Said Hussein Masoro Mkurugenzi mpya Usalama wa Taifa (TISS) ni Nani haswa?

Diwani Athumani amewahi kuwa Mkuu wa Mkoa upi?
 
Mbona anaonekana kama mzenji?
 
Pia wapo waliokuwa wananitukana wakati wa JPM kwa kuwa Chawa wake wa kujitolea …wengine wakinitukana kwa U CCM wa kutetea Serikali na wengine kwa udini nikimkosoa

JPM aliwahi kusema Hasidi hana sababu …hata ukicheza kwny maji utaambiwa unatimua vumbi


Mbowe nae alikosoa sana utawala wa JPM kuliko wa Samia …atakuwa mdini pia ?

kwa ujumla Siasa za ukosoaji zimepungua sana Nchini kutokana na Jamii yenyewe kuchagua kujadili mpira, show za Wavuvi camp, n.k
 
Hao nyoka wamesaidia nini wakati nchi inazidi kuzama kwenye dimbwi la umasikini.
Nyerere aliacha mfumo wa hovyo sana wa uongozi.
Ukiachana na Mimi, wewe ni mtu WA pili kuwa na fikra pana Sana ktk mifumo mibovu ya kiuongozi ya Nyerere
 
Asante sana Mkuu X spy
 
Sababu za kumuua zilikuwa zipi?
Inasemekana DG wa CIA (ambae mpaka sasa ndo DG aliekaa miaka mingi kwenye kiti kuliko yeyote- alipata fununu kuwa Rais Kennedy anataka kumreplace! Jamaa kutetea kiti chake akamla kichwa. Na hii ikafanya Marais wote waliokuja baada ya Kennedy kumwogopa jamaa! Alafu jamaa wanasema alikuwa mtu wa upinde
 
Mbona kutoka JWTZ wametawala muda mrefu pia?

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Hao nyoka wamesaidia nini wakati nchi inazidi kuzama kwenye dimbwi la umasikini.
Nyerere aliacha mfumo wa hovyo sana wa uongozi.
Hata mimi huwa najiuliza Kila mwaka CAG anasema tumeibiwa kwenye Madini, utalii, fedha za umma, ardhi na resources nyingi. Hawa watu tunaambiwa wako kila mahali kwani kazi zao ni nini hasa?
 
🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…