Salamu kwa wanawake: mwanaume kumuhudumia mwanamke ni mfumo dume.

Katika ulimwengu huo wanaume wa aina yako mtapata wanawake wa miaka 40+ wasio na pesa.
Assumption ni ulimwengu ambao wanawake hawahitaji huduma kabisa wala pesa, wanajitegemea.
 
Assumption ni ulimwengu ambao wanawake hawahitaji huduma kabisa wala pesa, wanajitegemea.
Hata sasa hivi sio wanaume wote wenye pesa ila bado hata wasio na pesa wanapata wanawake na wanawazalisha, kinachotokea unakuta wengi wao tu sio wale wanawake wa malengo yao.
 
Hapa unamaanisha mkeo au mwanamke tu unayetaka kumuingilia uburudike?
Mwanamke ametajwa kama mwakilishi wa wanawake wote na pia ni specific kwa mwanamke ambaehayupo katika qualifications tajwa chini yake.
-ana nguvu na akili timamu(hapa tunaexclude watoto wadogo, walemavu n.k
-sio ndugu yangu
-hajanisaidia kutafuta(hapa ndipo kundi kubwa la parasites women lipo)
Mke anaweza kuwa na mchano au asiwe nao, lakini mara nyingi kama umeona anafaa mpaka ukamuoa maana yake mchango wake umeuona
 
Sina shida wala chuki na wahongaji. Naelewa kabisa linapokuja suala la sexual desire wapo wanaume ambao hakuna logical explanation utawapa watakuelewa.
Na tamaduni pia zina nafasi yake, kama vile ambavyo wengi labda hata ikiwemo wewe huwezi kupinga mahari kwa wanawake.
 
Huduma siyo chakula na labda mavazi tu ht kutombwa ni huduma, ulitaka hiyo huduma atoe nani
 
Hata sasa hivi sio wanaume wote wenye pesa ila bado hata wasio na pesa wanapata wanawake na wanawazalisha, kinachotokea unakuta wengi wao tu sio wale wanawake wa malengo yao.
Yes, upo sahihi.
Mimi nimejaribu tu kuassume dunia ambayo mwanamke yeyote hataki huduma wala pesa kutoka kwa mwanaume kabisa. Itakuwa dunia ya aina gani.
 
Yes, upo sahihi.
Mimi nimejaribu tu kuassume dunia ambayo mwanamke yeyote hataki huduma wala pesa kutoka kwa mwanaume kabisa. Itakuwa dunia ya aina gani.
Itakuwa dunia poa sana, mapenzi yatakuwa ya kweli kwa kiasi kikubwa kuliko ilivyo sasa.
 
So, assumption ni wanawake wote. Let's assume tumefanikiwa wakawa hawataki huduma wanajiweza, kila mtu ana nyumba yake, pesa zake, kila mtu amhitaji mwenzake kifedha wala kihuduma. Nini kitafata? Happly ever after? Sidhani. Kuna balaa jipya litazaliwa.
 
Itakuwa dunia poa sana, mapenzi yatakuwa ya kweli kwa kiasi kikubwa kuliko ilivyo sasa.
Mmh, sidhani, ukifuta access ya ngono kwa mwanaume mpaka apendwe ndo aipate utazalisha tatizo kubwa mno.

Wanaume hatufanyi ngono sababu ya mapenzi pekee, ngono kwetu ni hitaji la kudumu, ni pleasure.
 
Commercialization of sex sio huruma, ipo influenced zaidi na umasikini wa wanawake. Jamii yetu ni masikini na kujua au kutojua tumeamua kuikumbutia dhana kwamba mahusiano ni njia ya kumwezesha mwanamke kuondokana na umasikini au kupunguza ukali wa maisha. Kwahiyo tuache kuipamba hii biashara ya ukahaba kwa majina matamu tamu ya kuhudumiwa, sijui huruma n.k

Suala la kununua malaya sio minimum choice kama ulivyoliweka wewe. Kuna watu wana uwezo wa kuhudumia lakini wanaprefer kununua kwa sababu ya kuepukana na drama za wanawake, kukosa uhuru unapokua kwenye mahusiano n.k

Mimi binafsi sina shida na commercialization of relationship, na wala silalamiki kusema kwamba sina uwezo wa kuingia tinder na kufanya mpango wa ku-import mzigo geto, lakini kuna consequences zake kama wanawake kutumika kama chombo cha starehe, epidemic of single mothers and fatherless kids n.k. Hizi consequences zikifika kwenye familia zetu tutaendelea kuunga mkono hii relationship commercialization?
 
Reactions: Tsh
Mmh, sidhani, ukifuta access ya ngono kwa mwanaume mpaka apendwe ndo aipate utazalisha tatizo kubwa mno.

Wanaume hatufanyi ngono sababu ya mapenzi pekee, ngono kwetu ni hitaji la kudumu, ni pleasure.
Wanaume wata adapt tu, lakini pia hao wanawake wenye pesa watakuwa wananua malaya wanaume kama sasa hivi ambavyo wanaume wenye pesa wananunua malaya wanawake, kitakachobadilika ni kwamba biashara hautakuwa kubwa kama sasa. Pia wanawake watakuwa free zaidi na ngono bila kujali gharama za mimba na ujauzito kwa sababu ya uwezo wao wa kipesa.
 
Mkuu, wanawake wakiwahitaji wanaume kifedha ni advantage kwa wanaume kuliko mbadala wake. Trust me wanawake wakiwa matajiri tatizo ni kubwa kuliko wakiwahitaji wanaume.
 
Mkuu, wanawake wakiwahitaji wanaume kifedha ni advantage kwa wanaume kuliko mbadala wake. Trust me wanawake wakiwa matajiri tatizo ni kubwa kuliko wakiwahitaji wanaume.
Sio kweli, angalia nchi kama China, Japan, Marekani, Ulaya au Scandinavia ambazo wanawake wana pesa na wanajitegemea zaidi wenyewe uone kama kuna shida yoyote.
 
Nafurahi sana nikiona mtu ameelewa msingi wa point yangu.
 
Duh, mkuu, Hapo kwenye wanawake kununua Malaya wanaume ndo kabisaa kunanifanya nione hii idea hapana.
 
Bado hamjui mnataka nini kwa ujumla wake kati ya mfumo dume na usawa wa kijisnia. Mnabadilika badilika kwa kuangalia masilahi yapo upande upi kwenye kila moment.
Haswaa kila mtu anafanya hivyo, hata ninyi mnapenda mfumo dume linapokuja suala la kumweka mwanamke kwenye kiganja ila majukumu yanayoambatana na huo mfumo dume mnayakimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…