Safari za Dar - Dom za Rais Samia zimekuwa nyingi, ni hatari kwa usalama wake

Waweke wazi makao makuu ya nchi ambapo anakaa rais wa nchi ni wapi.
Dodoma ama Dar?
Kwa hiyo balozi za nje nchini zitangetange kati ya Dar na Dodoma au ziendelee kuweka makazi yao Dar?
 
Mashine mpya hizo. Shida iko wapi. Mbona mtangulizi wake kila siku alikuwa mikoani tena anapishana na madreva wasio na lesen na bado maisha yalienda bila shida. Je huyu anayetembea na chombo cha kupimwa na compyuta kabla ya kuondoka ndo iwe hatari kwake?

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa safari
Mkuu sio maneno Yangu ni yake SSH rais, Sasa anapandishaje labda nayo ni NJIA mojawapo, Sasa Kama watu wameaga Dodoma nae alikua Dodoma ,alafu uyo angani Dar kuaga msiba utasemaje mkuu
 
DODOMA sio Eneo Salama kwa Rais Mwendazake Alikurupuka kutaka aonekana ana jua
 
Dar kutamu wewe asikuambie mtu, wanalazimisha tu huko Dodoma.Wanaficha aibu kuitosa Dodoma kwa kuwa wametumia mihela ya serikali kujenga Ikulu.Si vyombo vya habar ama viongozi licha ya jiji la Dar es Salaam kuvunjwa hawataji jiji la Ilala bado wanataja jiji la Dar es Salaam.
 
Je, wajua!

Ndege moja imetoka Dodoma kwenda Dar Iko na mama, nyingne Iko Burundi na Waziri mkuu nyingine Ipo Ufaransa na Mpango nyingine ndo iko na Mzee kikwete. Kwenye mazishi ya Kenneth kaunda

ATCL🙉
 
Usilaumu,shauri.Mama anapenda ushauri, Umesikia anakoromea mtu?
Karibu
Hahaah mkuu utasikia mi napenda kukosolowe kumbe wapi! Hivi kisaikolojia tu kuna mtu anapenda kukosolowa kweli? Kuna mtu anapenda kusemwa vibaya? Hapana banah anajitafutia kinga tu
 
Halafu ni matumizi Mabaya rasilimali zetu adimu. Ndege ya watu 300 anapanda yeye tu
Acha wivu ........

Huyu ni Rais Wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA .

Command In Chief wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama..

Signatory wetu....

Sio babu yako huyu...anaweza akapanda kifaru,nyambizi,helicopters,speed military car ,anything kama itaonekana kuna haja ya kupanda as many times as she can.
 
Jipiganie kwanza kabla ya kuanza kumlilia Mungu..
Ukifa kizembe hata uko mbinguni utaambiwa umekufa kijinga.


Lete andiko linalosema hivyo, na nani huyo atakayesema hayo maneno??
 
Duh, onyo na tahadhari hiyo. Hapo hana uchaguzi ni sharti akae Dom ambapo ndio makao makuu ya nchi tofauti na hapo ni utalii wa ndani .....................
 
Kuna siku atarudi dodoma akutane na Rais mwingine ashakalia kiti chake! Hyo hamahama ni hatar sana kwa rais wa nchi.. wakati yupo dar wa dodoma wanapanga yao.. km anaona akikaa ikulu moja atapoteza amuachie mme wake ikulu moja siku wakihitajiana mume ifuate rais!
 
Magu alikuwa na Makazi matatu... Dar,Dom na Chato...

Si muda Mama ataongeza kazi la tatu..Zanzibar.

Hii ndio TZ... Lakini nawaza zaidi hizo gharama...maana ni kodi zetu watanzania masikini..

Nchi ngumu sana hii.
Ndo maana akafa hatutaki litokee tena
 
Ataharibu flow, wafanyakazi nao wataanza kurudi dar mdogo mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…