Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Mkoani Manyara, Rais Kikwete alifungua rasmi Barabara ya Singida-Minjingu-Arusha, akazindua mradi mkubwa wa maji wa Mji wa Babati na akaweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa Barabara ya Babati-Bonga.
 
Mkoani Singida, Rais Kikwete alizindua mradi mkubwa wa maji wa Mwankoko kwa ajili ya Mji wa Singida, akaweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa Barabara ya Manyoni-itigi-Chaya na akafungua Barabara ya Issuna-Manyoni.
 
Kumbe ipo miradi iliyosahauliwa na wakimbiza mwenge (maruhani)
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amerejea Dar es Salaam baada ya kumaliza ziara ya siku tisa katika mikoa minne ambako amekagua, kuanzisha ama kuzindua miradi 19 ya maendeleo na kutembea kiasi cha kilomita 2,770.

Wadau wa JF anastahili pongezi au????

Hzo km ni VUMBI AU LAMI?
 
Tutafakari na tujiulize kwa hii bidii ya namna hii kuonekana wakati huu na sio kama hapo awali?

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amerejea Dar es Salaam baada ya kumaliza ziara ya siku tisa katika mikoa minne ambako amekagua, kuanzisha ama kuzindua miradi 19 ya maendeleo na kutembea kiasi cha kilomita 2,770.

Wadau wa JF anastahili pongezi au????
Pongezi ipi kwa majukumu ambayo aliahidi kuyafanya na alipigiwa
kura kwa ajili ya hayo! Ni sawa na baba nyumbani anapowanunulia
nguo watoto wake au kuwapeleka shule, ni kweli anastahili pongezi
au anafanya majukumu yake kama mzazi?...
 
Bishop,natumia simu ila nakupa 'LIKE'.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amerejea Dar es Salaam baada ya kumaliza ziara ya siku tisa katika mikoa minne ambako amekagua, kuanzisha ama kuzindua miradi 19 ya maendeleo na kutembea kiasi cha kilomita 2,770.

Wadau wa JF anastahili pongezi au????

I beg to differ.......just food for thought

1. Apongezwe kwa kusafiri umbali huo kwa siku hizo au.......????? Hivi Dereva wa bus kutoka Dodoma to Dar kwa mfano anasafiri kilomita ngapi kwa siku hizo??? Achilia mbali wa Arusha to Dar, Mwanza to Dar etc.......

2. Suala la kukagua na kuanzisha miradi........ I wish kujua routines na exceptionals.....vipi waliojenga na kuisimamia A to Z.....walipa kodi zilizofanya hayo???

3. Akisafiri nje malalamikoooooo amekaa na kusafiri sasa tunaulizana kama anastahili pongezi??????

Tunategemea nini kutoka kwa Rais wetu na kwa kiasi gani????.....................kama hatujielewi vile ila tunataka kumuelewa yeye.....!!!!!!!!!
 
Makamanda matatizo matupu mh. Kikwete akienda nje kelele akikagua maendeleo ya ndani ya nchi kelele hivi jema kwenu ni lipi?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Nadhani mtoa mada alitaka kusema Kiwete kasafiri Km 2770 na sio kutembea!!! Kutembea ni neno tata kidogo na most of the time inamaanisha kutembea kwa miguu!!! (Profesa Safari tusaidie Kiswahili hapa)

Ok Now kama ni kusafiri Km hizo kwa 9 days ukigawanya kwa siku ni Km 307.77 Hizi Km kwa siku Compare na Trip moja ya Mje anagalia tofauti yake kwa benefit kwa Watz halafu ndipo utampongeza au la! Ila binafsi sioni la Kupongeza hapa.
 
Hiyo ni kazi yake. Hata hivyo amechelewa sana ilibidi afanye hivi toka kitambo na mara nyingi zaidi.
 
I beg to differ.......just food for thought

1. Apongezwe kwa kusafiri umbali huo kwa siku hizo au.......????? Hivi Dereva wa bus kutoka Dodoma to Dar kwa mfano anasafiri kilomita ngapi kwa siku hizo??? Achilia mbali wa Arusha to Dar, Mwanza to Dar etc.......

2. Suala la kukagua na kuanzisha miradi........ I wish kujua routines na exceptionals.....vipi waliojenga na kuisimamia A to Z.....walipa kodi zilizofanya hayo???

3. Akisafiri nje malalamikoooooo amekaa na kusafiri sasa tunaulizana kama anastahili pongezi??????

Tunategemea nini kutoka kwa Rais wetu na kwa kiasi gani????.....................kama hatujielewi vile ila tunataka kumuelewa yeye.....!!!!!!!!!

Sioni sababu ya kupongezwa kwa kufanya ziara ya kikazi nchini, hiyo ndio kazi tuliyompa watanzania
 
SAFARI ya 340,
Mheshimiwa Rais Jakaya M.Kikwete yupo nchini Kenya kwa ziara ya kikazi
 
Safari ni nyingi hadi raha wajisifu waliompa kura bwana kikwete!
 
Nimetumia neno bwana kwani sisi sisiem kumefuta uheshimiwa
 
Nimepata taarifa hapa jf kuwa safari za mheshimiwa ni 395 kwa miaka saba,nasafari moja ni 300mil.hiyo ni nauli tu,nambieni pesa hiyo ni kiasi gani kwa tarakimu halafu nitakuja na hoja nzito.
 
aliingia ikulu ili kutimiza ndoto zake si kutatua matatizo ya nchi na watanzania so mwache amalizie huo anaouona uhondo halafu atulie
 
Back
Top Bottom