Alafu nimegundua Tanzania kiongozi anayepambana na mafisadi na wakwepa kodi anaititwa katili mfano Hayati Magufuli..huo ndio ukweli
 
Jana Tundu Lisu alikuwa anafanya hivyo hivyo Tabata 😂
 

Wewe ni mbumbumbu !
Na watu wa aina yako ni mabingwa sana wa majungu!
Mkiambiwa mjiendeleze hata mpate vyeti hamtaki ,mmekalia uchawa tu!
 
Naona kama maagizo hivi!🤔🤔🤔
Hapana, Bi shangazi yupo zake ukweni huko Umangani, wengine wapo bize na akina zuchu huku mjini na kuna mwengine alikuw aananyanganya demu baa moja jana jumapili, saa hii kila mtu ashinde mechi yake.
 
Ongeraa,tuna imani ni jembe kama mwanae.
Il

like father like a son..mambo yatakuwa mazuri

Mafisadi na wakwepa kodi ..na wanaomkwamisha mama chali
Ongera = Hongera!!

Hii inaonesha wazi sifa za Chawa wa ccm.
 
Wewe ni nani upewe nafasi ndani ya chama, je utalinda vipi maslahi ya watawala huku ukinufaika nawewe. Hizi Mambo ni Mwendo wa waliopo au waliowahi kuwepo kwenye mfumo kutafuna national cakes, Hongera Mzee sabaya Kwa ushindi mnono ni matumaini ya Wana Arusha kupata usimamizi mzuri wa ilani ya chama Kwa ngazi ya mkoa.
Kwa wote wasiyokuwa na connection(s) kutoboa ni ndoto kubwaaa mno ni kujitahidi Kutafuta wa kuunganisha waya popote utakapo kuwepo katika harakati/kazi/mikusanyiko kikubwa epuka kuwa chawa maana si Jambo zuri linaua uwezo wa kufikiri na kuchanganua Mambo.
Kuna viongozi wanatafutwa DMs' Kwa support ndogo tu tena Kwa anuwani ya uanachama lakini wanapiga kimyaaaa Haaaa itakuwa msemo wao HUYU ANAMJUA NANI! , wanaCCM never loose hope watamaliza wanao Juana tu.
 
Ndio akili zenu mambumbumbu ndani ya CCM!

Baada ya kumtaka Mwenyekiti aliyechakuliwa kusimamia Ilani ya CCM na kukijenga chama, mnawaza (ga) ujinga ujinga tu wa mambo ya nje ya malengo ya chama!

Shwain!
Saambaya ndani ya nyumba,na koneksheni ya mtunza goli la dala dala.
 
Habari mbaya sana kwa Lema na majizi yote
 
Junior yupo kichochoroni kuula soon😁
 
Mtoto wa marehemu Zelothe ni DED wa Handeni, mtoto wa meya Arusha ni mwenyekiti UVCCM. Yaani kweli kama huna connection utaishia kusifu na kuabudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…