Sanaa: Jeshi la Israel Lafanya Mashambulizi ya Anga Nchini Yemen

tuwape pole yemen, maana leo hawana bandari yeyote imebaki, zote zimepigwa, kituo cha umeme, mafuta na kila kitu.
 
Wale Magaidi wa Houthi wanapewa jeuri na Ayatolah.
 
Hakuna jipya, yote hayo Israel,Marekani na uingereza wanayafanya kwa kurudiarudia, wanachobadili ni mapambio tu, mara shambulizi kubwa,mara lakutisha,mara lakikatili lakini operation za Wahouth zinaendelea kama kawaida!
 
Sisi wakulima wa mihogo tunajua jinsi ya kungoa mhogo mkubwa bila kuuharibu, unaanza na vile vidogodogo vya pembeni huku ukiendelea kwenda chini kwa kuuzunguka mhogo mkubwa.
😂😂Umetisha Kwa kweli, sijui watakuelewa hawa!!???
 
Sisi wakulima wa mihogo tunajua jinsi ya kungoa mhogo mkubwa bila kuuharibu, unaanza na vile vidogodogo vya pembeni huku ukiendelea kwenda chini kwa kuuzunguka mhogo mkubwa.
Wahenga walisema: "Fumbo mfumbie mjinga, mwerevu hung'amua". Hao cjui ni wajinga au ni werevu. Ngoja tuone itakavyokuwa.
 
Una matatizo ya akili wewe sio bure, acha tabia za kutukana imani za watu jadili mada iliyopo mezani sio kushambulia imani za watu, mpuuzi mkubwa weeeeeeeeee
 
Kwa akili ya kawaida kabisa unafikiri houth wanavyofanya sarakasi zao hawajui kuna hizi hasara?
 
Kwa akili ya kawaida kabisa unafikiri houth wanavyofanya sarakasi zao hawajui kuna hizi hasara?
Uperarion hiyo imefanywa na uingerza usa na isreli kaingizwa hapo lakini kama kawa sifa zote anapew isreli hii sio kwa bahat Mbaya bali ni sifa zile zile walazimishazo yahudi awe nazo
 
Uperarion hiyo imefanywa na uingerza usa na isreli kaingizwa hapo lakini kama kawa sifa zote anapew isreli hii sio kwa bahat Mbaya bali ni sifa zile zile walazimishazo yahudi awe nazo
Usihamishe magoli mkuu. Jamaa "Houthis" kabutuliwa na IDF. Hiyo ya operation imefanywa na Uingereza cjui USA hiyo ni ya kwako mwenyewe.
 
Reactions: FWC
Uperarion hiyo imefanywa na uingerza usa na isreli kaingizwa hapo lakini kama kawa sifa zote anapew isreli hii sio kwa bahat Mbaya bali ni sifa zile zile walazimishazo yahudi awe nazo
Yahudi asaidiwe au asisaidiwe, ndiyo hivyo Houth keshaumizwa ,,alisifiwa sana kwa kuzibamiza meli za western. Mapambio yakawa kama yote humu. Sasa anahesabu hasara.
 
Atakuwa na majasusi kila nchi. Najiuliza anajuaje maeneo nyeti kiasi hicho na kuyalenga bila kumkosea ?
Walisema huyo ni level nyingine. Ila nawashangaa kobaaz bado wanajaribu na kuthubutu kumtunishia misuli. Ona wanavyolabuliwa sasa. Utadhani ni mahindi ya kande kwenye kinu huko Upareni.
 
Yahudi asaidiwe au asisaidiwe, ndiyo hivyo Houth keshaumizwa ,,alisifiwa sana kwa kuzibamiza meli za western. Mapambio yakawa kama yote humu. Sasa anahesabu hasara.
Hahahaa. Kobaaz Meno yote ya mbele i.e.mitambo ya umeme, Maghala ya silaha, mafuta etc kwishney. Habar ndo hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…