Uchaguzi 2020 Samora, Iringa: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Rais Magufuli

Kumfurahisha bwana mkubwa uwanja ujae! CCM elimu ni Majengo
Sijuwi hawa jamaa kusema uwongo uwa wanaona fahari gani ya yana jidanganya yenyewe alafu yana Furahia hawajui wizi una mwisho wake
 
We kajamaa si ilisema anakikao na wakurugenzi halafu leo tena unakuja na swaga nyingine.
 
Anatumia nguvu kumnadi jeska masikini mbona hamna mwitikio uwanjani
 
Yohana alitegemea atafanya kampeni kwa gharama nafuu. Mpaka sasa atakuwa keshavuka budget limitation .... Na atakuwa ameshaspend kuliko 2015 by far. Watanzania ndiyo wakati wanajua watapata mavazi ya bure toka kwa watawala!!
 
Jesca Msavandavangu mhehe mzawa wa Iringa aungwa mkono na machifu wa kihehe kuwa mbunge wao

Machifu wanyoosha mikono ju u kuwa watampa kura zao kwenye mkutano Leo wa kampeni Iringa uliofurika mno watu
 
Wapiga kura ni wananchi wote wa Iringa!So kura yangu moja ni sawa na kura moja ya huyo chief!
Wala hapa hakuna habari!
 
Wale watoto wa below 18 wenye t.shrt oversize za kijani.

People used to die in the lake
 
Wapiga kura ni wananchi wote wa Iringa!So kura yangu moja ni sawa na kura moja ya huyo chief!
Wala hapa hakuna habari!
Machifu walikuja na watu wao wote walionyesha kumuunga mkono muhehe mwenzao Jesca anayegombea ubunge Iringa mjini hawajawahi kanyaga mikutano ya Msigwa
 
Uzi imepoa sana huu!Naona mvuto wa huyu mgombea umekwisha kabisaa!
 
Machifu walikuja na watu wao wote walionyesha kumuunga mkono muhehe mwenzao Jesca anayegombea ubunge Iringa mjini hawajawahi kanyaga mikutano ya Msigwa
Miaka 10 msigwa hakuwategemea hao machief kushinda!
 
Hakuna chifu mwenye ushawishi iringa, wote ni utopolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…