MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Mkuu unayosema ni kweli. Mimi hela zangu za mwanzoni zililipa sana ada. Ila namshukuru Mungu madogo wote washamaliza chuo na hawako vibaya.Kaka huu uzi umetugusa wengi mnoπππ
Kama wewe unasomesha wadogo zako badala ya kusomeshwa na wazazi kutoboa ni ngoma nzito.
Hii ni nini?Kuchonga vimbao ili uwadanganye vijana wa mjini kuwa una pesa mingi
Cc: Chief GodloveHii ni nini?
Ukistaafu hauna perdiem vitengo vingine havina perdiem. Anayetegemea perdiem na mshahara bado ana safari ndefu sana y mafanikioChanzo kingine ni perdiem.. tulieni
Hhahashaha wanakuja huko subiriNi mambo ya fezea chalyangu. Mwanaume kucheza kikoba haipendezi, π€£π€£π€£
π€ kwasababu ni IPHONE auWe ni kama mimi, siweki cover wala protector kwa simu yangu
Sitaacha kusifia Kidia one na Tilisho π€£Kama unasifia basi fulani la mkoani
Utasikia oya usinitumie kwa namba yangu nadaiwa, wait nakutumia namba ya wakala utumeπ€£.Unakumbushwa kurejesha deni lako la Tsh 1500 la SONGESHA. Ili kulipa deni weka pesa kwenye akaunti yako au Piga *150*00#>Huduma za Kifedha>SONGESHA>LIPA DENI.
Aisee kutoboa ni ngumu mno !
Why? π€£ hizo ndo hawaweki protector?π€ kwasababu ni IPHONE au
ππππ1. Kama wazazi wako wanakulalamikia kwa sababu zilizo za msingi hutatoboa.
ππ subiri siku tuvunje kioo bei ya anaza infinix. Tutatia akili..We ni kama mimi, siweki cover wala protector kwa simu yangu
wamekusaidia nini broo?Mkuu unayosema ni kweli. Mimi hela zangu za mwanzoni zililipa sana ada. Ila namshukuru Mungu madogo wote washamaliza chuo na hawako vibaya.
Kuweka simu protector na kava mi naona ni sign ya umasikiniWhy? π€£ hizo ndo hawaweki protector?
Nilishawahi kuwa na Tecno spark3
Kalikuwa kazurii.. waliiba dizain ya Iphone X.Sikuweka kava wala protector mpaka siku kameniteleza kakadondoka. Kalichanika kioo sio kupasuka⦠nikakaweka kwa draw..
Ila bado natumia simu isiyokuwa na protector. Kava natumia sbb simu nyuma inateleza mno
π π dahUkiwa na tabia ya kula Samaki mpaka kichwa unakichana chana kama mashine ya kukoboa mahindi.