Utabiri wa marehemu shekhe Yahya sasa ni zamu ya chadema ya Senegal na Zambia na pia Mandela yanaenda kutokea TanzaniaHata huyo Nchimbi hatumtaki CCM ni ile ile sisi kama wananchi wazalendo tunaona CCM haifai tena kuongoza nchi hii. Uwezo wao mdogo kwasababu kila anayeingia haongozi kwa weledi na atakayejaribu basi atawekewa zengwe mwishoni na yeye ataingia kwenye siasa zile zile za maji taka uuaji ,ufiraji ,rushwa nk rejea kwa JPM mzalendo wa kweli ambaye sytem ikamfanya kua katili wa kutupwa.
Ibirisi wa ccm vichwa vinawauma sanandoto za vilaza....
Wewe endelea kuwaza ushetani wa ibirisi wa ccm mpaka uje kushangaa ccm wapo bench kama KANU ya kenyaHata mimi nishawaza, hivyo hizi ni propaganda.
Kumbukumbu hii inatisha sana, to say the least; kwa wale waliokuwepo na kushuhudia tukio hilo.Nchimbi atamuua Samia. Nchimi alimuua mtoto wa Malecela ,Ipyana kisa Uongozi UVCCM
Muungano ufe Tanganyika iwe hurukati ya vitu nitakavyofurahi na kumshukuru Mungu ni pale huyu mzanzibari akiondoka Tanganyika ambako amefunga hadi makanisa watu wasiabudu wakati yeye anaenda kuswali kama kawaida. Watanganyika tuamke, hakuna uzalendo hapo kwa huyo mama na kijana wake abdul.
Bado unavuta Bangi hapo Ghetto kwa Amos makala? Wewe mnufaika wa utekaji mauaji kuwabambikia kesi za uongo utakufa kwa laanaMmefikia kiwango Cha juu Cha ulaghai,hili likipita sijui mtakuja na lipi au Lissu kwenda kula ubwabwa au Lissu kutenguliwa IDU,au Lissu apigiwa kura ya hapana CDM 😆😆😆
Baada ya wewe kunufaika na pesa za utekaji mauaji na kuwabambikia kesi za uongo chademaNdoto za mchana kweupeeee
Na ww si MtzWatanzania tupo kama mazezeta Fulani hivi. Tunabweka bweka tu kuilaumu serikali na watawala lakini hatuchukui hatua.
Tukiwa mtandaoni tunabweka kuwachukia watawala, lakini hao watawala wakiitisha mikutano mnaenda na mnajaa kama sisimizi, HIVI HAMNA KAZI ZA KUFANYA???
Mnasema JWTZ, TISS n.k ndo wataleta ukombozi, wakati huo hao wanaleta ukombozi nyie raia mtakuwa mnafanya nini?? Yaani umekalisha matako yako unasubiri watu wangine wakuketee ukombozi??? Huko Kenya wanaoleta shinikizo la mabadiliko ni vyombo vya usalama au Raia?? Usikute hapo JWTZ wanasubiri raia mkiamshe wao waunge mkono sema raia ndo zimekaa kishoga shoga hazijielewi
Chadema kutwa wanapambana wakipigania mabadilko na ukombozi, angalia raia Sasa wanaopiganiwa, wapo wapo tu kama ******* ******* Fulani hivi.
Pumbavu matako yenu
Watanzania tupo kama mazezeta Fulani hivi. Tunabweka bweka tu kuilaumu serikali na watawala lakini hatuchukui hatua.
Tukiwa mtandaoni tunabweka kuwachukia watawala, lakini hao watawala wakiitisha mikutano mnaenda na mnajaa kama sisimizi, HIVI HAMNA KAZI ZA KUFANYA???
Mnasema JWTZ, TISS n.k ndo wataleta ukombozi, wakati huo hao wanaleta ukombozi nyie raia mtakuwa mnafanya nini?? Yaani umekalisha matako yako unasubiri watu wangine wakuketee ukombozi??? Huko Kenya wanaoleta shinikizo la mabadiliko ni vyombo vya usalama au Raia?? Usikute hapo JWTZ wanasubiri raia mkiamshe wao waunge mkono sema raia ndo zimekaa kishoga shoga hazijielewi
Chadema kutwa wanapambana wakipigania mabadilko na ukombozi, angalia raia Sasa wanaopiganiwa, wapo wapo tu kama ******* ******* Fulani hivi.
Pumbavu matako yenu
Hamna KengeMwacheni Samia wawatu amalizie muda wake kenge wanaume nyie
Watalia tunamtaka mama😭Mnatamani sana Tanzania iingie kwenye utawala wa kijeshi
Jiandaeni kuzeeka bila kuona hiyo situation
Unadhania sioni kuna makenge ila sasa sina jinsi inabidi ni muunge mkono aliyeshikilia mpini no reform.no election yupo mahabusuHamna Kenge
Hahaaa nimerudia kumbe baroziMimi sio mfuasi wa huyo mama ila kitendo cha mtoa taarifa kuandika “barozi” nimeachia hapo kusoma