nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Eleza biashara halali iliyokufa kwasababu ya Magufuli.Kwanini wengine mnacomment kama hamkuwepo? Ama kweli twafanana kichwa lakini kilicho ndani ya hivyo vichwa ni tofauti. Lakini pamoja na yote ukiunguzwa kidole na mie nikiunguzwa, sote twahisi maumivu hata kama mwagugumia.
nashangaa. hii cult si nzur sana.Hawa watu wanataka kutengeneza personality cult ya Magufuli.
Huu ujinga ukomeshwe mara moja.
Mbona hatuna sanwmu la Mkapa anywhere nchini?
Nyoko wewe🤣🤣🤣Fundi kapiga Hesabu zake zote na kasema Tsh Milioni 1 tu inatosha Kujenga Sanamu hivyo Krav Maga naomba nipeni hiyo Tsh 420 Milioni na Chenji ya Tsh 419 Milioni nitaenda Kuwakatia Bima Wazee nchini Tanzania na nyingine Kununua Dawa Hospitali ya Temeke.
Ushauri wangu tu ni kwamba Fundi wa Kujenga Sanamu hilo aambiwe ajenge yenye Sura ya Tabasamu na siyo ya Kununa / Kukasirika kwani inaweza ikawatisha Wafanyabiashara au Kuwakumbusha Machungu yao ya tokea mwaka 2015 mpaka mwaka 2021.
Hapo Wasukuma mmefurahii, .Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imesaini hati ya makubaliano ya jumla ya shilingi milioni 420 ya ujenzi wa sanamu la Hayati John Pombe Magafuli, na ukarabati wa kumbi kubwa za kisasa kwenye maonyesho ya sabasaba ya 45.
Mkurugenzi wa TanTrade Rutageruka Sabi amesema kuwa, ujenzi wa sanamu hilo unalenga kuenzi kumbukumbu, jitihada na mchango wa Hayati Dkt Magufuli katika kuinua uchumi.
Huyu mzee inavyosemekana alivyo bandinduLa Mkapa li wapi?
mnatumia bajeti gani?
Ndo ivo mkuu ,tunamuenzi mhasisi wa middle economy 😄😄Hii ndio n nchi yangu bana
Wanakijiji cha LIANGWENI songea vijijini hawana hata zahanati toka nchi ipate uhuru na zinahtajika milioni 120 tu kumalizia jengo lao na vifaa mwaka wa tano Sasa hakuna msaada
Lakn sanamu lisilo na tija linajengwa kwa milion 450
Hawa watu siku zao zinahesabika haiwezekani watufanye wapuuzi kisa wameshika mpini makali yapo kwetu,Yaani kumkumbuka magufuli hadi tujengewe sanamu, pesa ya umma inapigwa kama haina mwenyewe....
Wewe wa nyuma ya keyboard huwezi kuzungumzia shujaa Gaddafi namna hiyoHata kina Gaddafi walijenga masanamu yao kwa gharama ila yaliishia kuvunjwa tena kwa fedheha kubwa tu.
Ndo imepita bila kupingwa mkuu,unyonge aliotupa kayafa ndo umetufikisha hapa tulipo.420 mil just kinyago Cha mtu ambaye ametupa mapichapicha ya kutoshaHivi Hawa makaburu weusi uchwara wanatuona sisi wananchi mapimbi ee
Yaani sanamu la kujenga litumie hiyo pesa kwani linanakshiwa gold?
Ifike mahali CCM muwe na uchungu na pesa za walipa kodi haiwezekani serikali yenu iwe inafanya matumizi mabovu kisa kutaka show off za kijinga
Haiwezekani huu uhuni haukubaliki yaani sanamu la million 420?
Aiseee!
Ajengewe hata sanamu ya mabilioni la muhimu huyu kichaa harudi milele.Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imesaini hati ya makubaliano ya jumla ya shilingi milioni 420 ya ujenzi wa sanamu la Hayati John Pombe Magafuli, na ukarabati wa kumbi kubwa za kisasa kwenye maonyesho ya sabasaba ya 45.
Mkurugenzi wa TanTrade Rutageruka Sabi amesema kuwa, ujenzi wa sanamu hilo unalenga kuenzi kumbukumbu, jitihada na mchango wa Hayati Dkt Magufuli katika kuinua uchumi.
BIG MISTAKE!!Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imesaini hati ya makubaliano ya jumla ya shilingi milioni 420 ya ujenzi wa sanamu la Hayati John Pombe Magafuli, na ukarabati wa kumbi kubwa za kisasa kwenye maonyesho ya sabasaba ya 45.
Mkurugenzi wa TanTrade Rutageruka Sabi amesema kuwa, ujenzi wa sanamu hilo unalenga kuenzi kumbukumbu, jitihada na mchango wa Hayati Dkt Magufuli katika kuinua uchumi.