Achahasira
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 1,213
- 215
wakuu hizo idadi za ukweli au kukisia tu? maana si amini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mheshimiwa wa magogoni alisafiri kinyemela bila kutuaga waajili wake na kwenda Juba South Sudani kwenye birthday ya taifa hilo!
Hiyo ni safari ya 313 ta awe rais wa tz mwaka 2005
UPDATES
Mpaka leo tarehe 23/8/2011 tayari amesha safiri safari 315 tangu aingie magogoni octoba mwaka 2005
Hii ni rekodi ya kipekee duniani ambayo watz tunatakiwa kujivunia na kutembea kifua mbele maatako nyuma
UPDATES
Kesho tar 9/9/2011 rais atasafiri kuelekea Kenya kwa ziara ya kikazi
Hiyo ni safari ya 316 tangu rais aingie madarakani mwaka 2005!
UPDATES:
Safari ya 317 kwa rais wangu kipenzi!
ameenda marekani katika ufunguzi wa UNGA.vilevile atashiriki katika sherehe za kuazimisha maendeo yaliyofikiwa na nchi zinazo endelea.
wakati huo huo waziri mkuu pinda ametangaza kuwa serikali inakusudia kuongeza bei ya umeme kwa sababu tanesco inajiendesha kwa hasara.mia
Ondoa hofu mkuu hayo yote yataainishwa na kila kitu kitakuwa wazi! Hii ni nchi yetu na JK ndiye rais wetu!Jamani kwa wale wenye data ya siku ambazo Mzee wa Magogoni Mjomba wetu aliishi nje ya nchi waweke hapa jamvini ili tuone ni miaka mingapi Mzee ameishi nje ya nchi. Si ajabu ukaona anajumla ya miaka minne tu kuwepo nchini tangu aingie pale Magogoni 2005. Mungu Ibariki Tanzania wabariki viongozi wake ...............
Hivyo ni sehemu tu ya vituko vya rais wetu kipenzi!huyu jamaa jana alikua anaishauri serikali juu ya suala la umeme! hii ni kali kwani inaonesha yeye hayupo kwenye serikali.Kuna mwinginwe anayetakiwa kutoa maamuzi ya Tatizo na taswira ya mathara ya umeme
Nimesoma makala moja kwenye blog ya yerickonyerere.wordpress.com hakika nimeipenda hii hapa!Anatumia kodi yetu kwa manufaa yake badala ya kutuhudumia na kutueleza eti maendeleo bila ya wawekezaji haiwezekani!
Usimhangae sana huyo JK anakwenda kwatafuta wa kubadilishana madini yetu na neti zenye sumuMheshimiwa wa magogoni alisafiri kinyemela bila kutuaga waajili wake na kwenda Juba South Sudani kwenye birthday ya taifa hilo!