Safari za Dar - Dom za Rais Samia zimekuwa nyingi, ni hatari kwa usalama wake

Mkuu kama una 'fununu' au 'nyepesi nyepesi' unaonaje ukaisaidia Polisi?
 
Hakuna shida ikulu zilizopitishwa kisheria ambazo rais anaweza kaa ni Dar na Dom. Kumbuka dar kitovu cha inchi kwa sasa hivyo moyo wa inchi lazima ulindwe.
 
Mama ana ofsi mikoa yote, anaowaongoza/kutawala wako mikoa yote.
 
tunapen da hanga ?Magu alileta mandege tifanye maonyesho au? acha tu aruke Mama la Mama
 
Haina haja Sana kufuata matakataka ya kupishana na fisi wa Dodoma,,[emoji38][emoji38][emoji38] juzi nilikuta moja limegongwa na gari pale Kisasa
 
Acha afe.Madikteta wakifa ni jambo la kheri.Huyu ni Magufuli wa kike.Anazuiaje mikutano ya hadhara ya kisiasa wakati ni haki ya kikatiba?
Mkutano wa hadhara utakuingizia fedha kiasi gani mfukoni wewe binafsi?
 
Mkutano wa hadhara utakuingizia fedha kiasi gani mfukoni wewe binafsi?
Bila demokrasia unaingizaje fedha?Hawa wazanzibari kwenye hii picha hapa chini wakati wanakula hiki kipondo wakati wa uchaguzi mkuu huko Zanzibar kutokana na kukosekana kwa demokrasia, waliweza kuingiza fedha mifukoni mwao?
 
Uzandiki hautawasaidia lolote nyie bavicha
CCM endeleeni kubaka wananchi,kulawiti wananchi kama tulivyoona enzi za Magufuli,kuiba kura,kuteka,kutesa,kuua,ukabila,ukanda,ubaguzi wa rangi(tulishuhudia hili enzi za Magufuli),kukandamiza demokrasia,kuua uhuru wa kujieleza,kuua uchumi,kudanganya wananchi na kadhalika.Haya ndiyo yatawasaidia?

Kila siku mnatoa ahadi hewa,kwenye kampeni zenu za uchaguzi mkuu wa 2020 mliahidi bima ya afya ya bure kwa kila mtanzania ila sasa hivi baada ya kuiba kura na kuchukua nchi mnadai ni kwa ambao hawana uwezo tu.Ninyi ni matapeli na vibaka wa kuiba kura mnaoharibu nchi hii ambao siku zenu zinahesabika.
 
Kuna mtu aliniambia ofisi ya Rais ikulu haijamalizika 100% iko katika hatua za mwisho
 
Mji mkuu uko dodoma na ndio makazi ya rais. Kama hawezi kukaa dodoma abwage manyanga. Kila leo yuko dar. Kama ni familia umri huo kwa nini imsumbue?
 
Magu alikuwa na Makazi matatu... Dar,Dom na Chato...

Si muda Mama ataongeza kazi la tatu..Zanzibar.

Hii ndio TZ... Lakini nawaza zaidi hizo gharama...maana ni kodi zetu watanzania masikini..

Nchi ngumu sana hii.
Kodi gani wewe. Sema anachezea hela za wa hisani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…