini zipo kwenye mfumo rasmi wa usajili.
Kwa hiyo huwezi kulinganisha maisha ya ndoa hizo, inawezekana za kimila nazo zinavunjika sana lakini haijulikani kwa sababu hakuna mfumo rasmi wa lazima uliowekwa kutunza taarifa zao.
Narudia tena hakuna " Ndoa" Inayo haribika.. Hicho mnacho kifanya kanisani ni uhuni usiite ndoa. Sifa ya kwanza ya ndoa ya kwanza ya mwanamke ni lazima awe bikira.. Wewe mwanamke sio bikira halafu unaita ndoa, uliwahi ona wapi ndoa ya hvyo?Kama walituficha, wewe hiyo siri umeitoa wapi? Uliota ndoto au umepewa siri na hao hao wazee waliotuficha sisi sote? Unatengeneza stori za kufikirika ili tu ukwepeshe ukweli kwamba ndoa za sasa hivi zinaharibika kwa sababu ya tabia mbaya za watu wenyewe. Hakuna siri yoyote hapo, ni ukosefu wa ukomavu na maadili tu.
Nimeamini kweli wewe ni mjinga na upo kubishana kwa sababu unacopy sehemu tu wala hutumii akili yako ndio maana unakuwa kichwa ngumu kuelewa.Nimeshakukataza kutumia neno " Respect" Kama hukumuoa mkeo akiwa bikira.. Ndoa yako ni VOID.. No honour among thieves.. Huwezi ku claim right ya kuheshimiwa kwenye agano ambalo ni haramu toka mwanzo.
Mkeo hakuutunza uanamke wake.. Na wewe huna self respect umeenda kuoa mwanamke ambae haji heshimu halafu unategemea respect.. Exi turpi cause non oritor action ( No one can claim right out of an illegal transaction)
Kweli namuelewesha chizi hapa, yani maelezo yote hayo marefu umeandika kuhusu mke wangu as if unamfahamu kumbe hata humjui maskini , huoni kama unajidhihirisha ni jinsi gani ulivyo mjinga?Kama hakumtii " Mungu wenu/wake" . aliemwambia asizini nje ya ndoa, atakutii wewe ukiwa nani? Kama alimdharau Mungu wake/wako kwa kupuuzia amri ya kutokuzini kabla ya ndoa, atakuheshimu wewe ukiwa kama nani? Kama hakuwa loyal kwa Mungu kwake/wako kwa kuheshimu amri zake, atakuwa loyal kwako ukiwa kama nani? Brother hivi unajisikia unacho kisema lakini?