Tetesi: Samia kupigwa chini na Nchimbi kuchukua nafasi yake kugombea kukinusuru chama

Ni vigumu sana mtu awaye yote kwenda kinyume na matakwa ya raisi.
Haya "matakwa ya rais" naona yamekuingia akilini mwako sana, kiasi ya kuyafanya kuwa ndiyo pekee yenye uhakika!
Huyu rais 'mungu' hana mashetani pembeni wanaojaribu matakwa yake kila mara?
 
Mimi sio mfuasi wa huyo mama ila kitendo cha mtoa taarifa kuandika “barozi” nimeachia hapo kusoma
Unasomaga maandishi ya Tumia akili . Ile hati huwa ni mbovu na mbaya. Achana na hizo kama mwalimu wa lugha. Hapa ni ujumbe tu. Ukiuelewa basi.

Wakatika mwingine hawa vijakazi wa kazi maalum hujiandikia tu ilimradi wasionekane kama ni watu makini.
 
Jamaa alijoin 26 jun 2015...ngoja nione juzi zake za mwanzo zilikuwaje.

Ni mwaka mwingine wa uchaguzi yupo fonti peji. 😀😀😀
 
Team yeye mwenyewe.Yule Nchimbi lazima atakuwa Rais kwa vyovyote vile.
Yeah ni mkatoliki,na umri unaruhusu,ila anaweza akachezewa kekundu keusi anaingia mnyamwezi wa zanzibar,yeye akaja kuwa rais akiwa na 69 years
 
Swali: Kwanini serikali haitoa ufafanuzi sababu ya Bunge kuvunjwa tarehe 03/08/2025 licha ya hizi tetesi zinazoendelea?

Hapa si bure, huu ukimya wa serikali una jambo nyuma yake.

Muda utasema.
Hamna kitu hapo wala usiwe na matarajio yoyote.
 
Nchimbi atamuua Samia. Nchimi alimuua mtoto wa Malecela ,Ipyana kisa Uongozi UVCCM
Mkuu mnapata faida gani kusaikizia watu mambo mabaya na mazito. Hili jukwaa sio uwanja wa kusema uongo na kusambaza uchochezi
 
Wewe uko Burundi hiyo pole unampa nani
 
Hata Mm nahisi hivyo! Nakubaliana na ww kabisa
Hivi Namba 2 mbona haonekani?
Yuko nje ya nchi kumwakilisha Mhe. Rais kwenye mikutano mbalimbali Nigeria na Spain. Uliza lingine wa kuungaunga, kwani ulitaka kusemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…