Hee naona chuma kimeingia chamani. Wenye kumbukumbu zake akiwa DC nadhani mnaelewa.
 
Uzuri ni kuwa CCM inalipa nauli 200,Chadema 600....wakat huo ccm wananunua mafuta kwa 1500 tu,wao chadema 4000 kwa lita
Etweege anashibia korido za Lumumba pale😁.usijilinganishe naeπŸƒ
 
Kama ndo huyo mzee hapo kwenye picha basi no Comment!
 
.
 
Uzuri wa CCM ni kwamba Wanajua Siasa na zaidi ya yote ni Wasomaji wazuri wa Nyakati

Hongera Mzee Sabaya " Hapa Kazi Tu"

Mlale Unono πŸ˜€πŸ˜€πŸ”₯🐼
 
Kama wewe unavyosifu na kuabudu πŸ˜‚
Mimi ni mfanyabiashara niliyeridhika na shughuli zangu. Ninamsapoti mama kwa sababu hana roho mbaya wala chuki na wafanyabiashara tofauti na mtangulizi wake. Pia kuhusu hizo connection za kisiasa ningezitaka ningezipata kitambo tu.
 
Acha kuhamaki bure. Siasa safi ndio unawapata kina sabaya kuongoza. Mipigaji lazima itamani kumfungulia mzee kesi feki mapema maana wanawajua kina sabaya ni watu wa namna gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…