Hapa safi, yaani sayansi ya inteljensia ikigoma, tinachukua tu kioo Cha Babu tunakuona laivu, na ikibidi unapigwa ndumba tu. Kigoma hakuna mchezoView attachment 2468455
Hussein Masoro ndani ya TISS:
Masoro alikuwa U1 (Anapokea taarifa za wakurugenzi wote na kuzichakata kisha kumpatia DG ili ampatie Rais)
Then, akapelekwa China kuwa Balozi mdogo.
Aliporejea, akawa DAP (Director of Administration and Personnel).
Akapanda na kuwa Kaimu Mkurugenzi (DDGIS); kabla ya kuteuliwa na Rais Samia kuwa DGIS.
Ana uzoefu mkubwa ndani ya Idara na kuna uwezekano mkubwa akaifanyia transformation ya maana (akiamua).
Nje ya TISS:
Masoro kwa asili, ni mtu toka mkoa wa Kigoma.
kwani unaposikia fulani ni balozi unamchukuliaje?Mkurugenzi mkuu huwa ni nafasi ya utawala, mtu yeyote mwenye maarifa na busara za Utawala anaweza kuwa katika hiyo nafasi.
Mkuu wa CIA wa Marekani alikuwa ni balozi.
Hakuna mwenye uhakika na Dini yake ila alikuwa Mkurugenzi msaidizi wa TISSNa huyu muislamu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Balozi...UbaloziniHuyu hapa au?
Huwa nna maoni kama ya kwako.. kadri nnavyoangalia mwenendo wa Dunia inavyokenda... nakiri kwamba Nyerere ndio aliweka blueprints za kuharibu hili taifa...Hao nyoka wamesaidia nini wakati nchi inazidi kuzama kwenye dimbwi la umasikini.
Nyerere aliacha mfumo wa hovyo sana wa uongozi.
Alikufanyaje Nyerere?Nyerere ndio aliweka blueprints za kuharibu hili taifa
kwani unaposikia fulani ni balozi unamchukuliaje?
Smart kuua watu n kuweka kwenye vilobaKatika watu ambao walikuwa smart ni Diwani Athuman, Fuatilia rekodi zake kuanzia ukuu wa mikoa, u RPC hadi TAKUKURU, Lakini Mkurugenzi wa TISS Tanzania hata awe smart vipi kama raisi ni mbovu hawezi kufanya majukumu yake vizuri.
Tofauti na nchi kama USA, TISS iko chini ya raisi, wanafanya mambo kwa kuongozwa na raisi na wanaripoti kwa raisi.
Smart ukilinganisha na Kipilimba.Smart kuua watu n kuweka kwenye viloba
Endelea kusoma zaidi. Kennedy aliuawa na Mossad pale alipoanza kuuliza kwa nini Israel inaiingiza Marekani katika matatizo na actually akaanza kupunguza uhusiano.Kennedy aliuawa kwa Mambo mengi na Wala si usalama wa nchi,alitaka kuiondoa nchi Vietnam wakati wahuni walikua wakipiga mamilioni kwa siku kwa kuliuzia jeshi silaha na vifaa vingine,alitaka kuibadili CIA aliona ipo kiwaky, Yitzhak Rabin aliuawa si kwa kuhatarisha usalama wa Israel Bali kupendelea zaidi amani na Palestine
Nilimdharau sana alivyoshabikia watu kuuwawa katika vita ya Ukraine.Takataka za Nyerere abaki nazo
Jamaa kabishi na kajuaji lakini hakana lolote
Kwani unafikiri mission za TISS zote rais anajua!?
Chaguo sahihi.View attachment 2468455
Hussein Masoro ndani ya TISS:
Masoro alikuwa U1 (Anapokea taarifa za wakurugenzi wote na kuzichakata kisha kumpatia DG ili ampatie Rais)
Then, akapelekwa China kuwa Balozi mdogo.
Aliporejea, akawa DAP (Director of Administration and Personnel).
Akapanda na kuwa Kaimu Mkurugenzi (DDGIS); kabla ya kuteuliwa na Rais Samia kuwa DGIS.
Ana uzoefu mkubwa ndani ya Idara na kuna uwezekano mkubwa akaifanyia transformation ya maana (akiamua).
Nje ya TISS:
Masoro kwa asili, ni mtu toka mkoa wa Kigoma.
Hebu eleza: Kombe alileta tatizo gani hata akauawa? Kifo chake hadi leo sijakipatia ufafanuzi.Chaguo sahihi.
Kwa kawaida Idara hizi za Usaka zinapenda kiongizi wa juu awe home grown.
Wale wanaotika nje ya Idara au Taasusi huwa wanaoata matatizo, mfano kamanda Kombe.
Hata JWTZ Rais Mwinyi alijaribu kumuweka CDF kutoka nje ya core JWTZ alipostaafu nafikiri Gen Kyaro. Suala lilileta figisu.