Hapa namwona mwandamizi kama aliingia mzigoni yeye mwenyewe kurekodi matukio kimyakimya?TOKA MAKTABA :
Uelewano wa Dr. Emmanuel Nchimbi na vyombo vya ulinzi na usalama pia ikiwemo mkuu wa usalama:
Brasil, Brazil hadi St. Peter's Oysterbay
Katibu mkuu ni mtu aliye karibu sana na aliyekuwa afisa ubalozi ktk ubalozi wa Tanzania nchini Brazil ambaye sasa ni mkurugenzi mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Bw. Suleiman Mombo.
13 September 2024
SAKATA LA UTEKAJI CCM WATOA TAMKO KUPITIA NCHIMBI, WACHUKIZWA NA KAULI ZA CHADEMA
View: https://m.youtube.com/watch?v=wzhd5pVK0zs
Dr. Emmanuel Nchimbi na Suleiman Mombo wameishi jijini Brasil katika ubalozi wa Tanzania. Wameona na kusikia makundi ya kihalifu kule Ecuador, El Salvador na mataifa kadhaa ya bara la Latino Amerika ambayo yalikuja kuwa hatari siyo kwa raia tu bali hata serikali zilizo madarakani.
Ukaribu wa Katibu mkuu Emmanuel Nchiimbi na Mkuu wa Usalama wa Taifa Suleiman Mombo ni lulu ambayo ikitumika kwa uzuri na nia njema ya kukipata kikundi hiki cha wasiojulikana ni wakati huu wa sasa.
Dr. Emmanuel Nchimbi na mkuu Sukeiman Mombo waielekeze hali hiyo ya kuchukizwa kwa Kundi la Watu Wasiojulikana watumie ushawishi wao, rasilimali za serikali na waajiriwa safi wa vyombo vya ulinzi na usalama kuweza kuwatia mbaroni watu hawa wasiojulikana na kutupa umma mrejesho wa mafanikio ya kazi waliyopewa na mwenyekiti wa CCM ambaye ni rais wa JMT kuwasaka haraka watu hawa wanaoleta hofu kwa kuteka na kuua watu.
.PICHA TOKA MAKTABA :
Balozi Dkt. Nchimbi na Mama Balozi Jane Nchimbi, wakisindikizwa Mara baada ya kumaliza kuwasikisha hati za Utambulisho kwa Rais
13 Jul 2024 — The appointment of Selemani Mombo as the new TISS Director General could have significant impacts on Tanzania's security and intelligence.
Kwahiyo Kikwete alikuwa Mzanzibari au Magufuli ndio alikuwa Mzanzibar?Kulingana na katiba, raisi akitoka bara anaefuata ni visiwani. Mda wa JPM anaumalizia mama, anaefuata ni kutoka Zanzibar.
Ni good news japo sìjui kama itakuwa ni za kweli.👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu,wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
dr.nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo,kukinusuru chama! kuendana na matakwa ya JWTZ kutaka mtu mzalendo kushika nafasi hiyo...! ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌
👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌
View attachment 3388499
Na kwanini kabla ya jakaya alikuwa mkapaIlikuwaje baada ya Jakaya akafuatia Pombe?
Hapa kasim majaliwa asijue upande wa kushika 😁😁😁 jenista mhagama vile vile😁😁Rebellion (kuasi)ndani ya chama dola kongwe tawala ipo sana :
TOKA MAKTABA
11 Julai 2015
Dk. Emmanuel Nchimbi asoma taarifa ya rebellion mbele ya Media kwa akitoa msimamo wa kundi lao la waasi kutokubaliana na maamuzi ya Kamati Kuu ya CCM ya kuwateuwa majina ya wagombea watano waliotia nia urais kwa tiketi ya CCM
View: https://m.youtube.com/watch?v=lrVCUN0GQCE
21 September 2015
Waasi ndani ya CCM wakionesha kutoridhishwa na maamuzi ya Kamati Kuu CC ya CCM
CCM wakiimba --Tuna imani na LowassaCCM mbele kwa mbele. Kingunge akiwa Arusha
View: https://m.youtube.com/watch?v=xAq-winQLtU
Hayo yanawahusu wenyewe huko CCM. Hayatuhusu sisi wananchi kwa ujumla wetu👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu,wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
dr.nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo,kukinusuru chama! kuendana na matakwa ya JWTZ kutaka mtu mzalendo kushika nafasi hiyo...! ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌
👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌
View attachment 3388499
Huzuni kwakweliHebu imagine miaka mingine 5 chini ya huyu mama
Tatizo hawa wa rank za chini na kati wanangoja kutelekeza amri tu iwe halali au mbaya ndio tafsiri yao ya uzalendo.Jeshi kama wanakubalina wale majenerali wa juu hakuna wa kuwafanya kitu. Tatizo la Bongo ni kuwa hao wenye nafasi za juu wote wana maisha mazuri sana na hawaathiriki na u-hovyo wa serikali
Kwamba kumtaka mtu mzalendo👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu,wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
dr.nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo,kukinusuru chama! kuendana na matakwa ya JWTZ kutaka mtu mzalendo kushika nafasi hiyo...! ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌
👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌
View attachment 3388499
Sio kweli fanyia ujinga maeneo yote ila Hawa ndio wenye nnchi yao kwani hujifunzi kwa Ibrahim traoreAkina nani wazalendo? JWTZ?
Hata wakiwa wazalendo vipi, wameapa kutii maagizo ya raisi, hawawezi kwenda kinyume na anavyotaka.
Ila we jamaa 😂Watanzania tupo kama mazezeta Fulani hivi. Tunabweka bweka tu kuilaumu serikali na watawala lakini hatuchukui hatua.
Tukiwa mtandaoni tunabweka kuwachukia watawala, lakini hao watawala wakiitisha mikutano mnaenda na mnajaa kama sisimizi, HIVI HAMNA KAZI ZA KUFANYA???
Mnasema JWTZ, TISS n.k ndo wataleta ukombozi, wakati huo hao wanaleta ukombozi nyie raia mtakuwa mnafanya nini?? Yaani umekalisha matako yako unasubiri watu wangine wakuketee ukombozi??? Huko Kenya wanaoleta shinikizo la mabadiliko ni vyombo vya usalama au Raia?? Usikute hapo JWTZ wanasubiri raia mkiamshe wao waunge mkono sema raia ndo zimekaa kishoga shoga hazijielewi
Chadema kutwa wanapambana wakipigania mabadilko na ukombozi, angalia raia Sasa wanaopiganiwa, wapo wapo tu kama ******* ******* Fulani hivi.
Pumbavu matako yenu
Nyumbu unajidanganya👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu,wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
dr.nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo,kukinusuru chama! kuendana na matakwa ya JWTZ kutaka mtu mzalendo kushika nafasi hiyo...! ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌
👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌
View attachment 3388499
Kwani huyu architect wa kila kitu katika nchi hii anasemaje? Mwanawe na mkewe watapata vyeo gani Nchimbi akichukua usukani? Atapata bilioni ngapi yeye kama yeye?Mwaka huu Watauana sana