jana Marehe m Mfugale walimuaga Dodoma ye hakue nda kuaga kasubiri leo kaja kuagia Dar kwaiyo Mama katoka Dodoma ulikotoka mwili kaja Dar kuaaga mwili.Ikulu ipo dodoma, ofisi za wizara zote zipo dodoma,makao makuu ya chama yapo dodoma. Kinachomzungusha hewani Kila saa amekuwa JK
akae hapohapo Chamwino kwani kuna kitu gan kinakosekana pale? Kama wageni wakipokelewa Chato se mbuse hapo Chamwino?Tunakuonea huruma kufanya kazi ya Urais kama mwananchi wa gongo la mboto to kariakoo.
Hii kuwa hewani Dodoma,Dar,Dodoma,Dar si nzuri kwako.
Tunafahamu Chamwino bado kwa hadhi ya wageni wako kimataifa kuwapokea pale.
Pia jiografia ya Dodoma mjini hadi Chamwino ni ngumu kwa ugeni wakimataifa hata kuwahifadhi hotelini.
Tatu,Serikali ya Zanzibar wamekuwa watumwa kusafiri hadi Dodoma kila wakati.
Ulisema tushauri.
B
Rais Baki Dar
Makamu abaki Chamwino.
awe anakupokea ukienda
Ofisi za Chamwino zikiisha na makazi yako utaamua sasa.
Wananchi tunaelewa tu makao makuu yapo Dodoma hata ukiwa Magogoni.
Usilaumu,shauri.Mama anapenda ushauri, Umesikia anakoromea mtu?jana Marehe m Mfugale walimuaga Dodoma ye hakue nda kuaga kasubiri leo kaja kuagia Dar kwaiyo Mama katoka Dodoma ulikotoka mwili kaja Dar kuaaga mwili.
Chamwino hakuna hotel kama ya Chato.akae hapohapo Chamwino kwani kuna kitu gan kinakosekana pale? Kama wageni wakipokelewa Chato se mbuse hapo Chamwino?
Unaweza kusafiri mara chache tu ukapata ajaliHatuko tayari kupoteza Rais mwingine tena in one term..
Bila shaka hujui Chamwino iko wapiChamwino hakuna hotel kama ya Chato.
Chamwino hakuna traffic light kama Chato.
Chamwino hakuna barabara za lami nyingi kama Chato
Chamwino hakuna uwanja wa ndege kama Chato
Swala si kwa Rais tu,Unaweza kusafiri mara chache tu ukapata ajali
Mkuu Kikwete ndiyo Babayake au ??😁 Au ndiyo Mkuu wa Usalama wa Rais?Yukosalama kuliko ujuavyo kikwete siobwege
Sasa Ni wakati wao "KULA"Halafu huyu bi mkubwa FaizaFoxy amekuwa adimu sana siku hizi! [emoji56]
Nimecheka Sana na comment yako mkuuTaTizo linaanzia hapo. Ila jamaa ninasikia ana wawili
Tunakuonea huruma kufanya kazi ya Urais kama mwananchi wa gongo la mboto to kariakoo.
Hii kuwa hewani Dodoma,Dar,Dodoma,Dar si nzuri kwako.
Tunafahamu Chamwino bado kwa hadhi ya wageni wako kimataifa kuwapokea pale.
Pia jiografia ya Dodoma mjini hadi Chamwino ni ngumu kwa ugeni wakimataifa hata kuwahifadhi hotelini.
Tatu,Serikali ya Zanzibar wamekuwa watumwa kusafiri hadi Dodoma kila wakati.
Ulisema tushauri.
B
Rais Baki Dar
Makamu abaki Chamwino.
awe anakupokea ukienda
Ofisi za Chamwino zikiisha na makazi yako utaamua sasa.
Wananchi tunaelewa tu makao makuu yapo Dodoma hata ukiwa Magogoni.
Mhacheni apandishe uchumi kwanzajana Marehe m Mfugale walimuaga Dodoma ye hakue nda kuaga kasubiri leo kaja kuagia Dar kwaiyo Mama katoka Dodoma ulikotoka mwili kaja Dar kuaaga mwili.
Kwa safariMhacheni apandishe uchumi kwanza
Nchi hii ni tajiri, hata ikulu tatu tunaziweza. Sisi dona kantriTanzania kuopetate ikulu mbili Kwa wakati mmoja ni mzigo mkubwa kwa Taifa
Si anapanda na abiriaHalafu ni matumizi Mabaya rasilimali zetu adimu. Ndege ya watu 300 anapanda yeye tu
Mme wa nini wakati keshajizeekeaLabda mme yupo dar....
Haaaaaaaaa poleSi anapanda na abiria
Yaani mbumbumbu unaongelea Usalama wa Rais. Unadhani analindwa kama unavyolindana na mchepuko wako? Kuna watu wametumia maisha yao yote kujifunza kumlinda na hakuna cha kumdhuruKwa vile ninampenda sana Rais wangu. Napenda niwashauri hili watu wake wa karibu.
Rais amekuwa haeleweki ni wapi hasa makazi yake. Safari za Dar - Dom zimekuwa nyingi sana. Na anapaa angani, ina month anaweza fanya kama mara nne mpaka saba. This is riskier...ni hatari kwa usalama wake.
Vyombo vinavyopaa angani hakika si salama sana, hasa ukizingatia ni Rais.
USHAURI
Mama chagua sehemu moja ya kukaa. Nafahamu unaandamwa na 'guilty conscious' kwamba unatimiza legacy...ili tu eti kuwaridhisha CCM, eti 'legacy' so unalazimika kuwa Dom mara kwa mara.
Sisi ndio wananchi chagua kukaa panapo kupendeza na tutabariki. Kama ni Dar basi baki Dar...kama ni Dom basi baki Dom, kwa usalama wako.
Midege hii si ya kuamini sana Mama yetu. For your safety.
Nimemaliza.