Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amerejea Dar es Salaam baada ya kumaliza ziara ya siku tisa katika mikoa minne ambako amekagua, kuanzisha ama kuzindua miradi 19 ya maendeleo na kutembea kiasi cha kilomita 2,770.
Wadau wa JF anastahili pongezi au????
Pongezi ipi kwa majukumu ambayo aliahidi kuyafanya na alipigiwaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amerejea Dar es Salaam baada ya kumaliza ziara ya siku tisa katika mikoa minne ambako amekagua, kuanzisha ama kuzindua miradi 19 ya maendeleo na kutembea kiasi cha kilomita 2,770.
Wadau wa JF anastahili pongezi au????
Bishop,natumia simu ila nakupa 'LIKE'.Pongezi ipi kwa majukumu ambayo aliahidi kuyafanya na alipigiwa
kura kwa ajili ya hayo! Ni sawa na baba nyumbani anapowanunulia
nguo watoto wake au kuwapeleka shule, ni kweli anastahili pongezi
au anafanya majukumu yake kama mzazi?...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amerejea Dar es Salaam baada ya kumaliza ziara ya siku tisa katika mikoa minne ambako amekagua, kuanzisha ama kuzindua miradi 19 ya maendeleo na kutembea kiasi cha kilomita 2,770.
Wadau wa JF anastahili pongezi au????
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amerejea Dar es Salaam baada ya kumaliza ziara ya siku tisa katika mikoa minne ambako amekagua, kuanzisha ama kuzindua miradi 19 ya maendeleo na kutembea kiasi cha kilomita 2,770.
Wadau wa JF anastahili pongezi au????
I beg to differ.......just food for thought
1. Apongezwe kwa kusafiri umbali huo kwa siku hizo au.......????? Hivi Dereva wa bus kutoka Dodoma to Dar kwa mfano anasafiri kilomita ngapi kwa siku hizo??? Achilia mbali wa Arusha to Dar, Mwanza to Dar etc.......
2. Suala la kukagua na kuanzisha miradi........ I wish kujua routines na exceptionals.....vipi waliojenga na kuisimamia A to Z.....walipa kodi zilizofanya hayo???
3. Akisafiri nje malalamikoooooo amekaa na kusafiri sasa tunaulizana kama anastahili pongezi??????
Tunategemea nini kutoka kwa Rais wetu na kwa kiasi gani????.....................kama hatujielewi vile ila tunataka kumuelewa yeye.....!!!!!!!!!
SAFARI ya 340,
Mheshimiwa Rais Jakaya M.Kikwete yupo nchini Kenya kwa ziara ya kikazi