Uchaguzi 2020 Samora, Iringa: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Rais Magufuli

Uchaguzi 2020 Samora, Iringa: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Rais Magufuli

Kumfurahisha bwana mkubwa uwanja ujae! CCM elimu ni Majengo
Sijuwi hawa jamaa kusema uwongo uwa wanaona fahari gani ya yana jidanganya yenyewe alafu yana Furahia hawajui wizi una mwisho wake
 
Unatambua kwa nini hakwenda mara ya kwanza kwa mujibu wa ratiba. Alitaka hakikisho la kusombewa watu kwa kadiri iwezekanavyo kutoka mikoa jirani. Na hapo kweli mburura wa kijani amewapata, Ila cha kusikitisha hakuna sera wala hoja, yaani ni 'empty & hopeless case" Hata wasikilizaji waliohudhuria wamenuna kama vile wamelambishwa ndimu.

Ebu linganisha tu, na uangalia kule ktk mkutano wa Nyamongo, licha ya watu kupigwa mabomu ya machozi, bado watu wamejaa hamasa, sura zenye bashsha na furaha huku wakimsikiliza kiongozi wao wampendaye.
We kajamaa si ilisema anakikao na wakurugenzi halafu leo tena unakuja na swaga nyingine.
 
Anatumia nguvu kumnadi jeska masikini mbona hamna mwitikio uwanjani
 
tofauti ya mikutano ya chama cha Siasa cha CCM na vyama vingine vya siasa ni rangi nguo za wahudhuriaji mkutano. CCM ukitazama picha ni kijani na njano imetamalaki yaani wahudhiriaji karibia wote wamevaa JEZI, kwa maana kwamba wameandaliwa kwa mkutano na kuvishwa nguo!
Yohana alitegemea atafanya kampeni kwa gharama nafuu. Mpaka sasa atakuwa keshavuka budget limitation .... Na atakuwa ameshaspend kuliko 2015 by far. Watanzania ndiyo wakati wanajua watapata mavazi ya bure toka kwa watawala!!
 
Jesca Msavandavangu mhehe mzawa wa Iringa aungwa mkono na machifu wa kihehe kuwa mbunge wao

Machifu wanyoosha mikono ju u kuwa watampa kura zao kwenye mkutano Leo wa kampeni Iringa uliofurika mno watu
 
Wapiga kura ni wananchi wote wa Iringa!So kura yangu moja ni sawa na kura moja ya huyo chief!
Wala hapa hakuna habari!
 
Wale watoto wa below 18 wenye t.shrt oversize za kijani.

People used to die in the lake
 
Wapiga kura ni wananchi wote wa Iringa!So kura yangu moja ni sawa na kura moja ya huyo chief!
Wala hapa hakuna habari!
Machifu walikuja na watu wao wote walionyesha kumuunga mkono muhehe mwenzao Jesca anayegombea ubunge Iringa mjini hawajawahi kanyaga mikutano ya Msigwa
 
Uzi imepoa sana huu!Naona mvuto wa huyu mgombea umekwisha kabisaa!
 
Machifu walikuja na watu wao wote walionyesha kumuunga mkono muhehe mwenzao Jesca anayegombea ubunge Iringa mjini hawajawahi kanyaga mikutano ya Msigwa
Miaka 10 msigwa hakuwategemea hao machief kushinda!
 
Hakuna chifu mwenye ushawishi iringa, wote ni utopolo
 
Back
Top Bottom