Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo hivyo mkuu,kila fursa ni fursa kwa fursa nyingine.Mbona pesa ndogo sana! Wangeongeza hata iwe milioni 800 ili wapige vizuri
Mbona pesa ndogo sana! Wangeongeza hata iwe milioni 800 ili wapige vizuri
Gadafi Leo awe Shujaa haaahaaaa mwendazake aliwaharibu akiliWewe wa nyuma ya keyboard huwezi kuzungumzia shujaa Gaddafi namna hiyo
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Pole sanaFundi kapiga Hesabu zake zote na kasema Tsh Milioni 1 tu inatosha Kujenga Sanamu hivyo Krav Maga naomba nipeni hiyo Tsh 420 Milioni na Chenji ya Tsh 419 Milioni nitaenda Kuwakatia Bima Wazee nchini Tanzania na nyingine Kununua Dawa Hospitali ya Temeke.
Ushauri wangu tu ni kwamba Fundi wa Kujenga Sanamu hilo aambiwe ajenge yenye Sura ya Tabasamu na siyo ya Kununa / Kukasirika kwani inaweza ikawatisha Wafanyabiashara au Kuwakumbusha Machungu yao ya tokea mwaka 2015 mpaka mwaka 2021.
Watanzania waliompenda Hayati Magufuli wakiambiwa wachange hela ya kujenga sanamu ndani ya lisaa hiyo 420m inaweza kupatikanaDaaahh.
Yaani nakatwa kodi kisha pesa wanajenga sanamu ya huyu mtu aliyelaaniwa na Mungu!!!
umekunywa dawa mkuu isije ukawa umeacha kumeza dozi tutakupoteza shauri zako!Mabavichaa yamekasirika kweli kweli kufuatia hii habari.
Halafu waliompenda Magufuli wengi ni watu wasiojielewaWatanzania waliompenda Hayati Magufuli wakiambiwa wachange hela ya kujenga sanamu ndani ya lisaa hiyo 420m inaweza kupatikana
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Ambao hawampendi ni ambao hawajamuelewa. Au hawajaelewa lengo laoHalafu waliompenda Magufuli wengi ni watu wasiojielewa
Wivu Hadi kwenye sanamu, pole sana. Zifute hotuba zake zote utube ili watoto/ wajukuu/ vitukuu vyako wasije kukudharauHili tutalibomoa labda mliwekee shoti ya umeme
Korea nao wanayo masanamu ya Kim Il Sung kibao. Ni tabia ya madikteta kujienzi kwa masanamu.Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imesaini hati ya makubaliano ya jumla ya shilingi milioni 420 ya ujenzi wa sanamu la Hayati John Pombe Magafuli, na ukarabati wa kumbi kubwa za kisasa kwenye maonyesho ya sabasaba ya 45.
Mkurugenzi wa TanTrade Rutageruka Sabi amesema kuwa, ujenzi wa sanamu hilo unalenga kuenzi kumbukumbu, jitihada na mchango wa Hayati Dkt Magufuli katika kuinua uchumi.
Kwa kweli bado una akili ya kitumwa. Hakuna kiongozi mzalendo kwa Libya kama Gaddafi. Uliza hali ya Libya kabla na baada ya Gaddafi kuuawa bila kusahau kabla ya kuchukua nchiGadafi Leo awe Shujaa haaahaaaa mwendazake aliwaharibu akili
Gadafi alivuna alichopanda Kwa sababu alijijenga yeye badala ya kujenga taasisi imara alijiona Libya Kama Mali yake binafsi na alikua anafanya vitu na maendeleo Kama hisani Hivi Kwa wananchi huku yeye akivuna mabillion ya Dola robo ndio inawafikia wananchi huku chini
Kwa akili za kinyonge za watu Kama ninyi mlimwona wa maana Sana kumbe propaganda tu
Hata sishangai maana Kuna watu humu wanalipwa buku Saba Lumumba kuwatetea majizi ya mabillion humu Kwa ujira huo!
Yaelekea cdm inawatoa jasho,maana kila aliyekinyume na mwendazake ni cdmChadema mtakufa kwa Pressure