Safari yako ya mafanikio bado ndefu

Safari yako ya mafanikio bado ndefu

🤓 kwasababu ni IPHONE au
Why? 🤣 hizo ndo hawaweki protector?

Nilishawahi kuwa na Tecno spark3
Kalikuwa kazurii.. waliiba dizain ya Iphone X.Sikuweka kava wala protector mpaka siku kameniteleza kakadondoka. Kalichanika kioo sio kupasuka… nikakaweka kwa draw..

Ila bado natumia simu isiyokuwa na protector. Kava natumia sbb simu nyuma inateleza mno
 
Kuweka simu protector na kava mi naona ni sign ya umasikini
 
Back
Top Bottom