MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Mkuu unayosema ni kweli. Mimi hela zangu za mwanzoni zililipa sana ada. Ila namshukuru Mungu madogo wote washamaliza chuo na hawako vibaya.Kaka huu uzi umetugusa wengi mno😆😆😆
Kama wewe unasomesha wadogo zako badala ya kusomeshwa na wazazi kutoboa ni ngoma nzito.